-
Danieli 5:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Basi wakavileta ndani vile vyombo vya dhahabu ambavyo walikuwa wamevitoa katika hekalu la Mungu lililokuwa Yerusalemu, naye mfalme na wakuu wake, masuria wake na wake zake wadogo wakavinywea.
-