19 Na ikawa kwamba katika siku zilizofuata, kipindi cha miaka miwili kamili kilipokwisha, matumbo+ yake yakatoka nje wakati wa ugonjwa wake, na mwishowe akafa katika magonjwa yake mabaya; na watu wake hawakumfanyia mfukizo kama ule mfukizo+ waliowafanyia mababu zake.