Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Mifano (Vielelezo)

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mifano (Vielelezo)
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Mifano Katika Biblia
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MIFANO (Vielelezo)

(Ona pia Vielelezo vya Unabii)

(Kuna kichwa kidogo: Mifano Katika Biblia)

kufundisha kwa kutumia mifano: km 4/12 1; jr 134; cf 120-127; w02 9/1 22-24; be 53, 57, 240-246, 257

kulinganisha vitu viwili vinavyofanana: be 257

kutafuta mifano: cf 121, 125-127; w02 9/1 23-24

kutumia mifano katika huduma ya shambani: w05 12/1 29; be 253-254; w99 3/15 19-20

mafunzo ya Biblia: w04 3/15 18

maneno ya Kigiriki: w99 3/15 19

mifano: w02 9/1 23

Adamu na Hawa walianza kufa “katika siku” waliyofanya dhambi kama vile ambavyo tawi huanza kufa linapokatwa (Mwa 5:5): g 6/06 29

baraka za Yehova ni kama chakula kizuri mwilini: w10 9/15 11

Biblia imeongozwa na roho ya Mungu kama mfanyabiashara anavyotunga barua: w12 6/15 26-27

Biblia ni kama mti wa matunda: g 3/10 28-29

dhambi iliyorithiwa ni kama kasoro katika programu ya kompyuta: ct 156-157

dhambi ni kama chembechembe za mchanga katika injini: g 8/12 20

dhambi ni kama mpiga mishale anayekosa shabaha: w06 6/1 12-13

dhambi ni kama ugonjwa ambao mtu hawezi kulipa matibabu yake: w99 2/15 13

dhambi ni kama ugonjwa unaoweza kutibika: w10 3/15 11-12

dhambi ni kama ugonjwa wa kuambukiza usiotibika: w09 9/15 25-26

dhambi yapitishwa kama alama ya mkunjo katika sufuria inayotumiwa kuoka mkate: bh 29; la 24

dhambi yapitishwa kama doa kwenye karatasi inayopigwa fotokopi: g 1/06 8

dhamiri ni kama dira: w09 8/15 19; lv 14-15, 17; g 8/08 27; w02 2/15 3, 5

dhamiri ni kama taa za kuonya: w05 10/1 14

dhamiri ni kama vifaa vya kuongozea ndege za abiria: w01 11/1 3

dini ya kweli inaweza kutambuliwa kama pesa halali zinavyoweza kutambuliwa: bh 144-145

dini za uwongo ni kama eneo lililotiwa sumu: bh 154

dini zinazodai kuwa za Kikristo ni kama yaya ambaye anapuuza watoto ili afanye kazi za nyumbani: cf 186-187

familia za mzazi mmoja ni kama mashua inayokosa mtu mmoja wa kupiga makasia: yp2 210-211

fidia ni kama babu anayelipa madeni ya mwana wake ili kuwasaidia wajukuu: rs 80

fidia ni kama kuokolewa kutoka katika meli inayozama: cl 158, 161

fidia ni kama kuokolewa kutoka katika mgodi: w08 3/1 3, 6-7

fidia ni kama mfadhili anayelipa deni la kiwanda kilichofilisika: cl 143

fidia ni kama tajiri anayenunua benki iliyofilisika na kuwarudishia wateja pesa zao: w10 8/15 14

funzo la Biblia ni kama kutia mafuta kwenye tangi la gari: w10 6/15 4-5

hali ya kutokamilika ni kama gurudumu lenye uvimbe: w07 2/15 28

huduma ya shambani na kuwahudumia ndugu na dada kutanikoni ni kama mabawa mawili ya ndege: w09 1/15 14-15

huduma ya shambani ni kama kazi ya kuwaokoa watu waliopatwa na msiba: km 12/98 1

huduma ya wazee Wakristo ni kama muziki: w97 8/1 18

ibada ya uwongo ni kama pesa bandia: w08 2/15 19; bh 144-145

jamii za wanadamu ni kama maua ya bougainvillea: w96 11/1 32

kaburi ni kama sanduku ambalo Yehova pekee anaweza kufungua: g 8/09 32

kifo ni kama moto unaozimika: w07 1/15 24; bh 59

kinga za kiroho ni kama mfumo wa kinga wa mwili: w05 1/1 23

kuacha Agano la Sheria na kuanza kutumia ‘sheria ya Kristo’ ni kama kubadili katiba ya nchi: w10 2/1 14

kuacha kushirikiana na tengenezo la Yehova ni kama kuogelea katika maji yenye hatari: w10 6/15 6

kuchagua burudani ni kama kuchagua matunda: lv 62-63, 69-70

kucheza michezo yenye jeuri na matendo mapotovu ni kama kucheza na takataka zenye mnururisho: yp2 249-250

kufuata viwango (kanuni) vya Yehova ni kama kudumisha gari: jd 87-88

kujenga upya uhusiano uliovunjika kwa unyenyekevu ni kama kushuka kutoka katika kilele cha mlima mpaka bondeni: w96 9/15 23

kujifunza bila kutenda ni kama kutopanda mbegu katika shamba: w05 4/15 27

kujifunza kuwapenda wengine ni kama kujifunza lugha mpya: w99 2/15 18, 22-23

kujiweka wakfu na ubatizo ni kama ndoa: w98 11/15 12

kukabili hali ngumu maishani kama baharia anavyokabili dhoruba: w08 7/15 31

kukataa mambo maovu bila kukawia kama mtu anavyomzuia mtu anayetaka kugusa jicho lake: w08 3/15 24

kukomaa ni kama kupanda ngazi: g 4/08 27-28

kukombolewa kutoka katika dhambi na kifo ni kama kuponywa ugonjwa usiotibika: w09 9/15 25, 29

kukuza matunda ya roho kama mkulima anavyokuza mazao: w10 3/15 15-16

kumjua Mungu ni kama kumjua mwajiri: ol 5

kumkaribia Yehova na mwenzi wa ndoa ni kama kupanda mlima: lv 121-123

kumsifu Yehova kama ambavyo mtu angemsifu rafiki mwenye kipawa fulani: w05 6/15 24-25

kumtegemea Yehova kama rubani anavyotegemea vyombo vinavyomsaidia kuendesha ndege: w96 5/1 21-24

kumtumikia Yehova kwa nafsi yote, moyo wote, na nguvu zote, bali si kama mtumwa: cl 105

kuomba msaada kama mwana-kondoo aliyeshindwa kurudi kwa mamake: w02 3/1 16

kupanga wakati ni kama kuweka mawe na mchanga ndani ya ndoo: w10 11/15 16

kupenda pesa ni kama mwasho unaotokana na kuumwa na mbu: g 4/06 5

kupenda vitu vya kimwili ni kama mtini unaonyonga: w04 9/15 12

kupunguza bidii ni kama taa ya umeme yenye uwezo mdogo: w12 4/15 16-17

kusaidiana kama tembo wanavyofanya: w04 9/15 13

kusali ni kama kudai zawadi dukani: w06 9/1 27-28

kushika mwongozo wa Yehova kama mtoto anavyoshika mkono wa baba: g96 11/8 26-27

kushughulikia hali katika siku za mwisho ni kama kusafiri kwa mtumbwi kwenye mto wenye maporomoko: w97 4/1 4-5

kushughulikia matatizo kama mti unaojipinda katika upepo mkali: w01 2/1 28-29

kusoma Biblia ni kama nanga: w00 8/15 32

kutafakari kuhusu Paradiso ni kama kusafisha dirisha ili kuona mandhari yenye kupendeza: w06 10/1 28

kutafuta mwongozo stadi ni kama kutoka kwa nahodha wa meli: w12 6/15 30-31

kutanguliza mambo muhimu ni kama kujaza ndoo kwa mawe na mchanga: yp2 294

kutembea katika njia za Yehova ni kama kupanda mlima: w02 7/1 28-30

kutoelewana ni kama mipasuko katika lami barabarani: w08 11/15 17-18

kutojilisha vizuri kiroho ni kama utapiamlo: w01 7/1 20-21

kutokamilika ni kama kasoro za kijuu-juu za nyumba: w08 3/15 27

kutosali baada ya kutenda dhambi ni kama mtu anayekataa kuomba aonyeshwe njia baada ya kupotea: w06 9/1 30

kutoshughulikia hali za kutokubaliana kama watoto: w00 8/15 24

kutumia pesa ovyoovyo ni kama kipofu kuendesha gari: yp2 160-161

kutumia uwezo wa kufikiri kama mabaharia: w02 8/15 21-24

kuvua utu wa zamani kama nyoka anavyoondoa ngozi yake: g05 1/8 19

kuwafundisha wanafunzi ni kama kuwafundisha watu kuendesha gari: w04 7/1 15-16

kuwalea watoto kana kwamba wao ni miche (miti michanga): w96 12/1 10-15

kuwalea watoto ni kama kutengeneza, kulinda, na kuelekeza mishale: w08 4/1 13-16

kuwarudishia wanadamu hali yao ya kwanza kama mjenzi anavyorekebisha nyumba iliyoharibika: w10 5/1 4-6

kuwasamehe wengine ni kama kusafisha bakuli lenye thamani au chupa ya maua yenye thamani uliyopewa: jr 152-153

kuwatafuta watu wanaoweza kuwa wanafunzi ni kama kumtafuta mtoto aliyepotea: w07 11/15 25

kuyaachilia makosa kana kwamba unayatazama ukiwa katika ndege: w99 10/15 15-16

“kuzaliwa tena,” au kuzaliwa mara ya pili, ni kama kumfanya kijana asiye mwenyeji kuwa mwana: w09 4/1 6, 10-11

kuzungumzia matatizo ni kama kutupiana mpira: g01 1/8 10

kweli ni kama ua dogo: w96 5/15 15

maelezo katika Funzo la Mnara wa Mlinzi ni kama shada la maua: w10 10/15 22-23

maisha ya wanadamu ni kama ya wanyama: w97 2/15 10-12

makosa ya rafiki ni kama mbegu za mapera: w00 12/1 22

malaika alijifanya mwenyewe kuwa Ibilisi kama mtunzaji wa hesabu anavyoweza kujifanya mwenyewe kuwa mwizi: w11 3/1 21

“mambo mazito ya Mungu” ni kama matumbawe baharini: w07 11/1 27

maoni ya Yehova ni kama kuona jambo ukiwa katika eneo lililoinuka: w12 11/15 3

marafiki ni kama watu wawili katika gari: g05 7/22 21

matokeo ya nidhamu yanaonekana baada ya muda kama tunda linavyochukua muda kukomaa: w07 3/1 19

mawasiliano ni kama mlango wenye kutu au mlango uliotiwa mafuta: w06 4/15 7

mipaka kuhusu ngono inalinda ndoa kama kuta zinavyolinda mji: w11 10/15 17

mitazamo na tamaa zinaweza kuzorota kama kutu inavyoharibu chuma: w96 6/15 17, 19-20, 22

mke ni kama taa inayoweza kuvunjika kwa urahisi: w06 5/15 32

Mkristo mmoja hawezi kufanya mtu awe mwanafunzi kama tone moja la mvua lisivyotosha kumwagilia mmea: w01 7/1 17

mtu anapaswa kuchunguza mambo ya ulimwengu yanayovutia kama ambavyo angechunguza vazi analotaka kununua: w03 4/15 12-13

mtu mwenye kiasi ni kama msichana mdogo anayeshika mkono wa baba katika dhoruba: w03 8/15 22

mwisho wa ulimwengu ni kama kufukuzwa kwa wapangaji wanaoharibu nyumba: w11 3/1 8-9

mwongozo wa Biblia ni kama chati za vijiti za Visiwa vya Marshall: w06 10/1 32

mwongozo wa Biblia ni kama ishara barabarani: w98 10/1 32

ndoa ni kama gari, itadumu iwapo itatunzwa: w11 2/1 3

ndoa ni kama nyumba iliyopambwa: lv 130, 132

ndoa ni kama ushirikiano kati ya wapiga-ngoma na mwimbaji: w01 5/15 16

ni muhimu kujua vyanzo vya sikukuu kama ilivyo muhimu kujua mahali ambapo peremende iliokotwa: bh 159

pesa ni kama kisu chenye makali: w10 11/15 5; yp2 155

porojo ni kama kutawanya manyoya katika upepo: w11 7/15 19

roho (nguvu ya uhai) ni kama umeme: bh 210-211; w01 7/15 5

roho takatifu ni kama upepo unaoifaa mashua baharini: w10 3/15 18

roho ya kulalamika ni kama kutu: w06 7/15 16-17

roho ya Mungu inazaa matunda sawa na mvua inayonyeshea shamba la matunda: w03 7/1 6

roho ya Mungu ni kama miale ya jua: g 7/06 15

roho ya ulimwengu ni kama gesi zenye sumu katika mgodi: w08 9/15 20-22

roho ya ulimwengu ni kama mnururisho wenye sumu: w97 10/1 25-26

roho ya ulimwengu ni kama upepo unaobeba mbegu: w06 4/1 9

sala ni kama mlango: g 11/08 26-28

shaka zinaanza polepole kama paa linalovuja: w96 5/1 22

shangwe katika huduma ni kama kuwaruzuku watu wa familia: w97 1/15 23-24

sifa mbaya ni kama nguzo mbovu za nyumba: w08 11/15 4

sifa za kiroho zafananishwa na vyuma vinavyounganishwa ili kutengeneza mnyororo: w12 2/1 30

tamaa ni kama moto mdogo wa kupikia na pupa ni kama moto wa msitu: w01 6/15 6

tengenezo la Shetani ni kama kikundi cha wahalifu wanaotaka kupindua serikali ya nchi: w10 11/15 24-26

tofauti kati ya uvumilivu wa Kikristo na kuvumilia kwa lazima inaonyeshwa na mtazamo wa wafungwa wawili: cf 67

ulimwengu huu mwovu ni kama kutembea nyikani bila dira wala ramani: w11 12/15 14

upendo kutanikoni ni kama visehemu vya mnyororo wa nanga: w07 1/1 9

upendo kwa Yehova unaanza kama mbegu ya tunda: bh 186-187

upendo unahitaji kutunzwa kama mmea: cf 132-133

ushikamanifu ni kama mbegu zinazonata kwenye nguo: w05 9/1 4, 6-7

usomaji wa Biblia ni kama chakula maalumu cha mtu aliyepatwa na mshtuko wa moyo: w10 7/1 21

Utatu ni kama mapacha, si kama baba na mwana: w98 5/15 22-23

uthibitisho wa kuwepo kwa Mungu kupitia uumbaji ni kama hatua za mtu anayetembea nje ya nyumba: w12 7/1 5

utii wa Yesu alipoteseka ni kama upanga uliotengenezwa kwa chuma kigumu sana: cf 56-57

utimilifu ni kama nyumba kubwa iliyojengwa kwa matofali ya utii: cf 65

utimilifu ni kama ramani za ujenzi wa nyumba: w08 12/15 7

uvutano unaweza kuwa kama mikondo ya chini ya bahari: g02 11/22 13

uwezo wa kiroho wa kuona unaweza kupotezwa kama uwezo halisi wa kuona unavyoweza kupotea: w04 4/1 20-21

uzima wa milele ni kama hewa nyingi: w04 11/15 5-6

vishawishi ni kama mitego kwenye njia yenye giza: kp 26

wakati wa uumbaji Yehova alikuwa kama mchoraji wa ramani ya ujenzi na Yesu alikuwa kama mjenzi: cf 131-132

Wakristo ni kama almasi zisizong’arishwa: w98 5/15 24-27

Wakristo waliozeeka waheshimiwe kama mti wa Lone Cypress (California, Marekani): w10 5/15 6-7

wanaostahili kubatizwa ni kama kipande cha mbao ambacho kimechongwa katika umbo fulani: w08 11/15 3

watu waliofunga ndoa ni kama wakulima wawili wanaolima shamba moja: w11 11/1 14

watu wanaojisaidia na kuwasaidia wengine ni kama watu waliookoka meli ilipozama: w97 1/15 22

wazazi ni kama rubani anayemsaidia nahodha: w04 10/15 20-24

wazazi wanaolea watoto ni kama watu wanaopiga mishale: w07 9/1 26, 30

Yehova anafurahi watumishi wake wanapomtii kama baba anavyofurahi mtoto wake anapomtii: cf 56

Yehova ana sifa mbalimbali, kama hakimu: w07 9/1 4-5

Yehova anathamini zawadi za watumishi wake kama mzazi anavyothamini zawadi kutoka kwa mtoto: w07 2/1 17-18

Yehova anatumia uwezo wa kujua mambo kabla hayajatukia kama mtu anavyotumia kipawa cha kuimba: cl 178

Yehova anatumia uwezo wa kujua mambo mapema kama mtu anayetazama kipindi cha televisheni kilichorekodiwa: w11 1/1 14

Yehova anatushika mkono kama watoto wake: w12 1/1 18

Yehova atafanya wanadamu wawe wakamilifu kama mchoro wenye thamani unavyofanyiwa ukarabati: cl 246

Yehova atimiza kusudi lake kama msafiri anavyofika anakoenda: w11 5/15 21-22

Yehova hushika mkono wa mtu kama ambavyo kiongozi kwenye kijia cha mlimani angefanya: w04 12/15 17-18

Yehova hushughulikia masuala kama ambavyo kichwa cha familia angeyashughulikia: w07 9/15 6; rs 353

Yehova hushughulikia suala kama ambavyo mwalimu angelishughulikia: bh 110-112

Yehova hutafuta sifa nzuri kana kwamba anatafuta mawe yenye thamani: g 4/12 28

Yehova ni kama hakimu, hasababishi kuteseka kwa mkosaji: w03 9/1 11

Yehova ni kama mzazi, anatufundisha kutembea: jd 133-134; w05 11/1 21; w05 11/15 28

Yehova ni kama mzazi, huona uthibitisho wa upendo katika yale anayofanyiwa: w05 12/1 12

Yehova ni kama mzazi anayefurahi kuona kwamba mtoto wake ni mnyofu: lv 160

Yehova ni kama rafiki ambaye hatuombi kubeba mizigo iliyo mizito mno kwetu kubeba: w09 8/15 19; lv 11-12

Yesu alimfunua Baba kwa wanadamu kama transfoma inavyopunguza umeme: w11 4/1 7

Yesu alitimiza Sheria kama mjenzi anavyotimiza mkataba wa kujenga nyumba: w10 2/1 13

Yesu anaongoza huduma kama dereva anavyoelekeza gari: bt 127

Yesu anatufundisha kupiga mshale: w12 2/15 3

Yesu awaamuru wafuasi wake wawatafute wanafunzi kama mkulima anavyotafuta wafanyakazi kwa ajili ya mavuno: cf 87-88

zawadi ya usemi inapaswa kutumiwa kama gari ambalo mtu amepewa: lv 133

Paulo alivyoitumia: be 245

sitiari: cf 120-121; be 240-241

tashbihi: be 240

ufafanuzi: w02 9/1 13

umuhimu: cf 118-120

Yesu alitumia mifano: cf 118-127; w02 9/1 13-18; be 242-246; cl 213-214

Mifano Katika Biblia

chachu iliyofichwa katika unga (Mt 13; Lu 13): w08 7/15 19-21

maandiko yaeleweka wazi zaidi (2008): w08 7/15 17, 19-20

chungu cha kupikia chenye mdomo mpana (Yer 1:13): jr 14-15

dinari ambayo wafanyakazi wa shamba la mizabibu walilipwa (Mt 20): w10 10/15 10-11; w07 5/1 30; w06 6/1 14-15

divai mpya, viriba vya divai vilivyozeeka (Mt 9; Mk 2; Lu 5): w10 3/1 15

Farisayo na mkusanya-kodi (Lu 18): w12 5/15 28; w10 10/15 8-9; lr 112-116

imani inaweza kuvunjika, kama meli (1Ti 1): w99 7/15 15-20

karamu kubwa ya jioni (Lu 14): w10 4/15 26

karamu ya ndoa (Mt 22):

wageni waalikwa mara tatu: w08 1/15 31

kondoo aliyepotea (Mt 18; Lu 15): w12 4/15 5; w08 2/1 10; w03 2/1 14-17; lr 162-164

kondoo na mbuzi (Mt 25): w10 9/15 28-29; w99 5/1 13; jv 163-164; rq 13

hukumu: w97 2/15 29

kondoo wapata “uzima wa milele”: w09 8/15 8-9

kuwatenganisha: w97 7/1 31

maandiko yaeleweka wazi zaidi (1923): re 120

maandiko yaeleweka wazi zaidi (1995): w97 7/1 31

kuchagua mahali bora (Lu 14): lr 107-109

kujenga kwa vifaa visivyoweza kushika moto (1Ko 3): w99 7/15 12-13; w98 11/1 8-15

kumchuja mbu, kummeza ngamia (Mt 23): w02 9/1 11

kumlipa Kaisari vitu vya Kaisari (Mt 22; Mk 12; Lu 20): w12 5/1 5-6; w11 9/1 22-23; w10 7/1 22-23; w09 6/15 19; lv 53; lr 148-149; g03 12/8 10

kupura bizari (Isa 28): w01 10/1 11-12; ip-1 296, 301

kutaniko la Kikristo ni kama mwili (1Ko 12; Efe 4): w09 10/15 5; w02 11/15 9; w99 6/1 15; w97 10/15 14-15; w96 7/15 20

kuweka mkono kwenye jembe la ng’ombe na kutazama mambo yaliyo nyuma (Lu 9): w12 3/15 25-26; w12 4/15 15-16

lulu yenye thamani kubwa (Mt 13): w05 2/1 8-18

maandamano yenye shangwe (2Ko 2): w10 8/1 23

mabikira kumi (Mt 25): w12 9/15 23, 25-26; w07 9/1 31; re 55-56; w04 3/1 14-15, 17-18; w99 5/1 21-22

mbegu ambazo zimepandwa ni mfano wa ufufuo (1Ko 15): w98 7/1 19-20

mbegu ya haradali (Mt 13; Mk 4; Lu 13): w08 7/15 17-19, 21; g96 8/8 22

maandiko yaeleweka wazi zaidi (2008): w08 7/15 17-19

“mbegu ndogo zaidi kuliko zote”: g96 8/8 22

ndege wapata makao katika mmea uliokomaa: w08 7/15 18-19

mchungaji mwema (Yoh 10): cf 9-10, 124-125; w02 9/1 17-18

sauti: cf 124-125; w04 9/1 13-14, 17

mfalme aliyefuta deni kubwa (Mt 18): w12 11/15 26-27; w07 9/15 29; w05 3/15 6; w04 2/1 15; lr 77-81; w02 9/1 14; w97 12/1 15, 20

mfano wa Yothamu kuhusu miti (Amu 9): w08 2/15 9; w96 5/15 13

michezo ya Wagiriki (1Ko 9): bt 149

mjane na mwamuzi (Lu 18): w06 12/15 25-29

mke ni “chombo dhaifu” (1Pe 3:7): w06 5/15 32

mpandaji (mpanzi) (Mt 13; Mk 4; Lu 8): w08 7/15 12-14; w03 2/1 8-13; w99 11/1 15-17; w96 2/1 17-18

mbegu: w99 11/1 16

mbegu zinazopandwa katika udongo mzuri: od 117-118; w03 2/1 20-23; wt 107; w97 10/15 14

mpandaji (mpanzi): w08 7/15 13-14

udongo: w08 7/15 13-14; w05 2/1 28

Msamaria mwema (Lu 10): w07 9/15 26; w07 10/1 5; my 95; lr 82-86; w02 9/1 4-5, 15; cl 214-215; w01 1/1 14; w98 7/1 30-31; w96 3/15 21-22

barabara kutoka Yerusalemu mpaka Yeriko: cf 122-123; w02 9/1 16-17; w98 7/1 30

chuki ya kijamii: g 8/09 7

hoteli: w98 7/1 30

mafuta na divai yamwagwa kwenye majeraha ya mwanamume: w12 8/1 26

msimamizi-nyumba mwaminifu (Lu 12): w09 6/15 20-21; w07 4/1 22-23; km 6/98 3-4

awekwa juu ya mali za bwana: w08 1/15 24-25; w07 4/1 22-23; w04 3/1 12

msingi wa nyumba (Mt 7): w08 2/15 31-32; w08 11/1 29-31; w07 1/1 32; w07 9/1 31; w05 5/15 32

mtini (Lu 13): w03 5/15 25-26

mtoto mdogo ni mfano wa unyenyekevu (Mt 18; Mk 9; Lu 9): w12 11/15 15-16; w08 3/15 4; w07 2/1 8-10; w05 10/15 28; lr 12

mtu anayetupa mbegu (Mk 4): w08 7/15 14-16

mtumwa anayetoka kufanya kazi shambani (Lu 17): w12 12/15 10-11; w05 3/15 18-19

mtumwa mwaminifu na mwenye busara (Mt 24): w10 9/15 26; w09 6/15 20-24; w07 4/1 22-23; od 15-21; w04 3/1 8-18; w02 3/15 13-14; wt 130-131

mtumwa mwovu (Mt 24): w04 3/1 13-14; w99 7/15 17

mtunza-mlango angojea bwana arudi kutoka ng’ambo (Mk 13): w05 2/1 32; w03 1/1 19

mtu tajiri (Lu 12): w08 7/1 12-13; w07 8/1 26-30; w05 10/1 32; lr 87-91; w98 11/15 19

mwana mpotevu (Lu 15): w02 9/1 14-15; w98 10/1 8-17; w97 9/1 30

mwanamume tajiri achukua kondoo wa mwanamume masikini: w12 2/15 23-24

mzabibu (Zb 80): w06 6/15 17-18

mzabibu (Yoh 15): w09 5/1 15; w06 6/15 18-19; w03 2/1 18-23; w02 2/1 17-18

mzeituni (Ro 11): w11 5/15 22-25; w11 8/15 32; w10 11/1 29; w00 5/15 28-29

kupandikiza “kinyume cha asili”: w11 5/15 24-25; w00 5/15 28-29

ndege anayewalinda vifaranga (Zb 91; Mt 23): w02 10/1 12

ndege na mayungiyungi (Mt 6): w02 9/1 12-13

ngamia anayepita katika tundu la sindano (Mt 19; Mk 10; Lu 18): w06 1/1 22; w04 5/15 30-31

ngano na magugu (Mt 13): w10 3/15 19-23; rk 24-25; g 2/07 7-9; re 188, 208-209; w04 2/15 5-6; w03 9/1 5-6; w02 9/1 16

ghala la ngano: w10 4/15 12

kutenganishwa wakati wa mavuno: w10 3/15 21-23; g 2/07 8-9; wt 178-182; w97 7/1 31

magugu: w10 3/15 20-23

ngano: w10 3/15 19-23; w10 4/15 12

ngano wakati wa karne za uasi-imani: w12 1/15 7-8; w12 4/15 32; w10 3/15 21; re 31, 57; w00 10/15 25-26, 30; jv 44

umalizio wa mfumo wa mambo: w10 3/15 21-23

wakati wa mavuno: w10 3/15 21-23; w10 6/15 5

nguvu za Kristo zinalinda kama hema (2Ko 12:9): w08 6/15 6; w06 12/15 24

pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe (Met 11): w02 7/15 30

rafiki aliyeendelea kuomba (Lu 11): w06 12/15 20-22; w02 9/1 12

sarafu ndogo za mjane (Mk 12): w09 7/15 29; yp2 166; w07 2/1 17-18; w04 11/1 19, 23; lr 96; cl 184-185; ct 150-151; w97 10/15 16-17

thamani ya sarafu za mjane: w09 8/1 30; w08 3/1 12; cl 184

sarafu ya drakma iliyopotea (Lu 15): w12 12/1 21; w03 2/1 14-15, 17-18

thamani ya sarafu: w12 12/1 21

semi za mfano: w09 5/1 13-15

shamba la mizabibu (Isa 5:1-7): w06 6/15 18; ip-1 73-79

shamba la Mungu (1Ko 3): w99 7/15 12

tai, miti, na mzabibu (Eze 17): w07 7/1 12-13

tajiri na Lazaro (Lu 16): rs 159-160

talanta (Mt 25): w12 9/15 23, 25-27; w10 7/15 17-18; w04 3/1 15-18; w04 10/1 22-23; w99 5/1 22-24

bwana alitambua uwezo wa kila mtumwa: w10 7/15 18

wenye kutunza akiba: w11 5/1 26; w08 12/1 8

“tukio la mfano” (Ga 4:24): w06 3/15 10-12

Ufalme wa mbinguni: w96 2/1 17-20

unyasi katika jicho la ndugu (Mt 7): w08 5/15 9-10; w02 9/1 11; w02 11/15 18

utayari wa baba kumpa mtoto kitu kizuri (Mt 7; Lu 11): cf 114-115; w06 12/15 22-23; w02 9/1 12

wakulima wauaji wa shamba la mizabibu (Mt 21; Mk 12; Lu 20): ip-1 76-77

watenda dhambi wamefungwa na dhambi kama ng’ombe anavyofungwa kwa kamba za gari la kukokotwa (Isa 5:18): ip-1 82-83

watiwa-mafuta wafanywa kuwa wana (Ro 8): w05 12/1 29

watoto wawili (Mt 21): fy 76-77

watumwa wanaochagua uadilifu (Ro 6): w05 12/1 29

watumwa wangojea bwana wao arudi kutoka arusini (Lu 12): w04 10/1 21-22; w03 1/1 18; w00 1/15 11

watu wawili waliokuwa na deni (Lu 7): w10 8/15 6

wavu wa kukokotwa (Mt 13): w12 8/1 20; w08 7/15 20-21

maandiko yaeleweka wazi zaidi (2008): w08 7/15 17, 20-21

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki