-
Waamuzi 20:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Ndipo wana wa Benyamini wakakusanyika pamoja kutoka katika majiji kwenda Gibea ili watoke kupigana na wana wa Israeli.
-