-
2 Samweli 11:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Na yule mjumbe akaendelea kumwambia Daudi: “Watu wale walikuwa na nguvu kuliko sisi, nao wakatoka kuja juu yetu shambani; lakini tukaendelea kuwakaza mpaka kwenye mwingilio wa lango.
-