Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Makasisi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Makasisi
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Makasisi wa Makanisa Mbalimbali
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MAKASISI

(Ona pia Maaskofu; Maaskofu Wakuu; Makadinali [Kanisa Katoliki]; Mapapa; Wajesuti [Shirika la Kanisa Katoliki])

(Kuna kichwa kidogo: Makasisi wa Makanisa Mbalimbali)

bunduki: g98 10/8 28-29

dini zinazodai kuwa za Kikristo: w03 2/15 30

chanzo cha neno la Kiingereza “priest” linalotafsiriwa “kasisi”: jv 35

cheo cha ukasisi kilivyotokea: jv 36

jinsi cheo cha askofu na cha kasisi kilivyopata kuwa tofauti: jv 35-36

hawaheshimiki tena: re 138

wanatendwa kijeuri: g 1/06 20; g02 8/8 29

hawaijui Biblia:

Amri Kumi: w97 12/1 32

jamii ya makasisi imetenganishwa na watu wa kawaida: g 8/09 22-23; w00 11/15 15-16; jv 35-37

hakuna kati ya Mashahidi: g 8/10 9; jv 204

makuhani wa Babiloni: rs 30

kituo cha mahubiri kwenye Intaneti (tovuti): g04 6/8 28

kuwaweka rasmi: w00 11/15 15-16

maadili ya makasisi yamepotoka:

bima ya mwenendo usiofaa kuhusiana na ngono: g97 6/22 29

kasisi aliyefanyiwa upasuaji wa kubadili jinsia akubaliwa (Marekani): g97 6/8 28

makasisi wanawadhulumu watoto kingono: g99 4/8 6-7

mwenendo mchafu kuhusiana na ngono: w97 5/1 3; w96 4/15 15; w96 7/1 7; g96 4/8 7

ngono kati ya watu wa jinsia moja: re 273; w01 11/1 5

ukosefu wa maadili haumzuii mtu asijiunge na chuo cha dini (Marekani): g97 11/22 28

majina ya cheo: w09 8/1 9

makasisi wafichuliwa na—

vyombo vya habari: g98 10/8 28

makasisi wawapinga Mashahidi: yb06 83-86, 88, 90-91, 96; jv 642-650, 654-660, 665-669

Harakati ya Kanisa Katoliki: jv 85, 658

kasisi ajaribu kuwachochea wenye mamlaka: yb11 94

kasisi asababisha wanafunzi wa Biblia wafukuzwe nyumbani na kufutwa kazi: yb05 98-99

kasisi ateketeza vitabu: yb05 110; jv 658

kasisi atupa mavi: jv 421

kasisi awalazimisha Mashahidi wahame: yb11 94

kesi za mahakamani: jv 682; w96 9/1 27

kitabu Preachers Present Arms: re 168; jv 654-655

mauaji: w96 9/1 25, 28

picha ya kuchekesha ya kasisi yachorwa kwa sababu ya makala ya kupinga: yb05 248-249

upinzani washindwa: g 4/07 21; yb05 222; w04 8/15 16

vibandiko milangoni: jv 512

Vita vya Kwanza vya Ulimwengu: re 168; jv 69-70, 423, 552, 647-652, 654-655

Vita vya Pili vya Ulimwengu: re 40

wachochea ghasia: yb11 121-123; w09 3/15 4; yb09 243, 246; w07 6/1 19; w05 8/1 17; jv 70, 474, 542-543, 658, 665-668

wachochea serikali: re 167-168; jv 69-70, 647-650, 654-657, 666-668

wachochea wenye mamlaka wasiwaruhusu Mashahidi kufanya kusanyiko: yb06 154-157; g97 2/22 24-27

waichochea serikali ya Wanazi: jv 659-660

wajaribu kuichochea serikali: yb11 106, 109; yb06 84-85; jv 676

wajaribu kupanga ili Mashahidi wahukumiwe kifo: jv 649

wajaribu kusimamisha utangazaji kwenye redio: jv 447-448

wajaribu kuteketeza vitabu: yb06 85-86

wajaribu kuvunja makusanyiko ya Mashahidi: w11 7/15 21-22; yb04 208-209; jv 493, 668-669

wajaribu kuvuruga makusanyiko: jv 658

wajaribu kuwachochea wenye mamlaka: jv 85

wakusanya vitabu: jv 448

walivyotenda wakati wawakilishi wa Shirika la Watch Tower walipofungwa na baadaye kuachiliwa (1918-1919): re 168; jv 654-655

wamshambulia Russell: jv 642-646

wapinga utangazaji wa habari zinazowasifu Mashahidi: g96 4/22 23-24

wasababisha Mashahidi wafukuzwe: yb11 101; w09 3/15 4

wasambaza vijitabu: yb05 221-222

wasema kwamba Mashahidi hawamwamini Yesu: yb07 181

watafuta vitabu nyumba kwa nyumba: jv 656

wateketeza nyumba za Mashahidi za kufanyia mikutano: w10 3/1 17

watu wahimizwa wajifanye kuwa wenye kupendezwa: jv 666

waungana kuwapinga Mashahidi: jv 668

wavuruga mikutano: jv 658

wawachochea watoto: yb11 114-115; w97 3/1 21; jv 448, 542-543, 665-667

wawachochea watu wavuruge mkutano: jv 643

wawachochea wenye mamlaka: yb09 22, 81; jv 493-494, 656-657, 665-666, 678-681; g97 3/22 14

wawapa wafuasi wao maagizo kuwahusu Mashahidi: yb11 110-111

wawashambulia Mashahidi: yb11 95; w97 3/1 22

wawashtaki Mashahidi kwa uwongo kushirikiana na Wakomunisti: yb04 79, 82

wawashtaki Mashahidi kwa uwongo kuwa manabii wa uwongo: yb05 70

wawashtaki Mashahidi kwa uwongo kuwa wahaini: jv 649-650

wawashtaki Mashahidi kwa uwongo kuwa Wakomunisti: yb11 176; yb04 79, 145; jv 492

wawashtaki Mashahidi kwa uwongo kwamba hawakubali matibabu: yb11 95

malipo ya huduma za kidini: g 6/10 22

mambo yaliyoonwa:

askofu asaidia kupunguza upinzani dhidi ya Mashahidi: w97 10/1 9

kasisi anyamazishwa: yb06 245-246

kasisi avutiwa na jinsi Mashahidi wanavyotumia Biblia: w03 11/15 11-12

makasisi wa Kanisa la Pentekoste: w11 8/1 19-20

mbwa wa kasisi ampelekea kijitabu alichokataa: jv 158

mwenendo wa Mashahidi waonyesha kwamba maneno ya kasisi ni ya uwongo: yb05 46

tendo la fadhili lamtuliza kasisi: yb06 58-60

maoni ya Makasisi kuhusu—

Biblia: w05 9/1 30-31; g96 8/8 29

imani ya kwamba hakuna Mungu: g04 9/8 29

kinachofanya Mungu aruhusu uovu uwepo: w07 5/15 25, 32; g 11/06 3-4

mafundisho ya makanisa yao: w98 10/15 3

ngono kati ya watu wa jinsia moja: w96 7/1 6

ukosefu wa maadili kuhusiana na ngono: w01 11/1 5; w97 1/15 20; g97 6/8 4, 7, 29; w96 7/1 5-6; g96 5/8 28

mpangilio wa vyeo wa wakuu wa kanisa:

chanzo: w03 2/15 30; jv 35-36

“mtu wa uasi-sheria” (2Th 2:3): w10 9/15 28; w08 6/15 8; w08 9/15 30; re 29-31, 35

pengo kati ya makasisi na watu wa kawaida: g98 1/8 23

Tangazo Rasmi Lililochapishwa London (1917): re 147-148

upungufu: g00 9/22 29

utaratibu wa talaka: g04 9/8 26; w98 4/1 5

utawala wa Wanazi:

makasisi waliuunga mkono: re 39-40, 237-238, 244, 270-271; w97 8/15 32

vita:

kitabu Preachers Present Arms: jv 191

maaskofu wa Kanisa Katoliki waliiunga mkono Italia ilipovamia Ethiopia (1935): re 262

maaskofu wa Kanisa Katoliki waliunga mkono utawala wa Wanazi nchini Ujerumani: re 238, 244

makasisi wahusika katika vita: w96 7/1 5

makasisi wanaunga vita mkono: g 2/12 29; rs 366; g99 9/8 27; g96 4/22 5

makasisi wawabariki wanajeshi: w09 6/1 14; g02 5/8 21

Vita vya Kwanza vya Ulimwengu: g 1/11 5; jv 191

Vita vya Pili vya Ulimwengu: w05 1/1 6; w04 10/1 12; w96 7/1 5

wamishonari wachochea Vita vya Kasumba dhidi ya China: re 263

wamekataliwa na Kristo: re 72

wamekosa kuwafundisha watu maadili ya Biblia: w01 11/1 4-5

wameshindwa kuwafundisha watu kuhusu Biblia: g 1/07 15

wanafananishwa na—

makuhani (Yoe 1): w98 5/1 10

mbwa (Ufu 22:15): re 316-317

nyota inayoitwa Pakanga (Ufu 8:10, 11): re 136-138

walevi wa Israeli na Yuda (Isa 28): ip-1 292-293

walevi wa Yuda (Yoe 1): w98 5/1 9

“wale wanaoliacha agano takatifu” (Da 11:30): dp 265

“wale wanaotenda kwa uovu juu ya lile agano” (Da 11:32): dp 272

wanaokosa imani: g03 4/8 29

wanaunga mkono siasa: w04 5/1 3-5

wasifu Mashahidi: g 8/10 4-5; rs 195

‘wateswa miezi mitano’ (Ufu 9:5): re 144-145, 147-148

wausifu Ushirika wa Mataifa: re 241-242, 244

Makasisi wa Makanisa Mbalimbali

Kanisa Katoliki:

aliyekuwa kasisi ahudhuria Ukumbusho: km 1/08 5

idadi inapungua: g 10/10 13; g 6/09 25; g04 11/8 29; w03 4/15 4; g01 4/22 29; g01 7/8 29; g99 9/22 28; g96 2/22 28; g96 10/8 29

kadiri ambavyo makasisi wanajua Biblia: g04 7/8 28-29

kasisi amsifu Hitler kwa kuwapinga Mashahidi (1938): re 40; jv 659

kesi yafutiliwa mbali kwa sababu kasisi ashindwa kutoa uthibitisho kuhusu toharani: jv 682

maelezo kumhusu mfuasi ambaye amekuwa Shahidi: w04 8/1 6-7

mahakama yaamua kwamba kasisi na wakili wamewaharibia Mashahidi sifa (Italia): w98 8/15 31

makasisi wawapinga Mashahidi: jv 656-660

makasisi wenye wake wengi katika sehemu za mashambani barani Afrika: g96 4/22 21

Mashahidi wasifiwa na makasisi: w01 1/15 11

mwenendo mchafu kuhusiana na ngono: w10 3/15 30; w97 5/1 3

ngono kati ya watu wa jinsia moja: w10 3/15 30

umati wachochewa kuwashambulia Mashahidi: w09 3/15 4; yb09 243, 246; w07 6/1 19; jv 474, 542-543

useja wa makasisi: rs 365-366; g99 9/22 28; w96 7/1 6-7; w96 10/15 15; g96 2/22 28

vibandiko vya kuwakataza Mashahidi wasipige hodi (Italia): jv 512

wahusika katika vita: w96 7/1 5

waletwa Ulaya kutoka mabara mengine: g01 4/22 29

waonwa kuwa watu wasio na furaha (Ufaransa): g00 6/8 29

watoto wadhulumiwa kingono: g 3/11 29; g05 1/8 29; g05 12/8 29; g04 11/22 29; w01 7/15 21-22; w97 5/1 6-7; g97 4/8 13-14

watoto wa makasisi: g96 4/8 7

Kanisa Othodoksi la Ethiopia:

kasisi akubali kweli: yb06 48-49

Kanisa Othodoksi la Ugiriki:

kasisi amsikiliza mgonjwa mwenzake hospitalini: g99 10/22 13

kasisi awaongoza watu wenye ghasia kuwashambulia Mashahidi: w97 3/1 21

kasisi awatia Mashahidi moyo: w98 9/1 29

Mashahidi washambuliwa: w97 3/1 22

Kanisa Othodoksi la Urusi:

kasisi akubali kwamba Mashahidi wanafundisha kweli: yb08 10-11

laruhusiwa kugombea vyeo vya kisiasa: g 1/12 20

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki