Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Unabii

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unabii
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Manukuu
  • Unabii wa Biblia
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

UNABII

(Ona pia Kurudishwa; Manabii; Manabii Wadogo; Maono; Nabii wa Kike; Tarehe Zinazohusu Unabii; Ujuzi wa Mapema [Ujuzi wa Kimbele]; Utabiri; Vielelezo vya Unabii; Wakati Ujao; kitabu hususa cha Biblia)

chanzo cha unabii wa kweli: w11 12/1 11-12

kutambua unabii wa kweli: g 3/08 7

ufafanuzi: w11 12/1 11; jd 166-167; rs 344

Manukuu

Biblia ina una unabii mwingi, hivi kwamba haiwezekani kudai kuwa unatimia tu wenyewe: w12 6/1 4

mtu ambaye angeweza kujua mambo yatakayotukia siku tatu kimbele, angekuwa tajiri kwa maelfu ya miaka: w99 7/15 4

Unabii wa Biblia

baadhi ya unabii ambao umetimia: g 5/12 15-18; g 6/12 12-14; g 7/12 22-24; g 8/12 18-20; g 9/12 13-15; g 11/12 15; w08 1/1 22-24; w04 12/1 11; rs 34-36; ol 6-7

Aleksanda Mkuu: w12 6/1 4; w12 6/15 10-11; g 3/11 19-20; w08 1/1 23-24

Ashuru: g 12/10 27-28

Babiloni: g 6/12 12-14; g 1/11 11-12; g 2/11 17-18; jr 158, 161-162; g 11/07 9; w06 6/1 21-22; bh 23-24; rs 34-35; ip-2 76-79, 106-115; ip-1 176-181, 215-225; dp 110-111; w98 4/1 19-20; ct 105-107; w97 5/1 9-11; ba 27-29; g96 2/8 8-9

chukizo (Da 9:27): w12 4/15 25-26; dp 195-196; w96 6/1 15-16

Edomu: jr 163; rs 35

Isaya: w08 10/1 4-6; ct 104-111

Koreshi Mkuu: g 1/11 12; g 2/11 17-18; w06 6/1 21-22; rs 34-35; ip-2 70-72, 76-82; dp 150-151; w97 5/1 9-11; ba 27-28; g96 2/8 8-9

kutimia kwa wakati: w12 5/15 18-19

laana ya Yoshua juu ya yeyote ambaye angejenga upya Yeriko: w98 9/15 21-22

“majuma 70” (Da 9:24-27): w12 1/1 16; g 7/12 24; w11 8/15 8-9; g 2/11 18; bm 18-19; w06 2/15 6; bh 197-199; dp 186-197

Masihi: w12 1/1 16; g 7/12 22-24; w11 8/15 8-16; w09 1/15 21-29

mavuno katika Ufunuo: re 125-126

mipaka ya Nchi ya Ahadi yapanuliwa hadi Efrati (Mwa 15:18; 1Nya 18:3): w05 10/1 11

Misri yatekwa na Nebukadneza: jr 161

mwandiko ukutani (Da 5): dp 98-113

“Njia ya Utakatifu” (Isa 35:8, 9): w08 5/15 26-28

Nofu (Memfisi) na No (Thebesi) huko Misri: g 11/10 17; w03 7/1 32

“nyakati saba” (Da 4): bh 216-218; rs 397-399; dp 82-97

Obadia: jd 162-163

sanamu ambayo Nebukadneza aliona katika ndoto (Da 2): w12 6/15 9-11, 15-16, 19; g 5/11 16-17; dp 46-62

sanamu ya mnyama-mwitu (mnyama-mwitu mwenye rangi nyekundu): re 194-195, 246-248

serikali kuu za ulimwengu: w12 6/15 7-18

siku za mwisho: g 10/12 26-28; w08 8/1 5-6; w08 10/1 6-8; w06 9/15 4-6; w04 2/1 20

Tiro: g 3/11 20; w08 1/1 23; w08 6/1 27; w07 10/15 19; ip-1 252-254

Ugiriki (ya kale): w12 6/1 4; w08 1/1 23-24

uharibifu wa kudumu au wa muda wa mataifa ya kale: w08 1/1 22-23

uharibifu wa Ninawi: w07 11/15 9

uharibifu wa Samaria: w05 11/15 29-30

Ukristo umeenea ulimwenguni: g 9/12 13-14

Ukristo waharibiwa: g 9/12 14-15

Ukristo wapingwa vikali: g 9/12 14

Umedi na Uajemi: w12 6/15 10; g99 4/8 25-27; g99 8/8 25-27

unabii ambao alitoa alipokaribia kufa (Mwa 49): w12 1/1 29

unabii wa Agabo kuhusu njaa (Mdo 11:28): bt 12

unabii wa Lameki kumhusu mwana wake Noa: w01 11/15 29; w96 11/1 8

wafalme wa kaskazini na wa kusini (Da 11, 12): dp 211-215, 217-285

wanyama katika kitabu cha Danieli: w12 6/15 10-11; la 13-14; dp 129-145, 165-170

wazao wa Abrahamu: g 5/12 15-18

Yeremia: jr 154-155, 157-163

Yerusalemu (607 K.W.K.): w04 11/15 17

Yerusalemu (70 W.K.): g 4/11 12-13; w09 5/1 27; w07 4/1 8-11; rs 35-36; w03 1/1 8-9; w99 5/1 10; w97 4/1 5-6; w96 8/15 16-18

Yerusalemu ‘lilizingirwa na majeshi yaliyopiga kambi’ (Lu 21:20): g 4/11 12

Yezebeli aliliwa na mbwa huko Yezreeli (1Fa 21:23; 2Fa 9:31-37): jr 120

Yuda iliachwa katika hali ya ukiwa kwa miaka 70: g 6/12 13-14; w11 10/1 26-28; w11 11/1 22-25, 27; jr 162; w06 11/15 32

chati:

uthibitisho wa kwamba Yesu ndiye Masihi: g 7/12 22-23; bh 200; ip-2 212

utimizo: g 11/12 15

Enoko (Yuda 14, 15): w05 9/1 16; w01 9/15 30-31

haukuandikwa baada ya matukio: w08 1/1 23-24; ct 106-111; ba 28

karne ya kwanza:

wanafunzi siku ya Pentekoste: jd 167; w02 8/1 15

kusudi: jr 155

maelezo: w12 1/1 16-17; w12 6/1 4; g 5/12 15-18; g 6/12 12-14; g 7/12 22-24; g 8/12 18-20; g 9/12 13-15; g 10/12 26-28; g 11/12 12-15; g 12/12 22-25; w08 10/1 3-4; bh 23-25; rs 171-172, 344-346; ba 27-29

“neno la kinabii” (2Pe 1:19): w97 9/1 12-13

kuliamini: w00 5/15 15-19

kulisikiliza: w00 4/1 12-17

njia bora ya kujua wakati ujao: w00 1/15 3

“taa inayoangaza mahali penye giza” (2Pe 1:19): w00 4/1 15; w97 9/1 12-13

uandikaji uliongozwa na roho takatifu:

haukutokana na “fasiri yoyote ya kibinafsi” (2Pe 1:20): w11 12/1 11-12; w00 4/1 16

ufasiri: w11 12/1 12-13; re 9, 119, 246-248

umuhimu kwa Wakristo: rs 345-346

unabii wa Biblia ni tofauti na uaguzi: w99 7/15 3-7

unabii wa kwanza: w12 6/15 7-11, 19; w09 5/15 22; bm 5; w07 12/1 22-29; w06 2/15 4; w06 6/1 23-24; re 10-14, 286-295; wt 33-35; w00 5/15 15-16; ct 119; w96 6/1 9-14

chati yenye maelezo mafupi kuuhusu: w11 1/1 10

dokezo la kwamba kuna ufufuo: w05 5/1 11-12

msaada wa kuelewa unabii unaohusu serikali kuu za ulimwengu: w12 6/15 7-11

unafafanuliwa katika sherehe zilizoagizwa katika Sheria ya Musa: w07 1/1 20-25

unabii wenye kutegemeka: rs 268; w99 7/15 4-8

unabii wenye utimizo zaidi ya mmoja:

Isaya: ip-2 17-18

Isaya 6: ip-1 98-100

Isaya 10:20-23: ip-1 155-156

Isaya 11:6-9: ip-1 161, 163-165

Isaya 28: ip-1 287-289, 291-296

Isaya 35: w96 2/15 8-18

Isaya 54: ip-2 216-217

Isaya 59:20, 21: ip-2 299-302

Isaya 60: ip-2 303-304, 306-320

Isaya 61: ip-2 321-334

Isaya 65: ip-2 372, 379-389

Isaya 66: ip-2 393-402

Danieli 4: w07 9/1 18

Yoeli: w98 5/1 14-15

Sefania: w96 3/1 8-13

Babiloni kuharibiwa na kuachwa ukiwa (Yer 50, 51): jr 165

“chukizo linalosababisha ukiwa” (Da 9:27; 11:31; 12:11): w96 6/1 14-19

kuhubiri “hii habari njema ya ufalme” (Mt 24:14; Mk 13:10): w99 8/15 19-24

“nitamimina roho yangu juu ya kila namna ya mwili” (Yoe 2:28): jd 167

‘Raheli awalilia wanawe’ (Yer 31:15): jr 162-163

“siku ya wokovu” (Isa 49:8; 2Ko 6:1, 2): yb06 3-4

“siku ya Yehova”: jd 36-37

siku za mwisho: w99 5/1 12-13; w97 4/1 5-6; w96 8/15 19-20

unabii mbalimbali kuhusu kurudishwa: re 303

utimizo wa wakati ujao: w12 9/15 3-12; g 11/12 12; g 12/12 22-25; rs 344-345

vipindi vya wakati vinavyohusisha unabii:

‘kutendeka upesi’ (Ufu 1:1): re 15-16

“wakati uliowekwa uko karibu” (Ufu 1:3): re 17

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki