WAFALME WA KASKAZINI NA WA KUSINI
(Kuna vichwa vidogo: Mfalme wa Kaskazini; Mfalme wa Kusini)
maelezo: dp 211-215, 217-285
malaika amtokea Danieli (Da 10): dp 198-209
ramani: dp 216-217
wafalme wa kwanza: dp 215, 217
wafalme waliotangulia (Da 11:2-4): dp 212-215
‘mfalme wa nne’ wa Uajemi (Da 11:2): dp 212-213; g99 4/8 25-27; g99 8/8 25
wakati ambapo unabii ungetimia: dp 211, 232
“wakati uliowekwa” (Da 11:27): dp 259-260
“wakati uliowekwa” (Da 11:29): dp 261
“wakati uliowekwa” (Da 11:35): dp 275
“wakati wa mwisho” (Da 11:35): dp 275
‘watu wanaomjua Mungu wao,’ “walio na ufahamu” (Da 11:32-35): dp 272-275
Mfalme wa Kaskazini
‘afurika’ juu ya nchi (Da 11:40): dp 277-278
‘ajitukuza’ (Da 11:36, 37): dp 275-276
apinga “agano takatifu” (Da 11:30-35): dp 272-275
asumbuliwa na habari kutoka mashariki na kaskazini (Da 11:44): dp 280-283
atambulishwa:
wafalme wa ukoo wa Seleuko: dp 215, 217, 231
Seleuko Niketa wa Kwanza: dp 215, 217-218, 228
Antioko wa Pili: dp 219-220
Seleuko wa Pili: dp 220-221
Antioko wa Tatu: dp 217, 221-226, 228
Seleuko wa Nne: dp 226-227
Antioko Epifane wa Nne: dp 227, 231
Milki ya Roma: dp 232-242, 248-250
Kaisari Augusto: dp 232-233, 249
Kaisari Tiberio: dp 233-234, 236, 238-239, 250
waliotawala baada ya Tiberio: dp 239-240
Aurelian: w99 1/15 29-31; dp 240-241
waliotawala baada ya Aurelian: dp 241-242
Milki ya Ujerumani: dp 244-245, 256, 259-262
Ujerumani (wakati wa utawala wa Wanazi): dp 264-267
mataifa ya Kikomunisti: dp 270, 272, 275-276
avamia lile “Pambo” (Da 11:41): dp 278
avamia lile “Pambo” (Da 11:45): dp 280, 282
hajali “tamaa ya wanawake” (Da 11:37): dp 276
“Misri haitaponyoka” (Da 11:42, 43): dp 278, 280
“Mungu wa baba zake” (Da 11:37): dp 275-276
“mungu wa ngome” (Da 11:38): dp 276
mwisho: dp 285
Mfalme wa Kusini
‘asukumana’ na mfalme wa kaskazini (Da 11:40): dp 277-279
atambulishwa:
wafalme wa ukoo wa Tolemi: dp 215, 217, 231-232
Tolemi wa Kwanza (Tolemi Lago): dp 215, 217-218
Tolemi wa Pili: dp 216, 219, 228
Tolemi wa Tatu: dp 217, 220-221, 228
Tolemi wa Nne: dp 221-223
Tolemi wa Tano: dp 217, 222-227
Tolemi wa Sita: dp 227-228, 231
Kleopatra wa Saba: dp 231-232
Malkia Zenobia wa Palmyra: w99 1/15 30-31; dp 240-241, 254-255
Uingereza: dp 247, 256, 259-260, 262, 264
Serikali ya Ulimwengu ya Uingereza na Marekani: dp 247, 264, 270, 272
mwisho: dp 285