Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Tiba, Sayansi ya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tiba, Sayansi ya
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

TIBA, SAYANSI YA

(Ona pia Dawa; Dawa za Chanjo; Matibabu [Tiba]; Viuavijasumu [Dawa za Kuua Viini])

chai inaua virusi, au kuzuia visiongezeke: g02 1/8 28

chembe za msingi: g02 11/22 3-10

chungu ni dawa: g98 3/8 29

dawa bandia: g98 9/22 28; g97 6/8 28-29; g96 9/22 12-13

historia: g01 6/8 4-7

dawa inayomfanya mtu apoteze hisia anapofanyiwa upasuaji (nusukaputi): g 9/07 29; g01 7/22 30; g00 11/22 21-23

tiba ya meno: g 9/07 27-29

homa ya mafua ya Hispania: g05 12/22 6-8

idadi ya aina mbalimbali za dawa: g96 9/22 12

imeshindwa kukomesha maradhi: g 1/07 6, 8, 11; g04 5/22 3-11

inathibitisha usahihi wa Biblia: w12 6/1 6, 8; w98 4/1 16-17; ct 127-128; ba 20-21; g97 7/8 27

jinsi utafiti wa Michael Servetus ulivyochangia sayansi ya kitiba (miaka ya 1500): g 5/06 20

kifaa ya kufanyia upasuaji katika ubongo kimeundwa kwa kuiga mrija wa nyigu anayetoboa miti: g 3/11 25

maiti kwa ajili ya utafiti wa tiba: g96 6/22 28

manufaa ya kucheka: g05 10/22 28; g02 3/8 29; g02 12/8 28; g97 2/22 28

manufaa ya muziki: g 5/08 22-23

manufaa za kuambukizwa viini vya kawaida utotoni: g 1/11 14

mate yanaua bakteria: g98 2/8 30-31

matibabu aina ya nano: g 1/07 5-7

matibabu ya kutoweza kuzaa: g 1/12 20

matibabu ya kutumia chembe za urithi: g 1/07 6; g01 6/8 8; g00 9/22 9-11; g96 2/22 29; g96 5/22 29; g96 9/22 6

mbinu mbalimbali za kupiga picha viungo vya mwili: g 11/08 11-14

eksirei za kompyuta (aina ya CT scan): g 11/08 11-12; g 1/07 4-5, 7

kuonyesha jinsi viungo vinavyofanya kazi (PET, Positron-Emission Tomography): g 11/08 12-13

kutumia mawimbi ya sauti (sonography): g 11/08 14

kutumia sumaku (MRI, Magnetic Resonance Imaging): g 11/08 13-14

tomography: g 11/08 11

mimea inamsaidia mtu kupona baada ya upasuaji: g 9/09 30

mipaka: g01 6/8 4-9

Mradi wa Kuchunguza Chembe za Urithi za Mwanadamu: g01 12/8 28; g00 9/22 6, 8-9

mtazamo wa mgonjwa unavyoweza kumwathiri: w12 10/15 9

mwarubaini (neem): g98 2/22 22-23

roboti: g 9/08 17

roboti zinazoiga hali ya mwanamke anayejifungua: g 2/07 19

sayansi ya kubadili maumbile ya chembe za urithi:

kupima ugonjwa: g 1/07 6-7

viuavijasumu (dawa za kuua viini): g96 2/22 11

simu za mkononi zinavyoathiri vifaa vya tiba: g96 12/8 28

taasisi za Uingereza za utafiti kuhusu mafua zimeshindwa kugundua dawa: g99 6/22 29

uchunguzi wa virusi vya Ebola: g96 5/8 24-25

upasuaji:

gundi imetengenezwa kwa kuiga gundi ya mnyoo aina ya sandcastle: g 4/11 26

kufunga vidonda kwa zipu badala ya kuvishona: g04 3/8 28

kuwapasha wagonjwa joto kunapunguza maambukizo: g02 6/22 31

roboti zinazofanya upasuaji: g 9/08 17; g 1/07 5, 7

upasuaji wa moyo bila kumtia mgonjwa damu: g96 1/22 31

utafiti kuhusu magonjwa ya maeneo yenye joto hautiliwi maanani: g 2/07 19

video kuhusu matibabu yasiyohusisha damu (Transfusion-Alternative Strategies—Simple, Safe, Effective): g 8/06 8-9

vidonge vyenye kamera ya video: g01 4/22 29

vitabu vya wasomi wanaozungumza Kiarabu wa Enzi za Kati: g 2/12 27; g 9/12 22-24

Albucasis (katika karne ya 10): g 9/12 23-24

Canon of Medicine (Avicenna, karne ya 11): g 2/12 27; g 9/12 22-24

Rhazes (katika karne ya 9) (Al-Hawi [kitabu chenye habari nyingi]): g 9/12 22-23

viungo bandia: g 2/06 21-23; g 12/06 28; g99 6/8 6-7

vinavyoongozwa na ubongo: g 6/07 30

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki