Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 17:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Kwa hiyo Mfilisti akamwambia Daudi: “Je, mimi ni mbwa+ hivi kwamba unijie na fimbo?” Basi huyo Mfilisti akamlaani Daudi kwa miungu yake.+

  • 1 Samweli 24:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Je, mfalme wa Israeli ametoka nje kumfuata nani? Unamfuatilia nani? Mbwa aliyekufa?+ Kiroboto mmoja?+

  • 2 Samweli 16:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Mwishowe Abishai mwana wa Seruya+ akamwambia mfalme: “Kwa nini huyu mbwa mfu+ amlaani bwana wangu mfalme?+ Tafadhali acha nivuke, niende nikiondoe kichwa chake.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki