Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w15 12/15 uku. 32
  • Fahirisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 2015

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fahirisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 2015
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Vichwa vidogo
  • BIBLIA INABADILI MAISHA
  • MAISHA YA KIKRISTO
  • MAKALA ZA FUNZO
  • MAMBO MENGINE
  • MASHAHIDI WA YEHOVA
  • MASIMULIZI YA MAISHA
  • MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI
  • YEHOVA
  • YESU KRISTO
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
w15 12/15 uku. 32

Fahirisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 2015

Inaonyesha tarehe ya toleo ambamo makala inapatikana

BIBLIA

  • Biblia ya Bedell (Ireland), 9/1

  • Hazina Kutoka Kwenye Takataka (hati za Rylands), 4/1

  • Je, Sayansi Imechukua Nafasi ya Biblia? 6/1

  • Je, Ungependa Kujifunza? 4/1

  • Kwa Nini Uichunguze? 2/1

  • Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Toleo la Mwaka 2013, 12/15

  • Unabii, 9/1

  • Unaweza kuielewa, 12/1

  • Wajapani Wapokea Zawadi Ambayo Hawakutarajia (Mathayo), 2/15

BIBLIA INABADILI MAISHA

  • Biblia Ilikata Kiu Yangu ya Kutapata Majibu (M. Gündel), 1/1

  • Maisha Yangu Yalizidi Kuwa Mabaya (S. McDowell), 7/1

  • Majibu ya Maswali Muhimu Maishani (E. Loedi), 2/1

  • Maswali Matatu Yalibadili Maisha Yangu (D. Eldred), 4/1

  • Nilifikiri Ninafurahia Maisha (P. Pyzara), 11/1

  • Nilijifunza Kwamba Yehova Ni Mwenye Rehema (N. Pelletier), 5/1

  • Sasa Ninahisi Kwamba Ninaweza Kuwasaidia Wengine (J. Corio), 10/1

MAISHA YA KIKRISTO

  • Amri ya Kufunga Ndoa “Katika Bwana Tu” Je, Imepitwa na Wakati? 3/15

  • Dumisha Bidii Yako Katika Huduma, 2/15

  • Je, Kuna Faida Yoyote Tunaposali? 10/1

  • Je, Ni Lazima Wengine Watambue Kazi Yako? 7/15

  • Jinsi ya Kufurahia Kazi Yako, 2/1

  • Kumtumikia Yehova Katika “Siku Zenye Msiba,” 7/15

  • “Mnahitaji Kuwa na Uvumilivu,” 6/15

  • “Mtu Asiye na Uzoefu Huamini Kila Neno,” 10/15

  • Samehe kwa Hiari, 10/1

  • Waume—Dumisheni Amani Nyumbani, 1/1

MAKALA ZA FUNZO

  • Acheni Yehova Aimarishe na Kulinda Ndoa Yenu, 1/15

  • Aliwapenda Watu, 6/15

  • Endelea Kutarajia! 8/15

  • Hapa Ni Mahali Petu pa Ibada, 7/15

  • ‘Hii Ndiyo Njia Unayoikubali,’ 3/15

  • Iga Ujasiri na Utambuzi wa Yesu, 2/15

  • Iga Unyenyekevu na Wororo wa Yesu, 2/15

  • Ishi Kupatana na Sala ya Mfano, 6/15

  • Je, ‘Unampenda Jirani Yako Kama Unavyojipenda’? 11/15

  • Je, Dhamiri Yako Inakuongoza Vizuri? 9/15

  • Je, Inawezekana Kuwa na Upendo Wenye Kudumu? 1/15

  • Je, Unajitahidi Kukomaa Kiroho? 9/15

  • Je, Unauona Mkono wa Yehova Maishani Mwako? 10/15

  • Je, ‘Utaendelea Kukesha’? 3/15

  • Jenga Ndoa Imara na Yenye Furaha, 1/15

  • Jifunze Kutokana na Mfano wa Talanta, 3/15

  • Jihadhari na Mashirika Mabaya Katika Siku Hizi za Mwisho, 8/15

  • Jinsi Wazee Wanavyowazoeza Wengine, 4/15

  • Jitahidi Kuboresha Paradiso ya Kiroho, 7/15

  • Jitayarishe Sasa Kuishi Katika Ulimwengu Mpya, 8/15

  • Kristo—Nguvu za Mungu, 6/15

  • Kutayarisha Mataifa kwa Ajili ya “Fundisho la Yehova,” 2/15

  • Kuwaunga Mkono kwa Ushikamanifu Ndugu za Kristo, 3/15

  • Kwa Nini Tunaadhimisha Mlo wa Jioni wa Bwana? 1/15

  • Miaka Mia Moja ya Utawala wa Ufalme! 11/15

  • Mshukuruni Yehova, Mpate Baraka, 1/15

  • Mtegemee Yehova Sikuzote! 4/15

  • Mtumikie Yehova Bila Kukengeuka, 10/15

  • Mwige Yule Anayeahidi Uzima wa Milele, 5/15

  • Mzoeze Kijana Wako Amtumikie Yehova, 11/15

  • Mzoeze Mtoto Wako Amtumikie Yehova, 11/15

  • Shikamana na Ufalme wa Mungu, 7/15

  • “Simameni Imara Katika Imani,” 9/15

  • Tafakari Mambo ya Kiroho, 10/15

  • Tafakari Upendo wa Yehova, 8/15

  • Tafsiri Bora ya Neno la Mungu, 12/15

  • Tumia Vizuri Nguvu za Ulimi Wako, 12/15

  • Tunaweza Kuonyeshaje Kwamba Tunampenda Yehova? 9/15

  • Tunaweza Kuwa Safi Kiadili, 6/15

  • “Tupe Imani Zaidi,” 10/15

  • Uhusiano Wako na Yehova Ni Halisi Kadiri Gani? 4/15

  • “Ukombozi Wenu Unakaribia”! 7/15

  • Unaweza Kumshinda Shetani! 5/15

  • Uwe Macho—Shetani Anataka Kukumeza! 5/15

  • “Waliziona” Ahadi, 5/15

  • Wazee, Mna Maoni Gani Kuhusu Kuwazoeza Wengine? 4/15

  • Yehova Ameonyeshaje Kwamba Anatupenda? 9/15

  • Yehova Atakutegemeza, 12/15

  • Yehova Huongoza Kazi Yetu ya Kufundisha Ulimwenguni Pote, 2/15

  • Yehova Ni Mungu wa Upendo, 11/15

  • Yehova, Mungu wa Mawasiliano, 12/15

MAMBO MENGINE

  • Desturi za Krismasi, 12/1

  • Elimu ya Vitu vya Kale Inaunga Mkono Biblia? 5/1

  • Hekalu la Herode, 10/1

  • Je, Baba ya Timotheo Alikuwa Mgiriki? 11/1

  • Je, Ista Ni Sikukuu ya Kikristo? 3/1

  • Je, Maisha Yana Kusudi? 8/1

  • “Je, Mimi Niko Mahali pa Mungu?” (Yosefu), 5/1

  • Je, Mwisho Umekaribia? 5/1

  • Je, Nchi ya Israeli ya Kale Ilikuwa na Misitu? 7/15

  • Je, Petro Alikuwa Papa wa Kwanza? 12/1

  • Je, Umaskini Utaisha? 10/1

  • Je, Unafiki Utaisha? 12/1

  • Je, Wafu Wataishi Tena? Wataishi Wapi? 11/1

  • Je, Wayahudi “Kutoka Kila Taifa” Walikuja Katika Pentekoste 33 W.K.? 12/1

  • Jinsi Wachungaji Walivyolipwa, 3/1

  • “Kifuani pa,” 7/1

  • Kukabiliana na Uzee Vizuri, 6/1

  • Kulea Watoto ili Wawe Wenye Kutegemeka, 6/1

  • Kuwepo kwa Muumba, 1/1

  • Kwa Nini Wanadamu Waliumbwa? 8/1

  • Kwa Nini Watu wa Malta Walifikiri Kwamba Paulo Alikuwa Muuaji? 10/1

  • Kwa nini Yosefu Alinyoa Kabla ya Kwenda kwa Farao? 11/1

  • Mahangaiko, 7/1

  • Malazi Wakati wa Sherehe za Kiyahudi, 12/1

  • Mawe ya Kusaga Katika Nyakati za Kale, 7/1

  • Mpinga-Kristo, 6/1

  • Mti Uliokatwa Je, Unaweza Kuchipuka Tena? 4/15

  • “Mtoto Wangu Mpendwa na Mwaminifu” (Timotheo), 11/1

  • Mtu Anawezaje Kuwa Mzazi Mzuri, 6/1

  • “Nilisimama Kama Mama Katika Israeli” (Debora), 8/1

  • Ofisa Katika Jeshi la Roma, 4/1

  • Roho ya Ubinafsi Itaondolewaje? 4/1

  • Serikali Isiyo na Ufisadi, 1/1

  • Siku ya Hukumu, 5/1

  • Simba Watoweka Katika Nchi Zinazotajwa Katika Biblia, 5/1

  • ‘Tafsiri Ni za Mungu’ (Yosefu), 2/1

  • Towashi, 1/1

  • Tunajifunza Nini Kutoka kwa Yoana? 8/15

  • Uhai Baada ya Kifo—Je, Inawezekana? 8/1

  • Ulimwengu Wote Kutawaliwa na Serikali Moja, 2/1

  • Uovu Unatokana na Nini? 7/1

  • Uraia wa Roma, 3/1

  • Vioo vya Nyakati za Biblia, 4/1

  • Wachungaji Watenganisha Kondoo na Mbuzi, 1/1

  • Wakati Ujao wa Wanadamu, 4/1

  • Zawadi Zilizofaa Mfalme (vikolezo vyenye harufu nzuri), 3/1

MASHAHIDI WA YEHOVA

  • ‘Endeleeni Kuwaheshimu Sana Watu wa Namna Hiyo’ (wasaidizi wa Baraza Linaloongoza), 10/15

  • “Ikiwa Kingsley Anaweza, Mimi pia Ninaweza!” 6/15

  • Kutenga na Ushirika ni Mpango wenye Upendo, 4/15

  • “Majira Muhimu Sana” (Ukumbusho), 2/15

  • Mashahidi wa Yehova Ni Nani? 9/1

  • ‘Msiruhusu Kitu Chochote Kiwazuie!’ (makolpota nchini Ufaransa), 11/15

  • Thamini Ukarimu wa Yehova (michango), 11/15

  • Upendo Ulitawala Mkahawa, 5/15

  • Walijitoa kwa Hiari Nchini Urusi, 7/15

  • Walijitoa kwa Hiari New York, 1/15

  • “Yehova Aliwaleta Ufaransa ili Mjifunze Kweli” (Wahamiaji Kutoka Poland baada ya Vita vya Kwanza vya Ulimwengu), 8/15

MASIMULIZI YA MAISHA

  • Baraka za Yehova Zimenitajirisha (M. Jaracz), 9/15

  • Kazi Yenye Kuridhisha Zaidi (D. na G. Cartwright), 3/15

  • Kitu Bora Zaidi ya Umaarufu (M. H. Godenzi), 9/1

  • Kukumbuka Upendo Wangu wa Kwanza (A. Morris III), 5/15

  • Kumkaribia Mungu Ni Kwema Kwangu (S. Maiga), 10/15

  • Macho ya Jairo—Njia Yake ya Kumtumikia Mungu, 3/1

  • Nilibarikiwa ‘Katika Majira Yanayofaa na Yenye Taabu’ (T. R. Nsomba), 4/15

  • Nina Amani na Mungu Pamoja na Mama Yangu (M. Kumagai), 12/15

  • Uamuzi Aliofanya Ujanani (N. Dubovinsky), 10/15

  • Urithi Uliodumu kwa Vizazi Saba (K. Williams), 6/1

  • ‘Visiwa na Vishangilie’ (G. Jackson), 8/15

  • Yehova Amenipa Zaidi ya Ninavyostahili (F. Alarcón), 8/1

MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI

  • Gogu wa Magogu ni Nani? 5/15

  • Je, mhubiri mwanamke anahitaji kufunika kichwa anapoongoza funzo la Biblia? 2/15

  • Je, vyanzo visivyo vya kidini vinathibitisha kwamba Pontio Pilato aliishi? 2/15

  • Ufananisho na kivuli, 3/15

  • Wale wanaoathiriwa na marashi, 2/15

  • Yeriko lashindwa baada ya kuzingirwa kwa muda mfupi, 11/15

YEHOVA

  • Ana Maoni Gani Kuhusu Vita? 11/1

  • Je, Tunaweza Kumjua Mungu? 10/1

  • Je, Tunaweza Kumpendeza Mungu? 7/1

  • Je, Umeacha Kumtumaini Mungu? 9/1

  • Ukweli Kumhusu Mungu, 12/1

YESU KRISTO

  • Je, Tunapaswa Kusali kwa Yesu? 1/1

  • Kukumbuka Kifo cha Yesu, 3/1

  • Kwa Nini Tuadhimishe Kifo Chake? 4/1

  • Yesu Anatuokoa—Kutokana na Nini? 3/1

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki