Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Magonjwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Magonjwa
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Magonjwa Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MAGONJWA

(Ona pia Afya; Dawa; Magonjwa ya Akili; Magonjwa Yanayoenea Haraka Sana; Matibabu [Tiba]; Mfumo wa Kinga; Tauni [Magonjwa]; Tiba, Sayansi ya; Ugonjwa wa Kiroho; Uponyaji [Maponyo]; Utunzaji [Wazee na Wagonjwa]; Viini; Wagonjwa Mahututi [Utunzaji]; Walemavu; nchi hususa)

(Kuna kichwa kidogo: Magonjwa Mbalimbali)

barua kuhusu makala za Amkeni!: g 9/07 22

gharama: g 1/07 3

kwa sababu ya mazoea yanayodhuru: g97 7/22 24-27

hofu ya kuenea kwa magonjwa ya kuambukiza ulimwenguni: g 9/12 6

huduma za dharura:

Huduma ya Ambulansi ya London: g 3/06 10-11

ishara ya siku za mwisho: g 10/12 27; w11 5/1 6; w08 8/1 5; w08 10/1 7; re 97; w05 10/1 5-6; bh 90; g05 12/22 10-11; rs 287; g04 5/22 12-13; w98 9/15 7; w97 4/1 7; g97 11/22 3-10

kadiri ambavyo magonjwa yameenea: g96 2/22 3-11

magonjwa yanayosababishwa na ukosefu wa usafi: g98 1/22 28-29

magonjwa yanayotibika yanaenea tena: g96 2/22 5

ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO): g97 11/8 29; g96 3/22 24

kama watu wanakuwa wagonjwa kwa sababu ya kufanya dhambi: w08 4/15 30

kichefuchefu wakati wa kusafiri: g98 6/22 15-16; g96 1/22 29; g96 11/8 30

kinga: g 3/11 7; g03 5/22 8-9; g97 11/22 11-12

agano la Sheria: w12 6/1 6; cl 130

chakula salama: g 6/12 3-7

chanjo: g 1/07 4

kunawa mikono: g 6/12 5; g 3/11 7; g04 2/22 29; g03 11/22 15; g99 2/22 28-29; g97 2/22 28; g97 11/8 28; g97 11/22 11; g97 12/22 28-29

kutumia vitamini: g 5/06 30; g05 7/8 28

manufaa za kuambukizwa viini vya kawaida utotoni: g 1/11 14

sheria za Biblia zinazuia magonjwa: g 10/10 21-22

usafi: fy 46-48

kujitibu: g03 12/22 14; g98 7/8 3-8

kupambana na magonjwa: w08 9/15 10-11; w07 7/15 27-28; w03 9/1 15-17

manufaa ya kuwa mwenye ucheshi: g 5/06 30; g 7/06 30; g05 4/22 26-27

manufaa ya kuwa na tumaini: g 5/12 9; g 11/10 25; g04 4/22 4-6

mtumishi wa wakati wote: w97 9/15 22-23

umuhimu wa kuwa jasiri: w06 10/1 24-25

wengine wanavyoweza kusaidia: w10 7/1 10-13; w03 1/15 13-14

kupima ugonjwa kwa kutumia chembe za urithi: g 1/07 6-7; g00 9/22 8-9

kusali kuhusu ugonjwa: w11 12/15 28-29; w03 9/1 16; w00 3/1 4; w00 4/15 6

maambukizo:

maji ya tunda la cranberry yanazuia: g02 11/8 29

vyumba baridi vya kufanyiwa upasuaji vyachangia: g97 6/22 29

wagonjwa wanaambukizwa magonjwa mengine hospitalini: g00 3/8 29; g98 9/22 29; g96 2/22 8

magonjwa mapya yagunduliwa: g 10/12 27; g97 11/22 6-7; g96 2/22 5-7, 10-11

magonjwa ya kuambukiza: g99 7/22 28

idadi ya watu wanaokufa: g01 2/8 29

kadiri ambavyo yameenea: g 10/12 27; g05 12/22 11; g01 7/22 31; g01 12/8 28; g98 8/8 30; g98 9/8 28; w97 4/15 6; g97 11/22 4-8; g97 12/8 28; g96 11/22 28

kinga: g 3/11 7

ugonjwa unaowaua watu wengi kuliko magonjwa mengine: g99 11/22 29

utafiti wa Louis Pasteur: g96 12/8 26-27

viini sugu: g 7/12 6; g 10/12 27; g04 5/22 10; g03 10/22 3-11; g98 12/22 28; g97 11/22 6; g96 2/22 7-8

wajibu wa Wakristo walio na ugonjwa wa kuambukiza: od 196-197

yanayoanza kuenea tena: g97 11/22 5, 8; g96 2/22 3-11

magonjwa ya kudumu au magonjwa mengine mabaya: g01 2/8 30; g01 9/22 30

hisia za watu wanaowatunza wagonjwa: g 1/06 29

kumtunza mtu aliyeshikwa na kiharusi: g98 2/8 6-8

kumtunza mume au mke: w09 11/1 10-12

kuwatia wagonjwa moyo: be 205

kuwatunza wagonjwa waliopungukiwa akili kwa sababu ya uzee: g98 9/22 5-13; g97 4/22 29

magonjwa si uthibitisho wa kwamba Yehova hamkubali mtu: w11 12/15 28

mambo ambayo watunzaji wanahitaji: g00 3/8 30; g00 3/22 22; g98 2/8 11-12; g97 2/8 3-13; g97 11/8 30; g97 11/22 30

mtu kuruzuku familia akishikwa na ugonjwa wa kudumu: w97 8/15 19-20

ushirikiano katika familia: g00 5/22 3-12; w98 8/1 27-28; g98 2/8 8-11; fy 116-127

vijana: g 3/09 30; yp2 74-82; g 2/08 26-28; g98 2/8 29; g98 2/22 30; g97 4/22 17-19; g97 6/22 25-27

wagonjwa wanavyoweza kuvumilia: w11 12/15 27-30; w06 10/1 25; w03 9/1 16-17; g01 1/22 3-14

wajibu wa kutaniko: w10 5/15 19; w09 9/15 20; w02 2/1 28

watunzaji wanapaswa kuendelea kuwa na nguvu kiroho: w10 5/15 17-19

wazazi wa vijana: g00 3/8 30; g99 7/22 21-23

magonjwa ya maeneo yenye joto (tropiki):

utafiti hautiliwi maanani: g 2/07 19

magonjwa ya mfumo wa kupumua:

idadi ya watoto wanaokufa: g96 3/22 24

magonjwa yanavyopitishwa:

kurambwa na mbwa: g96 5/22 29

kutiwa damu: g99 2/22 29

maji: g96 3/22 24

meli: g01 10/8 28

mikono: g 6/12 5; g 9/07 21; g01 5/8 28

ndege za abiria: g97 11/22 29

vitambaa vya kupangusia vyombo na sifongo (sponji) za jikoni: g96 11/8 29

wadudu: g03 5/22 3-12

magonjwa yanayopitishwa kwa damu: g99 2/22 29; g99 6/22 31; g96 1/8 29

magonjwa yanayosababishwa na chakula: g 6/12 3; g01 12/22 3, 8-10; g97 8/22 28

E. coli O157:H7: g97 3/8 29; g97 8/22 28

kupika nyama ifaavyo: g96 6/22 30

magonjwa yanayosababishwa na maji machafu:

kadiri ambavyo yameenea: g97 8/22 8-9

magonjwa ya ngozi: g98 5/22 29

magonjwa yatakomeshwa: g 12/12 23, 25; w10 4/1 9-10; g 1/07 3-11; rs 106-107; g04 5/22 11-13; g03 10/22 11; g01 6/8 9-10; g96 2/22 10-11

“hakuna mkaaji atakayesema: ‘Mimi ni mgonjwa’” (Isa 33:24): ip-1 352, 354-355

jitihada za wanadamu zimeshindwa: g 1/07 6, 8, 11; g04 5/22 3-11; g01 6/8 7-9; g96 2/22 3-11

makala za Amkeni! zathaminiwa: g96 10/22 30

mambo yaliyoonwa:

binti awasifu Mashahidi waliosaidia kumtunza mamake: w03 11/1 32

dada amtunza mume baada ya mume huyo kushikwa na kiharusi: fy 120-121

kansa ya zoloto, kisha ugonjwa wa kupooza: g01 1/22 11-14

kijana mwenye kansa: g99 7/8 30; g99 8/22 24-25; g98 10/22 31

kuhubiri kwa njia ya barua: g 9/11 18; yb04 56-57

kumtunza mume mwenye kansa ya ubongo: w12 5/15 15-16

mama aliyeshikwa na ugonjwa wa ALS: g 10/09 24

mama ya mtoto aliye na tatizo la ukuzi: g 11/10 25

mtoto mwenye kansa ya mfumo wa neva atembelea Betheli: w07 4/15 32

mtumishi wa wakati wote mwenye ugonjwa wa mfumo wa neva: w06 6/1 13-14

mtu mwenye ukoma: yb09 115-116

ndugu na dada wanaoendelea kuhubiri licha ya magonjwa mabaya: w11 12/15 28-29

painia msadizi mwenye ugonjwa wa kupooza ubongo: yb12 10-12

Shahidi mwenye kansa ya ubongo: yb09 55

Shahidi mwenye ugonjwa usiotibika: w09 9/15 20

Shahidi mwenye ugonjwa wa ngozi: g 9/09 20

ugonjwa usiotibika: w05 7/1 19-20

watu wenye magonjwa yanayolemaza: w11 12/15 27-30; w07 7/15 27-28; g01 1/22 3-5, 7-11

mambo yanayochangia: w99 9/1 6; g96 2/22 6-9

dhambi inayorithiwa: w08 4/15 30; lr 122-126

hisia: g04 1/8 29

kelele: g99 11/22 28; g97 7/22 28

kemikali katika vitu vya kuchezea vya watoto: g99 9/22 28

kuahirisha mambo: g02 4/8 28

kushuka moyo: g03 10/8 28

majiji: g97 11/22 6-8

mazingira safi kupita kiasi: g 1/11 14

mfadhaiko (mkazo): g05 2/8 3, 6; g03 11/8 28; g02 9/22 28; la 4; g98 3/22 3-6; g96 12/8 28-29

tumbaku: g05 4/8 29; g05 9/22 29

uchafuzi wa mazingira: g99 6/22 15

umaskini: g99 9/22 19; g98 6/8 5; g97 11/22 5-6; g96 2/22 9; g96 3/8 29

unene unaopita kiasi: g05 11/8 6; g04 11/8 6; g00 1/8 28

usafiri: g02 5/22 14; g97 11/22 8; g96 6/22 7

utapiamlo: w97 4/15 29, 31

viini sugu: g04 5/22 10; g03 10/22 3-11; g98 12/22 28; g97 11/22 6; g96 2/22 7-8

wanyama vipenzi: g00 8/8 29

maoni ya Kikristo: w06 3/1 25-26; w97 8/15 31

kuepuka kuwaambukiza wengine: od 196-197

kuwasaidia Wakristo wagonjwa: w10 5/15 19; w09 9/15 20

Mkristo asipoweza kufanya mengi katika utumishi mtakatifu: w10 2/15 20-21; w97 6/1 26

masimulizi ya maisha:

Kuishi na Maradhi ya Cystic Fibrosis: g00 5/22 30; g00 6/8 30; g99 10/22 12-14

Kutoka Kifo cha Polepole Hadi Maisha Yenye Furaha (beta-thalassemia): g01 1/8 20-22

