Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wakorintho 2
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Wakorintho—Yaliyomo

      • Paulo akusudia kuleta shangwe (1-4)

      • Mtenda dhambi asamehewa na kurudishwa (5-11)

      • Paulo huko Troa na Makedonia (12, 13)

      • Huduma, maandamano ya ushindi (14-17)

        • Si wachuuzi wa neno la Mungu (17)

2 Wakorintho 2:4

Marejeo

  • +2Ko 7:8, 9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/1996, uku. 11

  • Fahirishi ya Machapisho

    w96 11/1 11

2 Wakorintho 2:5

Marejeo

  • +1Ko 5:1

2 Wakorintho 2:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “asimezwe.”

Marejeo

  • +Lu 15:23, 24
  • +Ebr 12:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (2010),

    6/15/2010, uku. 13

    10/1/1998, kur. 17-18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 6/15 13; w98 10/1 17-18

2 Wakorintho 2:8

Marejeo

  • +Ro 12:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/2013, uku. 20

    10/1/1998, uku. 17

    Amkeni!,

    12/8/1993, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 10/1 17

2 Wakorintho 2:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2006, uku. 29

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 1/15 29

2 Wakorintho 2:11

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “asitudanganye.”

  • *

    Au “nia; njama.”

Marejeo

  • +Lu 22:31; 2Ti 2:26
  • +Efe 6:11, 12; 1Pe 5:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 27

    1/15/2006, uku. 29

    8/15/2002, kur. 26-28

    10/1/1998, uku. 18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 1/15 29; w06 11/15 27; w02 8/15 26-28; w98 10/1 18

2 Wakorintho 2:12

Marejeo

  • +Mdo 16:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Kutoa Ushahidi, uku. 166

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/1998, uku. 30

  • Fahirishi ya Machapisho

    bt 166; w98 11/15 30

2 Wakorintho 2:13

Marejeo

  • +Gal 2:3; Tit 1:4
  • +2Ko 7:5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Kutoa Ushahidi, uku. 166

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/1998, uku. 30

  • Fahirishi ya Machapisho

    bt 166; w98 11/15 30

2 Wakorintho 2:14

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “huitambulisha.”

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (2010),

    8/1/2010, uku. 23

    9/1/2005, uku. 31

    11/15/1990, kur. 27-28

    7/15/1990, kur. 10-15

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 8/1 23; w05 9/1 31

2 Wakorintho 2:15

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (2010),

    8/1/2010, uku. 23

    7/15/2008, uku. 28

    9/1/2005, uku. 31

    11/15/1990, kur. 27-28

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 8/1 23; w08 7/15 28; w05 9/1 31

2 Wakorintho 2:16

Marejeo

  • +Yoh 15:19; 2Ko 4:3; 1Pe 2:7, 8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (2010),

    8/1/2010, uku. 23

    7/15/2008, uku. 28

    9/1/2005, uku. 31

    11/15/1990, kur. 27-28

    7/15/1990, kur. 11-12

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 8/1 23; w08 7/15 28; w05 9/1 31

2 Wakorintho 2:17

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “hatufanyi biashara; hatupati faida kutokana na.”

Marejeo

  • +2Ko 4:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    12/1/1992, kur. 26-29

    7/15/1990, uku. 12

    10/15/1987, uku. 19

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

2 Kor. 2:42Ko 7:8, 9
2 Kor. 2:51Ko 5:1
2 Kor. 2:7Lu 15:23, 24
2 Kor. 2:7Ebr 12:12
2 Kor. 2:8Ro 12:10
2 Kor. 2:11Lu 22:31; 2Ti 2:26
2 Kor. 2:11Efe 6:11, 12; 1Pe 5:8
2 Kor. 2:12Mdo 16:8
2 Kor. 2:13Gal 2:3; Tit 1:4
2 Kor. 2:132Ko 7:5
2 Kor. 2:16Yoh 15:19; 2Ko 4:3; 1Pe 2:7, 8
2 Kor. 2:172Ko 4:2
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
2 Wakorintho 2:1-17

Barua ya Pili kwa Wakorintho

2 Kwa maana nimeamua kwamba sitakuja kwenu tena kwa huzuni. 2 Kwa maana nikiwahuzunisha ninyi, ni nani atakayekuwapo ili kunichangamsha isipokuwa yule ambaye nilimhuzunisha? 3 Niliandika mambo hayo, ili, nitakapokuja, nisihuzunishwe na wale ambao ninapaswa kushangilia juu yao, kwa sababu nina uhakika kwamba kile kinachonipa shangwe kinawapa ninyi nyote shangwe hiyohiyo. 4 Kwa maana kutokana na dhiki nyingi na maumivu ya moyo niliwaandikia kwa machozi mengi, si ili niwahuzunishe,+ bali niwajulishe kina cha upendo wangu kwenu.

5 Basi ikiwa yeyote amesababisha huzuni,+ hajanihuzunisha mimi, bali amewahuzunisha ninyi nyote kwa kadiri fulani—nisiwe mkali mno kwa yale ninayosema. 6 Karipio hili linalotolewa na wengi linamtosha mtu huyo; 7 badala yake, sasa mnapaswa kumsamehe kwa fadhili na kumfariji,+ ili asilemewe* na huzuni inayopita kiasi.+ 8 Kwa hiyo ninawahimiza ninyi kumthibitishia upendo wenu.+ 9 Ndiyo sababu niliwaandikia pia: ili kujua kama mngeonyesha uthibitisho wa utii wenu katika mambo yote. 10 Mkimsamehe mtu yeyote jambo lolote, mimi pia ninamsamehe. Kwa kweli, lolote ambalo nimesamehe (ikiwa nimesamehe jambo lolote) ni kwa ajili yenu machoni pa Kristo, 11 ili Shetani asitushinde akili,*+ kwa maana hatukosi kuzijua mbinu* zake.+

12 Basi nilipofika Troa+ kutangaza habari njema kuhusu Kristo nami nikafunguliwa mlango katika Bwana, 13 roho yangu haikupata kitulizo kwa sababu sikumkuta Tito+ ndugu yangu. Basi, nikawaaga kisha nikaondoka kwenda Makedonia.+

14 Lakini shukrani kwa Mungu, ambaye sikuzote hutuongoza katika maandamano ya ushindi kwa kushirikiana na Kristo, na kupitia sisi huieneza* harufu nzuri ya ujuzi kumhusu kila mahali! 15 Kwa maana kwa Mungu sisi ni harufu tamu ya Kristo kati ya wale wanaookolewa na kati ya wale wanaoangamia; 16 kwa hawa wa mwisho ni harufu ya kifo inayoleta kifo,+ kwa wale wa kwanza ni harufu ya uzima inayoleta uzima. Na ni nani anayestahili kabisa mambo haya? 17 Ni sisi, kwa maana sisi si wachuuzi wa* neno la Mungu+ kama watu wengi walivyo, bali tunasema kwa unyoofu wote, tukiwa tumetumwa na Mungu, ndiyo, machoni pa Mungu na kwa kushirikiana na Kristo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki