-
2 Wafalme 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kwa hiyo akasema: “Nileteeni bakuli dogo jipya, mweke chumvi ndani yake.” Basi wakalileta kwake.
-
-
2 Wafalme 4:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Nawe uende ufunge mlango nyuma yako na wana wako, nawe umimine katika vyombo hivyo vyote, na uweke kando vile vilivyojaa.”
-