Kutumikia kwa Shangwe Licha ya Magonjwa (ugonjwa unaoharibu misuli): w06 6/1 16-20

Loida Aacha Kukimya (kupooza ubongo): g01 1/8 19; g00 5/8 22-24

Maisha Yangu Nikiwa Mkoma—Mwenye Shangwe na Baraka za Kiroho: w98 4/1 22-27

Nguvu za Neno la Mungu Zasaidia Familia ya Kihindu (uvimbe kwenye ubongo): w12 10/1 9-11

Nilipata Usalama Nijapokuwa Kiziwi na Kipofu: g01 4/22 19-23; g01 12/22 30

“Niwapo Dhaifu, Ndipo Niwapo Mwenye Nguvu” (baridi yabisi): g97 1/22 23-27

masimulizi ya watu binafsi:

“Binti Yenu Ana Ugonjwa wa Kisukari!”: g99 9/22 20-23

Jinsi Maisha Yangu Yalivyobadilika Nilipojeruhiwa: w06 5/1 15; g04 1/8 30; g04 1/22 30; g03 4/22 18-21

Kuwatumikia Wengine Hupunguza Mateso (ugonjwa wa mfumo wa neva): w03 7/1 21-25

Matatizo Yangu ya Endometriosis: g01 3/22 30; g00 7/22 9-13

Pambano Langu na Ugonjwa wa Mfumo wa Kinga: g01 8/8 22-25

Pambano Langu na Ugonjwa Wenye Kudhoofisha (ugonjwa wa mfumo wa mkojo): g01 3/8 18-20

Sauti Isiyosikika Inayosema Mengi (ugonjwa wa Rett): g 10/08 18-21

Ugonjwa Unaporudi Mara ya Pili (polio): g05 5/8 30; g04 7/22 19-23

matibabu ya kutumia chembe za urithi: g 1/07 6; g01 6/8 8; g00 9/22 9-11; g96 2/22 29; g96 5/22 29; g96 9/22 6

mtu kufanya kazi akiwa mgonjwa: g05 8/8 28

utambuzi wa ugonjwa:

kuuliza maoni ya daktari mwingine: g00 10/22 28

uwezo wa kuhisi harufu: g01 11/8 29

visa katika Biblia: w11 12/15 27

vyanzo vya magonjwa—

Adamu: g 1/07 10-11

Shetani na roho waovu: w02 8/1 7; w99 9/1 3-7

wadudu waandaliwa kwa kusudi la matibabu (Singapore): g96 9/8 28

watoto:

homa: g03 12/8 25-27

mtazamo mzuri wa mama: g 11/10 25

nchi zinazoendelea: g 1/07 4

watoto wanavyoathiriwa na mfadhaiko (mkazo): g96 12/8 28-29

watoto wachanga:

kinachofanya Mungu aruhusu wazaliwe wakiwa na kasoro: rs 128-129

watu wenye ugonjwa usiotibika: w08 5/1 25-29

kuwatunza wagonjwa wanaokaribia kufa: g 7/11 15-17

uhai unaotegemezwa na mashine: w12 12/15 15-16

watu wa familia wanavyoweza kuwatunza: g00 5/22 12

Yehova anavyomsaidia mgonjwa: w08 9/15 5, 10-11; fy 119-120

Magonjwa Mbalimbali

(Ikiwa hakuna marejeo, ona kichwa kikuu)

Alport (ugonjwa wa figo): g96 11/22 11-14

ALS (ugonjwa wa neva za ubongo):

Alzheimer:

anemia selimundu (sickle-cell anemia):

Asperger:

Chagas:

choa ya mguu: g00 8/22 29

chunusi (vipele):

Creutzfeldt-Jakob (kichaa cha ng’ombe): g 2/06 30; g98 3/8 9

Crohn (ugonjwa wa matumbo): g98 5/8 30; g97 4/22 17-19

cystic fibrosis: w06 7/1 31; g99 10/22 12-13

dalili za kabla ya hedhi:

dondakoo: g97 11/22 8

Down syndrome:

Ebola: g 10/06 30; g96 5/8 23-25

endometriosis:

fibromyalgia:

glakoma:

hofu ya ghafula:

hofu ya hofu: g96 6/8 23

homa ya mafua makali:

homa ya mafua ya Hispania:

Huntington: g00 3/22 20-22; g00 12/22 30

jongo:

kansa:

kansa ya damu (lukemia):

kansa ya damu aina ya promyelocytic: g01 4/22 30; g00 8/22 20-21

kaswende:

kichaa cha mbwa: g96 12/8 27

kichefuchefu (wakati wa kusafiri): g98 6/22 15-16; g96 1/22 29; g96 11/8 30

kichefuchefu (wanawake wajawazito): g05 9/8 28; g03 4/22 29

kichocho (bilharziasis, schistosomiasis):

kidingapopo (homa):

kifafa:

kifo cha ghafula cha mtoto mchanga (SIDS):

kifua kikuu (TB):

kiharusi:

kimeta: g02 9/22 8-9

kipindupindu:

kisonono: g04 5/8 28-29

kisukari:

kleptomania (tamaa kubwa ya kuiba): g05 6/22 5

kuathiriwa na kemikali (ona kichwa Mizio [Kuathiriwa na Vitu Mbalimbali]):

kuathiriwa na maziwa (ona kichwa Maziwa):

kuhangaikia mno sura (ona kichwa Sura [Kuihangaikia Kupita Kiasi]):

kujiumiza: g 9/09 6; g 1/06 10-12; g 2/06 18-20; g 10/06 28-29

kula kupita kiasi kusikodhibitika: g 10/06 19-20

kula na kujitapisha (ona kichwa Ugonjwa wa Kula na Kujitapisha):

kuogopa bila sababu halisi:

kupooza:

kupooza (ubongo):

kupungua kwa joto mwilini: g98 1/8 29

kushuka moyo:

kushuka moyo baada ya kujifungua:

kusinzia mchana:

kusokotwa na tumbo: g04 5/8 19

kutoweza kusikia (ona kichwa Viziwi):

kuzimia: g 3/08 30; g 4/07 28

kuzirai kwa sababu ya joto: g02 6/22 28; g98 1/8 29

leishmaniasis: g03 8/8 29

lupus (mapaku-mekundu):

Lyme:

mafua:

mafua yanayosababishwa na chavua: g04 5/22 24

magonjwa ya akili:

magonjwa ya kuharisha (ona kichwa Kuhara [Kuendesha]):

magonjwa yanayosababishwa na hisia:

magonjwa ya zinaa:

malale: g02 3/22 28; g99 5/8 28; g96 5/22 12-13

malale (trypanosomiasis): g96 5/22 12-13

malaria:

malengelenge:

malengelenge katika viungo vya uzazi: g98 4/8 28

maradhi ya mishipa (PVD): g99 6/8 3-5

maradhi ya sotoka (ugonjwa wa ng’ombe): g 5/12 29

maradhi ya utumbo mwembamba: g99 3/22 18-19; g99 11/22 30

Marfan: g01 2/22 11-13

matatizo ya kula: g 10/06 18-21; g03 2/22 29; g99 1/22 3-12; g99 4/22 13-15; g99 5/22 18-20

maumivu ya kichwa:

maumivu ya viungo yanayosababishwa na kufanya jambo tena na tena (ona kichwa Maumivu):

mchochota wa ini:

mfadhaiko unaosababishwa na tukio lenye kutisha:

minyoo:

mnyoo aina ya guinea: g96 7/22 28-29

mizio (kuathiriwa na vitu mbalimbali):

mkojo (kushindwa kuudhibiti):

mtoto wa jicho: g03 5/22 4

muscular dystrophy:

ndui:

ndui ya nyati: g96 12/8 29

nimonia (homa ya vichomi): g 1/07 8

Parkinson:

polio (ugonjwa wa kupooza):

psoriasis (ugonjwa wa ngozi): g98 5/22 29

Rett:

SARS:

Mashahidi huko Taiwan wawaunga mkono wenye mamlaka: yb04 57-58

shinikizo la juu la damu: g03 1/22 30; g02 4/8 21-23; g97 7/8 29

shinikizo la juu la damu la mjamzito: g 11/09 29

matibabu: g04 10/22 29

surua: g 1/07 8

tatizo la kudhibiti mawazo au mwenendo:

tatizo la kupumua wakati wa kulala: g04 2/8 10-11; g03 3/22 8-9; g02 7/22 12

Tatizo la Upungufu wa Makini [Utendaji wa Kupita Kiasi] (AD[H]D):

Tauni ya Enzi ya Kati:

tetekuwanga: g02 7/22 28-29

thalassemia:

beta-thalassemia (ugonjwa wa Cooley): g01 1/8 20-22

tinnitus (kelele sikioni):

Tourette:

ubotuli: g02 9/22 8

uchovu wa daima (ona kichwa Uchovu):

uchovu wa kupindukia (ona kichwa Uchovu):

ugonjwa hatari wa milimani (AMS): g 7/10 19-20

ugonjwa unaoathiri rangi ya ngozi na nywele (ona kichwa Albino [Ugonjwa]):

ugonjwa unaofanya mifupa iwe dhaifu: w09 5/1 29

ugonjwa unaofanya miguu isitulie: g04 11/22 30; g01 7/8 30; g00 11/22 19-20

ugonjwa unaosababishwa na virusi vya papillomavirus: g05 6/22 21-23

ugonjwa wa dundumio (thyroid): g 5/09 26-29

ugonjwa wa fizi: g 5/07 28-29

ugonjwa wa kibofu cha mkojo:

ugonjwa wa kujinyima chakula:

ugonjwa wa kupooza ubongo:

ugonjwa wa kutoganda kwa damu:

ugonjwa wa maumivu makali (RSD):

ugonjwa wa mfumo wa kinga (scleroderma, SD): g01 8/8 22-25

ugonjwa wa mfumo wa neva (multiple sclerosis):

ugonjwa wa mfumo wa sikio unaodumisha usawaziko (otosclerosis, otospongiosis):

ugonjwa wa mifupa:

ugonjwa wa milimani: g 7/10 19-20; g04 3/8 11-12

ugonjwa wa Minamata: re 175

ugonjwa wa mnyoo wa guinea: g96 7/22 28-29

ugonjwa wa moyo (ona kichwa Moyo):

ugonjwa wa pesa: g 3/09 3

ugonjwa wa porphyria: km 11/06 5

ugonjwa wa pumu (asthma):

ugonjwa wa tando za ubongo: g96 12/22 28

homa ya uti wa mgongo: g97 11/22 5

ugonjwa wa tezi-kibofu (ona kichwa Tezi-Kibofu):

ugonjwa wa trichotillomania: g 10/06 29

ugumu wa mishipa ya damu (arteriosclerosis) na kurundika kwa mafuta katika mishipa ya damu (atherosclerosis): g01 3/22 26

UKIMWI:

ukoma:

ulevi (zoea sugu):

unene:

upofu (ona kichwa Kipofu/Upofu):

upofu wa mtoni (onchocerciasis):

upungufu wa damu:

Usher: g01 4/22 19-23

usingizi, kukosa:

utapiamlo:

uvimbe:

vidonda:

vidonda katika utumbo mpana: g04 5/8 22-23

vijiwe vya figo: g99 1/22 29; g98 3/8 29

vimelea (vijidudu):

vitiligo:

yabisi-kavu:

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki