Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Maji

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maji
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Kufa Maji
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MAJI

(Ona pia Bahari; Bahari [Viumbe Hai]; Barafu; Chemchemi; Kuogelea; Madimbwi; Maji [Yenye Chumvi na Sukari]; Maporomoko ya Maji; Maziwa [ya Maji]; Mimea ya Majini; Mito; Nguzo za Maji; Visima; Viumbe Hai wa Majini)

(Kuna kichwa kidogo: Kufa Maji)

“Athari ya Musa” (sumaku yatumiwa kugawanya maji): ct 126-127; g98 1/22 28

dubu wa majini (tardigrade): g 3/07 30; g99 5/8 29

kiasi cha maji:

ambacho kila mtu hutumia: g05 1/8 7

ambacho watoto wanapaswa kunywa: g00 3/22 29

duniani kote: g97 8/22 3

kinachohitajika ili kudumisha afya nzuri: g04 2/8 30; g03 6/8 12-13; g00 2/8 28; g97 8/8 27; g96 7/22 29

kinachotumiwa katika kilimo: g04 8/8 29

kinachotumiwa kutengeneza bidhaa mbalimbali: g02 3/8 30; g01 6/22 7

maji yasiyo ya chumvi: g01 6/22 4; g97 8/22 3

upatikanaji wa maji yasiyo ya chumvi: g 1/09 7

kiasi cha maji ambacho kila mtu anatumia: g02 10/8 25

maji ya chupa nchini Marekani: g 11/08 30

kiasi cha maji katika maeneo mbalimbali: g97 8/22 4

kinachotukia maji yanapoganda: w05 11/15 15

kupima usafi wa maji:

mikunga watumiwa (Japani): g98 7/8 29

kusafisha maji:

kome-milia: g03 7/22 31

mbegu za Moringa oleifera: g96 5/8 28-29

kusafisha maji machafu: g03 7/22 30; g02 10/8 25-27

kuzalisha umeme kwa kutumia nguvu ya maji: g05 3/8 8

London, Uingereza:

mradi wa kuleta maji jijini London (mradi wa Thames Water Ring Main): g96 8/22 15-17

maelezo: g 2/09 6-7; w08 6/1 12-15; g97 8/22 3-11

maji kwenye mwezi: g 4/11 27; g98 8/8 28-29

maji ya bahari:

kuondoa chumvi katika maji ya bahari (mimea): g 6/08 22

kuondoa chumvi katika maji ya bahari (wanadamu): g 6/08 30; g00 8/22 29

kuyavukiza ili kupata chumvi: g 12/06 16-17; g03 2/8 21-23

maji ya kunywa:

kuyahifadhi: g05 1/8 6; g96 6/22 29

maji safi: w08 12/1 11; g97 11/22 11-12; fy 45

maji yaliyochafuliwa kwa dawa: g99 9/22 29

maji yanayouzwa katika chupa: g 11/08 30; g05 5/8 28; g04 4/22 29; g01 12/8 29

nyavu zinatumiwa kukusanya maji kutoka katika mawingu: g03 5/22 25-26; g97 10/8 23

upungufu wa maji ya kunywa: g 11/08 30; g04 10/8 29; g99 10/8 28; g98 11/22 28

maji ya mfano:

‘chemchemi ya maji inayobubujika ili kutokeza uzima wa milele’ (Yoh 4:14): w09 8/15 9; w08 6/1 14; re 304

“chemchemi ya maji ya uzima” (Ufu 7:17; 21:6): w08 9/15 28; re 126-128, 304

‘kahaba anayekaa juu ya maji mengi’ (Ufu 17:1, 15): re 238-240, 256

‘kuoshwa kwa maji’ (Efe 5:26): w08 6/1 13-14

‘kuzaliwa kwa maji’ (Yoh 3:5): w09 4/1 8

“mahali pa kupumzika palipo na maji ya kutosha” (Zb 23:2): w02 9/15 32

‘maji yabubujika nyikani’ (Isa 35:6, 7): ip-1 374-375, 378-379

‘maji yageuka kuwa damu’ (Ufu 11:6): re 166-167

‘maji yageuka kuwa damu’ (Ufu 16:4): re 224-225

‘maji yageuka kuwa pakanga’ (Ufu 8:10, 11): re 136-139

‘maji yakauka’ (Ufu 16:12): w12 6/15 17-18; re 229-230, 260-261

“maji ya kuibwa” (Met 9:17): w06 9/15 17; w01 5/15 30-31

“maji yaliyo hai” (Zek 14:8): w06 4/15 29

‘maji yaliyotoa ushahidi’ (1Yo 5:6-8): w08 12/15 27-28

maji yanayotoka katika hekalu lililoonwa katika maono (Eze 47): w07 8/1 11; cl 275-276; w99 3/1 10-11, 18-22

“mto wa maji ya uzima” (Ufu 22): w10 2/15 14-15; w09 2/15 5; w08 6/1 14-15; re 310-311, 318; w02 9/15 32; w99 3/1 22

Neno la Mungu: g 1/09 8-9; w08 6/1 13-14

“njooni kwenye maji” (Isa 55:1): ip-2 233-234

‘nyoka alitapika maji kama mto’ (Ufu 12:15): re 184-186

manufaa ya kunywa maji ya kutosha: g98 3/22 31

uwezo wa kukaza fikira unaboreka: g96 5/8 28

wakati wa kufanya mazoezi: g05 5/22 10

masimulizi ya uumbaji: w08 9/1 27-28; ct 93-94

miamba ya chini ya ardhi yenye maji: g03 5/8 17, 19; g01 6/22 8-9

Amerika Kusini: g01 11/8 28

Australia: g02 2/8 25-27

misitu inavuta maji mengi kutoka katika mawingu: g02 10/8 29

mzunguko wa maji: lc 8; w09 1/1 16-17; g 2/09 8; w05 11/15 16; g04 2/8 14-17; g97 8/22 7

Biblia ni sahihi kisayansi: w09 1/1 14-17; w08 9/1 27; w05 4/1 7; cl 52-53

unafananisha kutegemeka kwa neno la Mungu: g 12/08 6-7

nchi zinazoendelea:

ugumu wa kupata maji safi: g97 8/22 4

nyakati za Biblia:

katika majira ya ukame: w11 1/1 19

kumimina maji juu ya mikono ya mwingine: w97 11/1 31

visima: w08 6/1 15

tabia ya maji: g 2/09 6

uchafuzi wa maji: g03 11/22 5; g97 8/22 8

Bahari Nyeusi: g05 6/22 28; g99 10/22 19; g98 9/22 28

China: g 5/07 11; g97 4/8 28

idadi ya watu wanaokufa kwa sababu ya maji machafu: g 6/11 29

jua linapunguza kiasi cha zebaki: g96 12/8 28

kemikali (Japani): re 175

mafuta yaliyomwagika baharini: g03 8/22 20-21; g03 11/8 8, 10-11; g00 6/22 18-19; g99 1/8 14-15

magonjwa yanayosababishwa na maji machafu: g96 3/22 24

maji ya bahari: g98 9/22 28

maji ya kunywa: g98 12/22 3, 5

makome wanaosaidia kusafisha maji: g03 7/22 31

maziwa ya maji: g02 12/8 28-29

maziwa ya milimani: g01 8/22 28

mbolea: g05 1/8 6-7

mimea inayoondoa uchafuzi majini: g99 1/22 31

Mto Thames umesafishwa (Uingereza): w98 6/15 5

mwani wenye sumu: g01 11/22 5

samaki wanaoutambua uchafuzi: g 6/07 30

visima: g04 5/22 28; g98 4/8 28-29

wadudu wenye kuuma waongezeka kwa sababu ya uchafuzi wa maji: g00 11/22 29

Wahindu hutupa sanamu mtoni baada ya sherehe: g00 7/22 28-29

zebaki kutoka katika vipima-joto: g02 10/8 28-29

umuhimu wa maji: g 3/11 4; g03 6/8 12-13; g00 2/8 28; g00 3/22 29; g97 8/22 3; g96 7/22 29

wazee: g 2/11 14

upungufu wa maji yasiyo ya chumvi: g 3/10 30; g 1/09 3-7; g 11/08 30; g05 1/8 6-7, 9; g04 10/8 29; g01 6/22 3-13; g99 10/8 28; g98 11/22 28; g97 8/22 4-6, 8-11; g97 11/8 29

India: g05 4/8 18

jitihada za kutatua tatizo la upungufu wa maji: g 1/09 5-6

maji ya chini ya ardhi yanapungua: g01 6/22 8-9

masuluhisho yanayopendekezwa: g05 4/8 18, 20-21; g01 6/22 10-12; g97 8/22 9-11

mazingira ya milima yanaharibika: g02 10/22 29

nchi zinazoendelea: g03 3/8 29

utalii unavyochangia: g02 1/8 28

usalama majini:

pikipiki za maji (mashua ndogo): g96 12/22 29

uthibitisho wa kwamba kuna Muumba: g00 8/22 5-6

Kufa Maji

kuepuka kufa maji:

kuwazuia watoto wasife maji: g02 12/22 29

kuzama katika maji baridi: g96 3/8 28

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki