Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 8:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Kwa hiyo Yehoramu+ mfalme akarudi Yezreeli+ ili apone yale majeraha waliyomtia Wasiria kule Rama alipopigana na Hazaeli mfalme wa Siria. Naye Ahazia+ mwana wa Yehoramu mfalme wa Yuda akashuka ili amwone Yehoramu mwana wa Ahabu katika Yezreeli, kwa maana alikuwa mgonjwa.

  • 2 Wafalme 9:21
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Ndipo Yehoramu akasema: “Fungeni!”+ Basi gari lake la vita likafungwa, na Yehoramu mfalme wa Israeli na Ahazia+ mfalme wa Yuda wakatoka, kila mmoja wao akiwa ndani ya gari lake la vita. Walipoendelea kwenda kumpokea Yehu, wakamkuta katika sehemu ya shamba la Nabothi,+ Myezreeli.

  • 2 Mambo ya Nyakati 22:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kisha wakaaji wa Yerusalemu wakamfanya Ahazia+ mwana wake mdogo zaidi kuwa mfalme mahali pake, (kwa kuwa kikundi cha waporaji kilichokuja na Waarabu+ kambini kilikuwa kimewaua wale wakubwa wote,)+ na Ahazia mwana wa Yehoramu akaanza kutawala akiwa mfalme wa Yuda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki