Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 27
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati—Yaliyomo

      • Sheria itaandikwa kwenye mawe (1-10)

      • Kwenye Mlima Ebali na Mlima Gerizimu (11-14)

      • Laana zatangazwa (15-26)

Kumbukumbu la Torati 27:2

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kuyapiga lipu.”

Marejeo

  • +Yos 8:30-32

Kumbukumbu la Torati 27:3

Marejeo

  • +Hes 13:26, 27

Kumbukumbu la Torati 27:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kuyapiga lipu.”

Marejeo

  • +Kum 11:29

Kumbukumbu la Torati 27:5

Marejeo

  • +Kut 20:25

Kumbukumbu la Torati 27:7

Marejeo

  • +Law 3:1
  • +Law 7:15
  • +Kum 12:7

Kumbukumbu la Torati 27:8

Marejeo

  • +Kut 24:12

Kumbukumbu la Torati 27:9

Marejeo

  • +Kut 19:5; Kum 26:18

Kumbukumbu la Torati 27:10

Marejeo

  • +1Fa 2:3; Mt 19:17; 1Yo 5:3

Kumbukumbu la Torati 27:12

Marejeo

  • +Kum 11:29

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    2/1/1997, kur. 30-31

    6/15/1996, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 2/1 30-31; w96 6/15 14

Kumbukumbu la Torati 27:13

Marejeo

  • +Yos 8:33

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    2/1/1997, kur. 30-31

    6/15/1996, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 2/1 30-31; w96 6/15 14

Kumbukumbu la Torati 27:14

Marejeo

  • +Kum 33:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    6/15/1996, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w96 6/15 14

Kumbukumbu la Torati 27:15

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “sanamu ya kuyeyushwa.”

  • *

    Au “fundi wa mbao na chuma.”

  • *

    Au “Na iwe hivyo!”

Marejeo

  • +Kut 20:4; Kum 4:15, 16; Isa 44:9
  • +Kut 34:17; Law 19:4
  • +Kum 7:25; 29:17

Kumbukumbu la Torati 27:16

Marejeo

  • +Kut 20:12; Kum 21:18-21; Met 20:20; 30:17; Mt 15:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    2/1/1997, kur. 30-31

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 2/1 30-31

Kumbukumbu la Torati 27:17

Marejeo

  • +Kum 19:14; Met 23:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    2/1/1997, kur. 30-31

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 2/1 30-31

Kumbukumbu la Torati 27:18

Marejeo

  • +Law 19:14

Kumbukumbu la Torati 27:19

Marejeo

  • +Kum 16:20; Met 17:23; Mik 3:11
  • +Kut 22:21, 22; Kum 10:17, 18; Mal 3:5; Yak 1:27

Kumbukumbu la Torati 27:20

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “amemfunua nguo baba yake.”

Marejeo

  • +Law 18:8; 1Ko 5:1

Kumbukumbu la Torati 27:21

Marejeo

  • +Kut 22:19; Law 18:23; 20:15

Kumbukumbu la Torati 27:22

Marejeo

  • +Law 18:9; 20:17

Kumbukumbu la Torati 27:23

Marejeo

  • +Law 18:17; 20:14

Kumbukumbu la Torati 27:24

Marejeo

  • +Kut 20:13; 21:12; Hes 35:31

Kumbukumbu la Torati 27:25

Marejeo

  • +Mt 27:3, 4

Kumbukumbu la Torati 27:26

Marejeo

  • +Kum 28:15; Gal 3:10

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 27:2Yos 8:30-32
Kum. 27:3Hes 13:26, 27
Kum. 27:4Kum 11:29
Kum. 27:5Kut 20:25
Kum. 27:7Law 3:1
Kum. 27:7Law 7:15
Kum. 27:7Kum 12:7
Kum. 27:8Kut 24:12
Kum. 27:9Kut 19:5; Kum 26:18
Kum. 27:101Fa 2:3; Mt 19:17; 1Yo 5:3
Kum. 27:12Kum 11:29
Kum. 27:13Yos 8:33
Kum. 27:14Kum 33:10
Kum. 27:15Kut 20:4; Kum 4:15, 16; Isa 44:9
Kum. 27:15Kut 34:17; Law 19:4
Kum. 27:15Kum 7:25; 29:17
Kum. 27:16Kut 20:12; Kum 21:18-21; Met 20:20; 30:17; Mt 15:4
Kum. 27:17Kum 19:14; Met 23:10
Kum. 27:18Law 19:14
Kum. 27:19Kum 16:20; Met 17:23; Mik 3:11
Kum. 27:19Kut 22:21, 22; Kum 10:17, 18; Mal 3:5; Yak 1:27
Kum. 27:20Law 18:8; 1Ko 5:1
Kum. 27:21Kut 22:19; Law 18:23; 20:15
Kum. 27:22Law 18:9; 20:17
Kum. 27:23Law 18:17; 20:14
Kum. 27:24Kut 20:13; 21:12; Hes 35:31
Kum. 27:25Mt 27:3, 4
Kum. 27:26Kum 28:15; Gal 3:10
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 27:1-26

Kumbukumbu la Torati

27 Kisha Musa pamoja na wazee wa Israeli wakawaamuru watu hivi: “Shikeni kila amri ninayowapa leo. 2 Na siku mtakayovuka Yordani kuingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, mtapanga mawe makubwa na kuyapaka chokaa.*+ 3 Kisha mwandike juu yake maneno yote ya Sheria hii mtakapokuwa mmevuka, ili muweze kuingia katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, nchi inayotiririka maziwa na asali, kama Yehova Mungu wa mababu zenu alivyowaahidi.+ 4 Mtakapokuwa mmevuka Yordani, mnapaswa kupanga mawe hayo kwenye Mlima Ebali+ na kuyapaka chokaa,* kama ninavyowaamuru leo. 5 Pia mtamjengea Yehova Mungu wenu madhabahu huko, madhabahu ya mawe. Msitumie vifaa vya chuma kuijenga.+ 6 Mnapaswa kuijenga madhabahu ya Yehova Mungu wenu kwa mawe ambayo hayajachongwa na kumtolea Yehova Mungu wenu dhabihu za kuteketezwa juu yake. 7 Mtatoa dhabihu za ushirika+ na kuzila mahali hapo,+ nanyi mtashangilia mbele za Yehova Mungu wenu.+ 8 Andikeni waziwazi maneno yote ya Sheria hii juu ya mawe hayo.”+

9 Kisha Musa na makuhani Walawi wakawaambia hivi Waisraeli wote: “Nyamazeni, msikilize, enyi Waisraeli. Siku ya leo mmekuwa watu wa Yehova Mungu wenu.+ 10 Ni lazima msikilize sauti ya Yehova Mungu wenu na kutekeleza amri zake+ na masharti yake, ninayowaamuru leo.”

11 Siku hiyo Musa akawaamuru watu hivi: 12 “Makabila yafuatayo yatasimama kwenye Mlima Gerizimu+ ili kuwabariki watu mtakapokuwa mmevuka Yordani: Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Yosefu, na Benjamini. 13 Na makabila yafuatayo yatasimama kwenye Mlima Ebali+ ili kutangaza laana: Rubeni, Gadi, Asheri, Zabuloni, Dani, na Naftali. 14 Na Walawi watamwambia hivi kila Mwisraeli kwa sauti kubwa:+

15 “‘Amelaaniwa mtu anayetengeneza sanamu ya kuchongwa+ au sanamu ya chuma,*+ kitu kinachomchukiza Yehova,+ kilichotengenezwa na mikono ya fundi,* na ambaye amekificha.’ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’*)

16 “‘Amelaaniwa mtu anayemdharau baba yake au mama yake.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

17 “‘Amelaaniwa mtu anayesogeza alama ya mpaka wa jirani yake.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

18 “‘Amelaaniwa mtu anayemfanya kipofu apotee njia.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

19 “‘Amelaaniwa mtu anayepotosha haki+ ya mkaaji mgeni, yatima, au mjane.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

20 “‘Amelaaniwa mtu anayefanya ngono na mke wa baba yake, kwa sababu amemwaibisha baba yake.’*+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

21 “‘Amelaaniwa mtu anayefanya ngono na mnyama yeyote.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

22 “‘Amelaaniwa mtu anayefanya ngono na dada yake, binti ya baba yake au binti ya mama yake.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

23 “‘Amelaaniwa mtu anayefanya ngono na mama mkwe wake.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

24 “‘Amelaaniwa mtu anayemvizia na kumuua jirani yake.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

25 “‘Amelaaniwa mtu anayekubali rushwa ili amuue mtu asiye na hatia.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

26 “‘Amelaaniwa mtu ambaye hataunga mkono maneno haya ya Sheria kwa kuyatekeleza.’+ (Na watu wote watasema, ‘Amina!’)

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki