JAPANI
(Ona pia Kijapani; Okinawa; Shinto, Dini ya)
(Kuna kichwa kidogo: Mashahidi wa Yehova)
afya na magonjwa:
afya inavyoathiriwa wakati mazoea ya watu wa nchi za Magharibi yanapoigwa: g96 3/22 29
damu yenye viini vya mchochota wa ini aina ya C: g05 8/22 28-29
arusi:
arusi za nchi za magharibi zinaigwa: g03 8/22 28
tetemeko la ardhi (Kobe, 1995) lasababisha matatizo ya ndoa: g96 3/22 28
biashara:
biashara ya kulipiza kisasi: g98 12/22 29
biashara za kuvunja ndoa: g03 6/22 28
kifaa kinachofasiri mbweko wa mbwa: g03 12/8 28
mashine za kuuzia: g97 2/8 28
shule zinazowafundisha watu kutabasamu: g99 8/22 29
soko la samaki la Tsukiji: g04 1/22 16-18
bustani: g97 4/8 6-7
chakula:
“chakula” kinachotengenezwa kwa plastiki: g05 5/8 26-27
natto (maharagwe ya soya yaliyochachushwa): g04 9/8 18-19
chemchemi za maji ya moto: g04 1/8 14-17
desturi: jv 531
kula supu ya tambi ndefu kwa sauti: g02 1/22 29
dini: jv 490
dini zinaunga mkono vita: re 245, 268
kazi ya wamishonari wa dini zinazodai kuwa za Kikristo imeshindwa: re 229
kuhani adai kwamba kaburi la Yesu liko Japani: g98 4/8 15
Kyodan: jv 490
ulaghai: g97 9/22 9
uvutano unapungua: g03 10/8 28
watawa wapiganaji: re 245
Dini ya Shinto:
desturi ya kuwaabudu mababu: ie 10-11
ilivyohusika katika Vita vya Pili vya Ulimwengu: re 240
uvutano unapungua: re 240
dini ya Ubudha:
hekalu linaharibiwa na vigogota: g01 4/22 29
familia:
familia za mzazi mmoja: g02 10/8 5
uhusiano kati ya watu wa familia unavunjika: g 9/09 6; w97 6/15 21; w97 9/1 3
geisha:
simulizi la maisha: g96 2/22 19-24; g96 10/22 30
Hiroshima:
bomu la atomu: g04 3/8 3
ikebana (mpangilio wa maua): g05 8/8 20-21
kujiua: g 11/06 27; g01 3/8 28; g00 1/22 28
seppuku (hara-kiri): g01 10/22 3-4
kupata dhahabu katika maji machafu: g 2/10 30
madaraja:
Daraja la Akashi Kaikyo: g98 9/22 28
mahakama:
haki za wagonjwa: g00 9/22 28; w98 12/1 22; w98 12/15 26-29; g98 8/22 11
msimamo wa wanafunzi wa kutoshiriki katika somo la mbinu za kujihami watetewa (1994, 1996): w98 12/1 22; w96 11/1 19-21; g96 5/22 30; g96 9/8 28
makongamano:
Kyoto (kuhusu ongezeko la joto duniani) (1997): g 11/11 12; g03 11/22 6; g98 5/22 5
maktaba ya Hojo Sanetoki (1275): g05 5/22 20
Maliki Hirohito (Showa):
aacha kudai kwamba yeye ni mungu: re 240
Maonyesho ya Expo 2005 (Aichi): g 3/07 23-25
mashambani:
wakaaji wa majiji wahamia mashambani: g97 6/8 28
matatizo ya kuondoa takataka: g 12/07 29
matetemeko ya ardhi:
Bahari ya Pasifiki (tetemeko lililosababisha tsunami na msiba wa nyuklia) (2011): yb12 18-21, 23; g 11/12 29; w11 12/1 3; g 12/11 14-20
Kobe (1995): w96 12/1 3, 6-7; g96 4/22 30; g96 11/8 30
Tokyo, Yokohama (1923): g 1/08 14
waume wasiowajali wake: g96 3/22 28
miti:
aina ya mvinje usiopendwa na wadudu na wanyama waharibifu: g96 7/8 28
maua ya mcheri: g05 4/8 14-17
ndege:
albatrosi mwenye mkia mfupi: g98 5/22 15-17
kunguru wanaoenda mjini asubuhi na kurudi vitongojini jioni: g98 1/8 28
origami (sanaa ya kukunja karatasi): g04 9/22 26-27
picha au habari chafu (ponografia): g96 7/22 8-9
polisi: g02 7/8 6-7
ramani: g 12/11 16; g 1/08 11; w06 8/1 13
reli:
gari-moshi linaloendeshwa kwa sumaku: g 3/07 24; g98 10/8 25
gari-moshi linalosafiri kwa kasi sana linafanana na mdomo wa mdiria: g 4/10 29
samaki:
mikunga watumiwa kupima usafi wa maji: g98 7/8 29
soko la samaki la Tsukiji: g04 1/22 16-18
sayansi:
“Athari ya Musa” (sumaku yatumiwa kugawanya maji): ct 126-127; g98 1/22 28
kompyuta kubwa inatabiri mabadiliko ya mazingira: g03 8/8 28-29
serikali:
serikali ya makamanda ya Tokugawa (1603-1867): g 1/08 11-13
uchunguzi kuhusu nia za maofisa: g97 6/22 29
shule:
watoto wajitayarishia chakula cha mchana: g 12/09 14
televisheni:
watoto wawa wagonjwa kwa kutazama televisheni: g98 6/22 25
tiba:
kuchanga damu: g03 5/22 29
Tokyo: g 1/08 11-14; g01 7/22 28
Kituo cha Vilivyopotea na Kupatikana: g04 8/22 29
treni ya burudani: g02 9/22 28
uchafuzi:
Minamata: re 175
uhalifu:
genge la wahalifu (yakuza): g97 3/8 4, 6-13
kuiba mifukoni: g01 9/22 29
ulaghai: g97 9/22 6-7, 9
usafiri wa ndege:
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kansai: g96 1/8 24-25
uvutaji wa sigara: g98 12/8 15-16
vifaa vya elektroniki:
“bipa za mapenzi”: g99 1/8 28
vijana:
kutumia simu za mkononi kupita kiasi: g03 1/8 21
mtazamo kuhusu kutotii na ukahaba: g97 10/8 28-29
ustadi wa kusoma unapungua: g03 5/8 29
wanafunzi wenye fujo: g00 6/8 28-29
wanaojitenga na jamii (hikikomori): g 9/09 4; g03 2/8 29
vita:
Kanisa Katoliki linaunga mkono vita: re 268
watawa wapiganaji: re 245
vitabu vya ucheshi:
vyenye mambo ya ngono: g96 7/22 8-9
Vita vya Pili vya Ulimwengu: w98 12/1 28
Dini ya Shinto ilivyohusika: re 240
mashambulio yanayohusisha kujiua kwa washambuliaji: g02 12/8 18-20
viwanda:
kemikali zachafua bahari huko Minamata: re 175
mwanasesere (mtoto bandia) anayefanana na mtoto wa mtu: g99 11/8 29
wanadamu wachukua mahali pa mashine: g97 7/8 29
volkano: g04 1/8 15
mlipuko wa Mlima Fugen (1991): w00 2/15 3-4, 6-7
wanyama:
habu (nyoka) (Visiwa vya Ryukyu): g97 4/8 30; g96 7/8 9-11
kasa aina ya loggerhead: g02 4/22 28
wapiganaji mweleka wa sumo: g00 5/22 29
watoto:
uchunguzi wa maoni yao kuhusu kifo: g03 3/8 28
vipodozi: g02 2/8 29
watoto wanaodhulumiwa: g00 7/8 29
wazazi wawaajiri wapelelezi ili kuwalinda watoto wao wasidhulumiwe shuleni: g99 1/22 29
yosegi (vitu vya mbao vilivyochongwa): g01 5/8 18-19
Mashahidi wa Yehova
azimio kuhusu jina Mashahidi wa Yehova lasambazwa kwa redio: jv 157
familia mbalimbali:
mama aliyeshikwa na ugonjwa wa ALS: g 10/09 24
mkuu wa shirika la reli aacha kazi ili atumie wakati mwingi pamoja na watoto: g04 8/22 4, 6-7
familia ya Betheli: w98 12/1 31
Halmashauri ya Tawi: w98 12/1 31
historia ya siku hizi: jv 490-491
huduma ya shambani:
kuwahubiria wahamiaji: w05 12/1 25
muda ambao umetumiwa tangu 1992: jv 394
Huduma za Habari za Kihospitali:
Shahidi nchini Thailand anayehitaji kufanyiwa upasuaji wa ubongo asaidiwa: w96 3/15 31
kazi ya kuhubiri ilivyoanza: jv 418-421, 535
kesi za mahakamani:
kumtia mtu damu bila kibali chake ni kinyume cha haki za mgonjwa (2000): g00 9/22 28
mahakama yaamua Shahidi alipwe fidia kwa sababu ya kutiwa damu kwa nguvu (1998): w98 12/1 22; w98 12/15 26-29; g98 8/22 11
msimamo wa wanafunzi wa kutoshiriki katika somo la mbinu za kujihami watetewa (1994, 1996): g00 4/22 24; w98 12/1 22; w96 11/1 19-21; g96 5/22 30; g96 9/8 28
maeneo mbalimbali:
Kobe: w03 10/1 26-27; g00 12/22 19
Majumba ya Kusanyiko: jv 329-330
Majumba ya Ufalme: g 12/11 20; jv 327
makao ya wamishonari: w03 10/1 26; w00 6/1 24-25; jv 491
makusanyiko: w03 10/1 26; w98 12/1 29
makutaniko: jv 501
mambo yaliyoonwa utumishini:
baada ya tetemko, tsunami, na msiba wa nyuklia (2011): yb12 23
Biblia yazuia kuvunjika kwa ndoa: w10 8/1 11-12
eneo la biashara: w04 4/1 8
kijana aliyeacha kushirikiana na Mashahidi wa Yehova: yb12 73-75
kuandika barua: yb04 56-57
kuhani wa dini ya Shinto: w11 7/1 12-14
kuhubiri kwa kutumia simu: yb07 43-44
mafundi walioweka mashine ya uchapaji: yb05 27
majirani wasiokuwa wenye urafiki: w05 11/1 14
makala ya Mnara wa Mlinzi yamsaidia mtu kutambua ugonjwa wake: w01 10/15 32
mchezaji wa kamari: w09 11/1 28-29
msichana mwenye miaka 12 aongoza mafunzo 20: w00 1/15 18
mtu aliyesema kwa dharau: w09 11/15 27-28
mwanafunzi Shahidi ajipa ujasiri: yb05 54-55
mwanamke mfanyabiashara: w08 8/1 28-29
mwanamume aliyeishi mitaani: w10 8/1 19-20
ndugu aamua kuwarudia wote anaowapata: km 12/03 8
ofisi ya wakili: yb06 44
Shahidi mzee mwenye maumivu ya mguu: yb08 53
video: w99 1/1 19
viziwi: yb11 7-8
watu waliokuwa wakishiriki katika mbio za baiskeli wakubali kweli: w11 4/1 29-30
waume waliokubali kweli: fy 131
mapainia: jv 302-303, 394, 491, 540
mapainia wasaidizi: yb12 9
dada mwenye umri wa miaka 101: yb12 9-10
Mashahidi watoa msaada:
mlipuko wa Mlima Mihara (1986): jv 311-312
mlipuko wa Mlima Usu (2000): w02 3/1 19
tetemeko la ardhi, tsunami, msiba wa nyuklia (2011): w12 8/15 16; yb12 21-23; g 12/11 17-20
tetemeko la ardhi huko Kobe (1995): g01 7/22 8; w96 12/1 6-7; g96 11/8 30
tufani, mafuriko, tetemeko la ardhi (2004): yb06 19-20; w05 11/15 32
ofisi ya tawi: w00 6/1 25; w98 12/1 30-31; jv 334-335, 394
Ebina (1982): g00 12/22 19
Ebina (1989): jv 394
Ebina (1999): w00 6/1 25; w98 12/1 31
Kobe (1927): g00 12/22 19
mhubiri asiyetenda atembelea ofisi ya tawi: w10 8/15 19
mkurugenzi wa hoteli atembelea ofisi ya tawi: g99 12/22 32
Numazu (1973): g00 12/22 19; jv 590, 592
Ofisi ya Uhandisi ya Kimkoa: jv 332, 394
Tokyo (1963): w00 6/1 25
ushirikiano na wenye mamlaka kuhusu kuzuia moto: w03 12/1 30
vitabu vyasafirishwa mpaka Vladivostok (1995-2001): yb08 219
ongezeko: w04 1/1 15; w00 6/1 22-25; w98 12/1 31; jv 334, 491, 513
chati: jv 513
ripoti ya kila mwaka: yb11 42-43; yb10 34-35; yb09 34-35; yb08 34-35; yb07 34-35; yb06 34-35; yb05 34-35; yb04 34-35
Shule ya Utumishi wa Painia: jv 300
suala la damu:
Mahakama Kuu yaamua Shahidi alipwe fidia kwa sababu ya kutiwa damu kwa nguvu (1998): w98 12/1 22; w98 12/15 26-29; g98 8/22 11
Mashahidi washinda kesi kuhusu kumtia mgonjwa damu bila kibali chake (2000): g00 9/22 28
tetemeko, tsunami, na msiba wa nyuklia (2011): yb12 18-23
uchapaji: yb05 24-25, 27; jv 590, 592
kutayarisha maandishi kwa ajili ya uchapaji: jv 581
uchapaji katika rangi nne: jv 595
vijana:
dada aliyehisi kwamba hastahili kuwa Mkristo: jr 126-127
kijana ashinda mashindano ya kutoa hotuba katika Kiingereza: w04 12/15 32
vitabu:
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya: jv 613
gazeti la Mnara wa Mlinzi: w03 10/1 27
idadi ya lugha: jv 394
Vita vya Pili vya Ulimwengu: jv 455
wamishonari: w03 10/1 26-28; jv 490-491, 530-531, 534-535, 537-538, 540
watu mbalimbali:
Aizawa, Yasushi: g03 12/8 12-15
Barry, Melba: w01 4/1 27-29
Barry, W. Lloyd: w01 4/1 27-29; jv 491
Dyer, Lois: jv 534
Fujii, Tsuyoshi: g05 8/8 20-23
Haslett, Donald: w03 10/1 26; jv 490
Haslett, Mabel: jv 490
Hirano, Sumiko: w06 8/1 11-15
Hollister, Robert R.: jv 421, 423
Ishii, Jizo: jv 452
Kataoka, Yasuo: g97 3/8 11-13
Kawabata, Shizuko: g01 8/22 18-22
Koshino, Asano: w03 10/1 24-28
Koshino, Junji: w03 10/1 28
Mackenzie, Fanny: jv 423-424
Miura, Katsuo: jv 452
Nisbet, Robert: w03 4/1 30
Niwa, Toshiaki: g04 9/8 31; g02 12/8 18-21
Ogawa, Michiko: g99 12/22 13-16
Sugiura, Isamu: w98 12/1 27-31
Takahashi, Sawako: g96 2/22 19-24
Ulrich, Ruth: w00 6/1 20-25
ziara za—
Knorr, N. H.: w03 10/1 27
Russell, C. T.: jv 419-420