-
Mika 4:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Gaagaa na kulia kwa uchungu, Ee binti ya Sayuni,
Kama mwanamke anayezaa,
Kwa maana sasa utatoka jijini na kuishi shambani.
-
-
Sefania 3:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Wakati huo nitawaleta ndani,
Wakati nitakapowakusanya pamoja.
-