Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 34
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati—Yaliyomo

      • Yehova amwonyesha Musa ile nchi (1-4)

      • Kifo cha Musa (5-12)

Kumbukumbu la Torati 34:1

Marejeo

  • +Kum 32:49
  • +Kum 3:27
  • +Hes 36:13
  • +Amu 18:29

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    ‘Nchi Nzuri’, kur. 8-9

  • Fahirishi ya Machapisho

    gl 8-9

Kumbukumbu la Torati 34:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Yaani, ile Bahari Kuu, Mediterania.

Marejeo

  • +Kut 23:31; Hes 34:2, 6; Kum 11:24

Kumbukumbu la Torati 34:3

Marejeo

  • +Yos 15:1
  • +Mwa 13:10
  • +Mwa 19:22, 23

Kumbukumbu la Torati 34:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “Nitaipa mbegu yako.”

Marejeo

  • +Mwa 12:7; 26:3; 28:13
  • +Hes 20:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Marejeo ya Daftari la Huduma na Maisha, 2/2020, uku. 1

Kumbukumbu la Torati 34:5

Marejeo

  • +Kum 32:50; Yos 1:2

Kumbukumbu la Torati 34:6

Marejeo

  • +Yud 9

Kumbukumbu la Torati 34:7

Marejeo

  • +Kum 31:1, 2; Mdo 7:23, 30, 36

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    12/15/1986, uku. 29

Kumbukumbu la Torati 34:8

Marejeo

  • +Hes 20:29

Kumbukumbu la Torati 34:9

Marejeo

  • +Kum 31:14; 1Ti 4:14
  • +Hes 27:18, 21; Yos 1:16

Kumbukumbu la Torati 34:10

Marejeo

  • +Kum 18:15; Mdo 3:22; 7:37
  • +Kut 33:11; Hes 12:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1997, kur. 4-5

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 10/1 4-5

Kumbukumbu la Torati 34:11

Marejeo

  • +Kum 4:34

Kumbukumbu la Torati 34:12

Marejeo

  • +Kum 26:8; Lu 24:19

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 34:1Kum 32:49
Kum. 34:1Kum 3:27
Kum. 34:1Hes 36:13
Kum. 34:1Amu 18:29
Kum. 34:2Kut 23:31; Hes 34:2, 6; Kum 11:24
Kum. 34:3Yos 15:1
Kum. 34:3Mwa 13:10
Kum. 34:3Mwa 19:22, 23
Kum. 34:4Mwa 12:7; 26:3; 28:13
Kum. 34:4Hes 20:12
Kum. 34:5Kum 32:50; Yos 1:2
Kum. 34:6Yud 9
Kum. 34:7Kum 31:1, 2; Mdo 7:23, 30, 36
Kum. 34:8Hes 20:29
Kum. 34:9Kum 31:14; 1Ti 4:14
Kum. 34:9Hes 27:18, 21; Yos 1:16
Kum. 34:10Kum 18:15; Mdo 3:22; 7:37
Kum. 34:10Kut 33:11; Hes 12:8
Kum. 34:11Kum 4:34
Kum. 34:12Kum 26:8; Lu 24:19
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 34:1-12

Kumbukumbu la Torati

34 Kisha Musa akatoka katika jangwa tambarare la Moabu na kupanda Mlima Nebo,+ kwenye kilele cha Pisga,+ kinachoelekeana na Yeriko.+ Yehova akamwonyesha nchi yote, kuanzia Gileadi mpaka Dani,+ 2 na nchi yote ya Naftali na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda mpaka bahari ya magharibi,*+ 3 na Negebu+ na ile Wilaya,+ bonde tambarare la Yeriko, jiji la mitende, mpaka Soari.+

4 Kisha Yehova akamwambia hivi: “Hii ndiyo nchi ambayo nilimwapia Abrahamu, Isaka, na Yakobo, niliposema, ‘Nitaupa uzao wako* nchi hii.’+ Nimekuruhusu uione kwa macho yako mwenyewe, lakini hutavuka kuingia humo.”+

5 Kisha Musa mtumishi wa Yehova akafa huko katika nchi ya Moabu kama Yehova alivyosema.+ 6 Akamzika bondeni katika nchi ya Moabu, ng’ambo ya Beth-peori, na hakuna mtu anayejua kaburi lake liko wapi mpaka leo hii.+ 7 Musa alikuwa na umri wa miaka 120 alipokufa.+ Macho yake hayakuwa yamedhoofika, na nguvu zake hazikuwa zimeisha. 8 Waisraeli walimlilia Musa katika jangwa tambarare la Moabu kwa siku 30.+ Kisha siku za kumlilia na kumwombolezea Musa zikaisha.

9 Yoshua mwana wa Nuni alikuwa amejaa roho ya hekima, kwa kuwa Musa alikuwa ameweka mkono wake juu yake;+ na Waisraeli wakaanza kumsikiliza, nao wakafanya kama Yehova alivyokuwa amemwamuru Musa.+ 10 Lakini hajatokea tena nabii mwingine katika Israeli aliye kama Musa,+ ambaye Yehova alimjua uso kwa uso.+ 11 Alifanya ishara zote na miujiza ambayo Yehova alimtuma afanye katika nchi ya Misri kwa Farao na watumishi wake wote na nchi yake yote,+ 12 pamoja na mkono wenye nguvu na nguvu zinazoogopesha ambazo Musa alidhihirisha machoni pa Waisraeli wote.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki