-
2 Wafalme 12:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 Kwa hiyo Yehoashi mfalme wa Yuda akachukua matoleo yote matakatifu+ ambayo Yehoshafati na Yehoramu na Ahazia mababu zake, wafalme wa Yuda, walikuwa wameyatakasa na matoleo yake mwenyewe matakatifu na dhahabu yote iliyoonekana katika hazina za nyumba ya Yehova na nyumba ya mfalme, akavipeleka+ kwa Hazaeli mfalme wa Siria. Basi akaondoka juu ya Yerusalemu.
-