KIGIRIKI
(Ona pia Biblia [Hati za Kale]; Biblia, Tafsiri za; Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo)
(Kuna vichwa vidogo: Maneno Mbalimbali; Vitabu vya Mashahidi wa Yehova)
nomino zisizo na kibainishi wazi:
katika maandiko mengine isipokuwa Yohana 1:1: rs 380
nomino zinazotangulia kitenzi: rs 379-380, 431
sehemu ya Biblia iliyoandikwa katika Kigiriki: w09 4/1 13
kama mtu anahitaji kujifunza Kigiriki ili kuielewa Biblia: w09 11/1 20-23; w09 12/15 3
tafsiri za Biblia: w02 11/15 26-29
Pallis, Alexander: w02 11/15 28-29
Seraphim (Kigiriki cha kisasa): w06 5/15 10-12; w02 11/15 27
Sirili Lukarisi aagiza Maandiko ya Kikristo yatafsiriwe (1629-1638): w02 11/15 26-27; w00 2/15 27-28
Vamvas, Neofitos: w02 11/15 27-29
vitenzi:
kitenzi cha aoristi na cha wakati uliopo: w96 2/15 31
Maneno Mbalimbali
agape (upendo): w09 7/15 12-14; g 11/08 8-9; w03 7/1 8; cl 235-236; g01 8/8 8-9; fy 28-29
agora (soko): w98 7/15 25
alethinos (-a kweli): re 59
anastasis (ufufuo): rs 320; w99 4/1 17; ie 25; w96 10/15 6
apokalypsis (ufunuo): re 6
aselgeia (mwenendo mpotovu): w06 7/15 30
aspazomai (salamu): w98 3/1 30
astorgos (wasio na upendo wa asili): w09 7/15 13; g 10/07 9
baptisma (ubatizo): w06 4/1 30
baptizo (kubatiza): bt 58; rs 307
basanistes (mlinzi wa jela, mtesaji): re 294
basanizo (mateso): re 145, 294; rs 157-158
bios (uhai, riziki ya maisha): w07 8/1 24
blasphemia (matukano, kufuru): g96 10/22 3-4
dakryo (kutokwa na machozi): we 29
diabolos (Ibilisi, mchongezi): lv 138
diakonia (utumishi, huduma): w00 11/15 15, 19
diakonos (mhudumu, mtumishi wa huduma): w00 11/15 15-16, 19; g00 7/8 26-27
didasko (kufundisha): jv 572
dynamis (nguvu, kazi zenye nguvu): w04 7/15 4
ekklesia (kutaniko): w07 4/15 20-21; w02 11/15 7
embrimaomai (kupiga kite): we 29
enopion (mbele za, machoni pa): re 123
epieikes (usawaziko, kuwa mwenye kukubali sababu): cl 206
episkopos (mwangalizi): jv 35
erkhomai (kuja): rs 115-116; w96 8/15 11
estin (ni, kumaanisha): w08 4/1 27-28; w03 4/1 6
eusebeia (ujitoaji-kimungu): w08 6/15 13
geenna (Gehena): bi12 1957
genea (kizazi): w99 5/1 10
haides (Hadesi): bh 212-213; bi12 1959
hieron (hekalu): w02 5/1 30-31
houtos (huyu): w04 10/15 30-31
hypogrammos (kielelezo): cf 75
kalos (bora): w97 10/15 14
kerysso (kuhubiri, kutangaza): jv 556
kharisma (zawadi): w98 2/15 24
kheirotoneo (kuweka rasmi, kuteua): jv 208, 218
khloros (rangi ya kijivu): re 96
Khristos (Kristo): w09 8/1 31
khronos (wakati, kuchelewa): re 157
kolasin (kukataliwa mbali): w08 11/1 7
kosmos (ulimwengu): w08 1/15 17; rs 340; w97 11/1 8, 13-14
latreia (utumishi mtakatifu): w00 11/15 12
leitourgia (utumishi wa watu wote, utumishi wa mtu binafsi): w00 11/15 10-11; w96 8/15 28
martyreo (kutoa ushahidi): jv 12, 20
martys (shahidi): bt 48; w03 10/1 9-10; w97 1/15 30; jv 12-13
mathetes (mwanafunzi): jv 27
mnemeion (kaburi la ukumbusho): rs 326; w96 3/1 6
mysterion (siri takatifu): w97 6/1 12-13
naos (patakatifu, hekalu): re 124; w02 5/1 31
neno lestes (mnyang’anyi): w12 2/1 14
nephalios (mwenye kiasi katika mazoea): jv 182
orge (ghadhabu; hasira ya kisasi): g97 6/8 19-20
parakaleo (kufariji, kutia moyo, kusihi, kuhimiza): w99 2/1 23
paregoria (msaada wenye kutia nguvu): w04 5/1 19; w04 9/15 13; w00 12/15 17-19; w99 12/15 27; w97 9/15 31
parousia (kuwapo): w08 2/15 21-22; rs 116; jv 132-133; w96 8/15 11-12; w96 12/15 30
philadelphia (upendo wa kindugu): w09 7/15 14; w97 8/1 14
phileo (kupenda): w96 10/1 9
philia (upendo, urafiki): w09 7/15 14
philostorgos (mwenye upendo mwororo): w09 7/15 14; w04 10/1 15
philoxenia (ukaribishaji-wageni [ukarimu]): w96 10/1 9-10
phronimos (mwenye busara): w07 9/1 31
pneuma (neno lililoongozwa kwa roho, roho): bh 210; rs 242
poikilos (aina mbalimbali): w05 6/15 30
porneia (uasherati): w11 11/1 5; lv 99; yp2 43-44; w06 7/15 29-30; w04 2/15 13; w00 11/1 8; w99 9/1 12-13
presbyteros (mwanamume mzee, mzee): jv 35, 233
proskyneo (kusujudia, kuabudu): rs 433-434
psykhe (nafsi): bh 208-210; rs 155, 221-223; bi12 1958; w99 4/1 15; ie 19-20; w96 10/15 5
rhaka (neno la dharau lisilosemeka): w06 2/15 31
semeion (ishara ya nguvu kutoka kwa Mungu): w04 7/15 5
spermologos (mpiga-domo): bt 141
stauros (mti wa mateso): w11 3/1 18; g 4/06 12-13
storge (upendo wa asili): w09 7/15 12-13
synagoge (sinagogi, mkutano wa watu wote): w02 11/15 7
syneidesis (dhamiri): w05 10/1 12
synteleia (umalizio): w08 2/15 21
syntribo (tia jeraha, ponda): w11 9/1 9; re 287
taphos (kaburi): bi12 1959
tarasso (kutaabika): we 29
teras (maajabu): w04 7/15 4-5
theotes (sifa ya Mungu): rs 383-384
therion (mnyama-mwitu): re 187
thymos (hasira): g97 6/8 20
time (heshima): w97 11/1 26
tote (ndipo): w96 7/15 30
xylon (mti, kipande cha mbao): w11 3/1 18-19
zoe (uhai [uzima]): w07 8/1 24
Vitabu vya Mashahidi wa Yehova
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya: w02 11/15 29; w98 9/1 32
Biblia The Kingdom Interlinear Translation of the Greek Scriptures: w98 2/1 32
gazeti la Mnara Mlinzi: w99 10/1 23