-
Danieli 2:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Wakaldayo wakajibu mbele ya mfalme, na kusema: “Hakuna binadamu yeyote juu ya nchi kavu anayeweza kuonyesha jambo hili la mfalme, kwa vile hakuna mfalme mkuu wala gavana ambaye amepata kuuliza jambo kama hili kutoka kwa kuhani yeyote mwenye kufanya uchawi, wala mfanya-mazingaombwe wala Mkaldayo.
-
-
Danieli 5:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Mfalme akaita kwa sauti kubwa akasema waletwe ndani wafanya-mazingaombwe, Wakaldayo na wanajimu.+ Mfalme akawaambia watu wenye hekima wa Babiloni: “Mtu yeyote atakayesoma maandishi haya na kunionyesha tafsiri yake kamili, atavikwa mavazi ya zambarau,+ pamoja na mkufu wa dhahabu shingoni mwake, naye atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.”+
-