-
Kumbukumbu la Torati 32:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Mimi huua, nami hufanya kuwa hai.+
-
-
Yohana 11:44Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
44 Mtu huyo aliyekuwa amekufa akatoka, miguu na mikono yake ikiwa imefungwa kwa vitambaa, na uso wake ukiwa umefungwa kwa kitambaa. Yesu akawaambia: “Mfungueni, mmwache aende.”
-
-
Matendo 20:9, 10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kijana aitwaye Eutiko alikuwa ameketi dirishani, naye akalala usingizi mzito Paulo alipokuwa akiongea, basi akalemewa na usingizi, akaanguka chini kutoka ghorofa ya tatu, akaokotwa akiwa amekufa. 10 Lakini Paulo akashuka kutoka ghorofani, akajitupa juu yake akamkumbatia+ na kusema: “Acheni kupiga kelele, kwa maana yuko hai.”*+
-