Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Timotheo 4
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Timotheo—Yaliyomo

      • “Timiza kikamili huduma yako” (1-5)

        • Hubiri neno kwa uharaka (2)

      • “Nimepigana pigano zuri” (6-8)

      • Maelezo ya binafsi (9-18)

      • Salamu za mwisho (19-22)

2 Timotheo 4:1

Marejeo

  • +Yoh 5:22; Mdo 17:31; 2Ko 5:10
  • +Yoh 5:28, 29; Mdo 10:42
  • +1Ti 6:14, 15; 1Pe 5:4
  • +Ufu 11:15; 12:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Amkeni!,

    1/2010, kur. 10-11

  • Fahirishi ya Machapisho

    g 1/10 10-11

2 Timotheo 4:2

Marejeo

  • +2Ti 2:15
  • +1Ti 5:20; Tit 1:7, 9, 13; 2:15
  • +2Ti 2:24, 25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mkaribie Yehova, uku. 165

    Mnara wa Mlinzi,

    3/15/2012, kur. 15-16

    1/15/2008, kur. 8-9

    1/1/2003, kur. 29-30

    3/15/1999, uku. 10

    9/15/1989, kur. 11-12

    12/1/1986, uku. 12

    Shule ya Huduma, kur. 266-267

    Huduma ya Ufalme,

    2/2000, uku. 1

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 3/15 15-16; w08 1/15 8-9; w03 1/1 29-30; be 266-267; cl 165; km 2/00 1; w99 3/15 10

2 Timotheo 4:3

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “lenye afya; lenye faida.”

  • *

    Au “waambiwe mambo wanayotaka kusikia.”

Marejeo

  • +1Ti 1:9, 10
  • +1Ti 4:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/15/2012, kur. 15-16

    7/1/2005, kur. 5-6

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 3/15 16; w05 7/1 5-6

2 Timotheo 4:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2011, uku. 17

    9/15/2002, kur. 17-19

    4/1/1994, kur. 29-31

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 7/15 17; w02 9/15 17-19

2 Timotheo 4:5

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “endelea kuhubiri habari njema.”

Marejeo

  • +2Ti 1:8; 2:3
  • +Ro 15:19; Kol 1:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    4/2019, kur. 2-7

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2009, kur. 16-17

    3/15/2004, kur. 10, 15

    12/1/1995, uku. 8

    9/15/1989, uku. 12

  • Fahirishi ya Machapisho

    w09 5/15 16-17; w04 3/15 10, 15

2 Timotheo 4:6

Marejeo

  • +Hes 28:6, 7
  • +Flp 1:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/1987, uku. 22

2 Timotheo 4:7

Marejeo

  • +1Ko 9:26; 1Ti 6:12
  • +Flp 3:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Upeo wa Ufunuo, kur. 276-277

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1999, kur. 17-18

  • Fahirishi ya Machapisho

    re 276-277; w99 10/1 17

2 Timotheo 4:8

Marejeo

  • +1Ko 9:25; Yak 1:12
  • +Yoh 5:22
  • +1Pe 5:4; Ufu 2:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Upeo wa Ufunuo, kur. 276-277

    “Kila Andiko,” uku. 239

  • Fahirishi ya Machapisho

    re 276-277

2 Timotheo 4:9

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/1/2015, uku. 15

    5/15/2004, kur. 19-20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w04 5/15 20

2 Timotheo 4:10

Maelezo ya Chini

  • *

    Angalia Kamusi.

Marejeo

  • +Kol 4:14; Flm 23, 24

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Kutoa Ushahidi, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    11/2018, kur. 10-11

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2015, uku. 16

    11/15/1998, uku. 31

  • Fahirishi ya Machapisho

    bt 12; w98 11/15 31

2 Timotheo 4:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Kutoa Ushahidi, uku. 118

    Mnara wa Mlinzi (2010),

    3/15/2010, kur. 8-9

    11/15/2007, uku. 18

    “Kila Andiko,” kur. 187-188

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 3/15 8-9; bt 118; w07 11/15 18

2 Timotheo 4:12

Marejeo

  • +Efe 6:21; Kol 4:7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/1998, uku. 8

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/15 8

2 Timotheo 4:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    6/15/2011, kur. 18-19

    9/15/2008, uku. 31

    5/15/2008, uku. 22

    4/1/1998, uku. 11

    8/15/1988, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 6/15 18-19; w08 5/15 22; w08 9/15 31; w98 4/1 11

2 Timotheo 4:14

Maelezo ya Chini

  • *

    Angalia Nyongeza A5.

Marejeo

  • +Zb 28:4; 62:12; Met 24:12

2 Timotheo 4:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/2015, kur. 24-25

2 Timotheo 4:17

Marejeo

  • +Mdo 9:15
  • +Zb 22:21

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/2015, kur. 24-26, 28

2 Timotheo 4:18

Marejeo

  • +Ufu 20:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    4/15/2015, uku. 25

2 Timotheo 4:19

Marejeo

  • +Ro 16:3
  • +2Ti 1:16

2 Timotheo 4:20

Marejeo

  • +Mdo 19:22
  • +Mdo 21:29

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    12/15/2015, uku. 25

2 Timotheo 4:22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/15/2012, kur. 12-13

    2/1/1994, uku. 17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 10/15 12

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

2 Tim. 4:1Yoh 5:22; Mdo 17:31; 2Ko 5:10
2 Tim. 4:1Yoh 5:28, 29; Mdo 10:42
2 Tim. 4:11Ti 6:14, 15; 1Pe 5:4
2 Tim. 4:1Ufu 11:15; 12:10
2 Tim. 4:22Ti 2:15
2 Tim. 4:21Ti 5:20; Tit 1:7, 9, 13; 2:15
2 Tim. 4:22Ti 2:24, 25
2 Tim. 4:31Ti 1:9, 10
2 Tim. 4:31Ti 4:1
2 Tim. 4:52Ti 1:8; 2:3
2 Tim. 4:5Ro 15:19; Kol 1:25
2 Tim. 4:6Hes 28:6, 7
2 Tim. 4:6Flp 1:23
2 Tim. 4:71Ko 9:26; 1Ti 6:12
2 Tim. 4:7Flp 3:14
2 Tim. 4:81Ko 9:25; Yak 1:12
2 Tim. 4:8Yoh 5:22
2 Tim. 4:81Pe 5:4; Ufu 2:10
2 Tim. 4:10Kol 4:14; Flm 23, 24
2 Tim. 4:12Efe 6:21; Kol 4:7
2 Tim. 4:14Zb 28:4; 62:12; Met 24:12
2 Tim. 4:17Mdo 9:15
2 Tim. 4:17Zb 22:21
2 Tim. 4:18Ufu 20:4
2 Tim. 4:19Ro 16:3
2 Tim. 4:192Ti 1:16
2 Tim. 4:20Mdo 19:22
2 Tim. 4:20Mdo 21:29
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
2 Timotheo 4:1-22

Barua ya Pili kwa Timotheo

4 Ninakuagiza kwa uzito mbele za Mungu na Kristo Yesu, ambaye atawahukumu+ walio hai na wafu,+ na kwa ufunuo+ wake na Ufalme wake:+ 2 Lihubiri neno;+ fanya hivyo kwa uharaka katika nyakati zinazofaa na nyakati ngumu; karipia,+ kemea, himiza, kwa subira yote na ustadi wa kufundisha.+ 3 Kwa maana kutakuwa na wakati ambapo hawatalivumilia fundisho lenye manufaa,*+ bali, kulingana na tamaa zao, watajikusanyia walimu ili masikio yao yafurahishwe.*+ 4 Wataacha kuisikiliza ile kweli, nao watageukia hadithi za uwongo. 5 Ingawa hivyo, wewe tunza akili zako katika mambo yote, vumilia hali ngumu,+ fanya kazi ya mweneza-injili,* timiza kikamili huduma yako.+

6 Kwa maana mimi tayari ninamiminwa kama toleo la kinywaji,+ na wakati wangu wa kufunguliwa+ umekaribia sana. 7 Nimepigana pigano zuri,+ nimekimbia mbio mpaka mwisho,+ nimeishika imani. 8 Tangu sasa na kuendelea nimewekewa akiba ya taji la uadilifu,+ ambalo Bwana, aliye mwamuzi mwadilifu,+ atanipa kuwa thawabu katika siku ile,+ lakini si mimi tu, bali pia wote ambao wamependa kufunuliwa kwake.

9 Jitahidi kabisa ili uje kwangu upesi. 10 Kwa maana Dema+ ameniacha kwa sababu aliupenda mfumo wa mambo* wa sasa, naye ameenda Thesalonike, Kresensi ameenda Galatia, Tito ameenda Dalmatia. 11 Luka tu ndiye aliye pamoja nami. Mchukue Marko uje pamoja naye, kwa maana ni mwenye faida kwangu katika huduma. 12 Lakini nimemtuma Tikiko+ aende Efeso. 13 Utakapokuja, ilete ile kanzu niliyomwachia Karpo kule Troa, na vile vitabu vya kukunjwa, hasa vile vya ngozi.

14 Aleksanda yule fundi wa shaba alinisababishia madhara mengi. Yehova* atamlipa kulingana na matendo yake.+ 15 Nawe pia jihadhari naye, kwa maana aliupinga ujumbe wetu kwa kadiri kubwa sana.

16 Katika kujitetea kwangu mara ya kwanza hakuna yeyote aliyekuja upande wangu, bali wote waliniacha—wasihukumiwe kwa jambo hilo. 17 Lakini Bwana alisimama karibu nami na kunitia nguvu, ili kupitia kwangu kazi ya kuhubiri itimizwe kikamili na mataifa yote yaisikie;+ nami niliokolewa kutoka katika kinywa cha simba.+ 18 Bwana atanikomboa kutoka katika kila tendo la uovu naye ataniokoa kwa ajili ya Ufalme wake wa mbinguni.+ Utukufu na uwe kwake milele na milele. Amina.

19 Uwape salamu zangu Priska na Akila+ na nyumba ya Onesiforo.+

20 Erasto+ alibaki Korintho, lakini nilimwacha Trofimo+ akiwa mgonjwa huko Mileto. 21 Jitahidi kabisa ili ufike kabla ya majira ya baridi kali.

Eubulo anakutumia salamu zake, na pia Pudensi na Lino na Klaudia na ndugu wote.

22 Bwana na awe pamoja na roho unayoonyesha. Fadhili zake zisizostahiliwa na ziwe pamoja nawe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki