Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 19:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Lakini Daudi akasema: “Nina nini nanyi,+ ninyi wana wa Seruya, kwamba muwe leo mpinzani+ wangu? Je, yeyote atauawa leo katika Israeli?+ Kwa maana, je, sijui vema kwamba leo mimi ni mfalme juu ya Israeli?”

  • 2 Wafalme 3:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Na Elisha akamwambia mfalme wa Israeli: “Nina nini nawe?+ Nenda kwa manabii+ wa baba yako na kwa manabii wa mama yako.” Lakini mfalme wa Israeli akamwambia: “Hapana, kwa maana Yehova amewaita wafalme hawa watatu ili kuwatia mkononi mwa Moabu.”+

  • Luka 9:55
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 55 Lakini akageuka akawakemea.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki