Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 21
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

2 Samweli 21:1

Marejeo

  • +Law 26:20; Kum 11:17
  • +Mwa 9:6; Kut 20:13; 21:23; Hes 35:30, 33

2 Samweli 21:2

Marejeo

  • +Yos 9:3, 17, 27
  • +Mwa 10:16; 48:22
  • +Yos 9:15
  • +Eze 17:18
  • +Met 27:4

2 Samweli 21:3

Marejeo

  • +Kut 32:30; Law 1:4
  • +2Sa 20:19

2 Samweli 21:4

Marejeo

  • +Hes 35:31

2 Samweli 21:5

Marejeo

  • +2Sa 21:1; Mt 7:2
  • +Est 9:24

2 Samweli 21:6

Marejeo

  • +Kum 19:21; Zb 9:12
  • +Mwa 40:19; Hes 25:4; Kum 21:22
  • +1Sa 10:26
  • +1Sa 9:17

2 Samweli 21:7

Marejeo

  • +2Sa 4:4; 9:10; 19:24
  • +1Sa 18:3; 20:42

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    3/2022, uku. 13

2 Samweli 21:8

Marejeo

  • +2Sa 3:7
  • +1Sa 18:20; 25:44; 2Sa 3:14; 6:23
  • +1Sa 18:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    3/2022, uku. 13

    The Watchtower,

    5/15/2005, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 5/15 19

2 Samweli 21:9

Marejeo

  • +Hes 35:31; Kum 19:21; 1Sa 15:33
  • +Ru 1:22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    3/2022, uku. 13

2 Samweli 21:10

Marejeo

  • +2Sa 3:7
  • +1Fa 21:27; Yoe 1:13
  • +Kum 11:14; Yer 5:24
  • +Mwa 40:19
  • +Eze 39:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    The Watchtower,

    5/15/2005, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 5/15 19

2 Samweli 21:11

Marejeo

  • +Ru 2:11

2 Samweli 21:12

Marejeo

  • +1Sa 31:13
  • +2Sa 2:5
  • +1Sa 31:10
  • +1Sa 31:12
  • +1Sa 28:4; 31:1; 2Sa 1:6, 21; 1Nya 10:8

2 Samweli 21:13

Marejeo

  • +2Sa 21:9

2 Samweli 21:14

Marejeo

  • +Yos 18:28
  • +1Sa 9:1; 10:11
  • +Yos 7:26; 2Sa 24:25

2 Samweli 21:15

Marejeo

  • +2Sa 5:17, 22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2013, kur. 30-31

2 Samweli 21:16

Marejeo

  • +Kum 2:11
  • +1Sa 17:7; 1Nya 11:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2013, kur. 30-31

2 Samweli 21:17

Marejeo

  • +2Sa 23:18
  • +2Sa 22:19
  • +2Sa 18:3
  • +2Sa 14:7
  • +1Fa 11:36; 15:4; 2Fa 8:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2013, kur. 30-31

2 Samweli 21:18

Marejeo

  • +1Nya 11:29; 20:4; 27:11
  • +2Sa 23:27
  • +Mwa 14:5; 2Sa 21:16

2 Samweli 21:19

Marejeo

  • +1Nya 20:5
  • +1Sa 17:7

2 Samweli 21:20

Marejeo

  • +1Nya 20:6
  • +2Sa 21:16

2 Samweli 21:21

Marejeo

  • +1Sa 17:10, 45; 2Fa 19:22
  • +1Nya 20:7
  • +1Sa 16:9; 17:13; 1Nya 2:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/1989, uku. 28

2 Samweli 21:22

Marejeo

  • +1Nya 20:8
  • +Zb 60:12; 108:13; Eze 32:27

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/1/1989, kur. 20, 28

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

2 Sam. 21:1Law 26:20; Kum 11:17
2 Sam. 21:1Mwa 9:6; Kut 20:13; 21:23; Hes 35:30, 33
2 Sam. 21:2Yos 9:3, 17, 27
2 Sam. 21:2Mwa 10:16; 48:22
2 Sam. 21:2Yos 9:15
2 Sam. 21:2Eze 17:18
2 Sam. 21:2Met 27:4
2 Sam. 21:3Kut 32:30; Law 1:4
2 Sam. 21:32Sa 20:19
2 Sam. 21:4Hes 35:31
2 Sam. 21:52Sa 21:1; Mt 7:2
2 Sam. 21:5Est 9:24
2 Sam. 21:6Kum 19:21; Zb 9:12
2 Sam. 21:6Mwa 40:19; Hes 25:4; Kum 21:22
2 Sam. 21:61Sa 10:26
2 Sam. 21:61Sa 9:17
2 Sam. 21:72Sa 4:4; 9:10; 19:24
2 Sam. 21:71Sa 18:3; 20:42
2 Sam. 21:82Sa 3:7
2 Sam. 21:81Sa 18:20; 25:44; 2Sa 3:14; 6:23
2 Sam. 21:81Sa 18:19
2 Sam. 21:9Hes 35:31; Kum 19:21; 1Sa 15:33
2 Sam. 21:9Ru 1:22
2 Sam. 21:102Sa 3:7
2 Sam. 21:101Fa 21:27; Yoe 1:13
2 Sam. 21:10Kum 11:14; Yer 5:24
2 Sam. 21:10Mwa 40:19
2 Sam. 21:10Eze 39:4
2 Sam. 21:11Ru 2:11
2 Sam. 21:121Sa 31:13
2 Sam. 21:122Sa 2:5
2 Sam. 21:121Sa 31:10
2 Sam. 21:121Sa 31:12
2 Sam. 21:121Sa 28:4; 31:1; 2Sa 1:6, 21; 1Nya 10:8
2 Sam. 21:132Sa 21:9
2 Sam. 21:14Yos 18:28
2 Sam. 21:141Sa 9:1; 10:11
2 Sam. 21:14Yos 7:26; 2Sa 24:25
2 Sam. 21:152Sa 5:17, 22
2 Sam. 21:16Kum 2:11
2 Sam. 21:161Sa 17:7; 1Nya 11:23
2 Sam. 21:172Sa 23:18
2 Sam. 21:172Sa 22:19
2 Sam. 21:172Sa 18:3
2 Sam. 21:172Sa 14:7
2 Sam. 21:171Fa 11:36; 15:4; 2Fa 8:19
2 Sam. 21:181Nya 11:29; 20:4; 27:11
2 Sam. 21:182Sa 23:27
2 Sam. 21:18Mwa 14:5; 2Sa 21:16
2 Sam. 21:191Nya 20:5
2 Sam. 21:191Sa 17:7
2 Sam. 21:201Nya 20:6
2 Sam. 21:202Sa 21:16
2 Sam. 21:211Sa 17:10, 45; 2Fa 19:22
2 Sam. 21:211Nya 20:7
2 Sam. 21:211Sa 16:9; 17:13; 1Nya 2:13
2 Sam. 21:221Nya 20:8
2 Sam. 21:22Zb 60:12; 108:13; Eze 32:27
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
2 Samweli 21:1-22

2 Samweli

21 Basi kukawa na njaa+ katika siku za Daudi kwa miaka mitatu, mwaka baada ya mwaka; naye Daudi akatafuta shauri mbele za uso wa Yehova. Kisha Yehova akasema: “Kuna hatia ya damu juu ya Sauli na juu ya nyumba yake, kwa sababu aliwaua Wagibeoni.”+ 2 Kwa hiyo mfalme akawaita Wagibeoni+ na kuongea nao. (Kama ilivyo, Wagibeoni hawakuwa wa wana wa Israeli, bali walikuwa mabaki ya Waamori;+ na wana wa Israeli walikuwa wamewaapia,+ lakini Sauli akatafuta kuwapiga+ ili kuwaua alipoona wivu+ kwa sababu ya wana wa Israeli na Yuda.) 3 Na Daudi akawaambia Wagibeoni: “Niwatendee nini, nami nitafanya upatanisho+ kwa kutumia nini, ili muubariki urithi+ wa Yehova?” 4 Kwa hiyo Wagibeoni wakamwambia: “Si jambo la fedha wala dhahabu+ kwetu kwa habari ya Sauli na nyumba yake, wala si juu yetu kumuua mtu yeyote katika Israeli.” Naye akasema: “Lolote mtakalosema nitawafanyia.” 5 Ndipo wakamwambia mfalme: “Mtu aliyetuangamiza+ na kupanga+ kutumaliza tusiishi katika eneo lolote la Israeli, 6 na tupewe watu saba kati ya wanawe;+ nasi tuwaweke mbele+ za Yehova katika Gibea+ la Sauli, aliyechaguliwa na Yehova.”+ Basi mfalme akasema: “Mimi mwenyewe nitawatoa.”

7 Hata hivyo, mfalme akamhurumia Mefiboshethi+ mwana wa Yonathani mwana wa Sauli kwa sababu ya kile kiapo+ cha Yehova kilichokuwa kati yao, kati ya Daudi na Yonathani mwana wa Sauli. 8 Basi mfalme akawachukua wale wana wawili wa Rispa+ binti ya Aya aliyemzalia Sauli, Armoni na Mefiboshethi, na wale wana watano wa Mikali+ binti ya Sauli ambao alimzalia Adrieli+ mwana wa Barzilai, Mmeholathi. 9 Ndipo akawatia mkononi mwa Wagibeoni, nao wakawaweka kwenye mlima mbele za Yehova,+ hivi kwamba hao saba wakaanguka pamoja; nao waliuawa katika siku za kwanza za mavuno, mwanzoni mwa mavuno ya shayiri.+ 10 Hata hivyo, Rispa binti ya Aya+ akachukua nguo ya gunia,+ akajitandikia juu ya mwamba tangu mwanzo wa mavuno mpaka maji yalipomwagika juu yao kutoka mbinguni;+ naye hakuruhusu ndege+ wa mbinguni watue juu yao wakati wa mchana wala wanyama wa mwituni+ wakati wa usiku.

11 Mwishowe Daudi akaletewa habari+ za mambo ambayo Rispa binti ya Aya, suria wa Sauli, alikuwa amefanya. 12 Kwa hiyo Daudi akaenda, akachukua mifupa ya Sauli+ na mifupa ya Yonathani mwana wake kutoka kwa wenye mashamba wa Yabesh-gileadi,+ ambao walikuwa wameiiba kutoka katika kiwanja cha watu wote cha Beth-shani,+ mahali ambapo Wafilisti walikuwa wamewatundika+ siku ambayo Wafilisti walimpiga na kumuua Sauli juu ya Gilboa.+ 13 Naye akaleta kutoka huko mifupa ya Sauli na mifupa ya Yonathani mwana wake; tena wakaikusanya mifupa ya wale watu waliowekwa mbele zake.+ 14 Kisha wakazika mifupa ya Sauli na Yonathani mwana wake katika nchi ya Benyamini huko Sela+ katika kaburi la Kishi+ baba yake, ili wafanye kila jambo ambalo mfalme alikuwa ameamuru. Basi Mungu akakubali kusihiwa kwa ajili ya nchi baada ya mambo hayo.+

15 Na Wafilisti+ wakaja kupigana vita tena na Israeli. Basi Daudi na watumishi wake pamoja naye wakashuka na kupigana na Wafilisti; naye Daudi akachoka. 16 Na Ishbi-benobu, aliyekuwa mmoja wa wale waliozaliwa kwa Refaimu,+ ambaye uzito wa mkuki+ wake ulikuwa shekeli mia tatu za shaba na ambaye alikuwa amejifunga upanga mpya, akafikiria kumpiga na kumuua Daudi. 17 Basi Abishai+ mwana wa Seruya akaja mara moja kumsaidia,+ akampiga yule Mfilisti na kumuua. Ndipo watu wa Daudi wakamwapia, wakisema: “Usiende tena pamoja nasi vitani,+ usije ukaizima+ taa+ ya Israeli!”

18 Na ikawa kwamba baada ya hayo vita vikatokea tena na Wafilisti katika Gobu. Ndipo Sibekai+ Mhusha+ akampiga Safu, aliyekuwa mmoja wa wale waliozaliwa kwa Refaimu.+

19 Na vita vikatokea tena na Wafilisti katika Gobu, na Elhanani+ mwana wa Yaare-oregimu Mbethlehemu, akampiga Goliathi Mgathi, ambaye mpini wa mkuki wake ulikuwa kama mti wa wafumaji wa nguo.+

20 Na vita vikatokea tena katika Gathi,+ wakati kulipokuwa na mtu mwenye ukubwa usio wa kawaida, mwenye vidole 6 katika kila mmoja wa mikono yake na vidole 6 katika kila mmoja wa miguu yake, jumla yake 24; naye pia alikuwa amezaliwa kwa Refaimu.+ 21 Naye akaendelea kudhihaki+ Israeli. Mwishowe Yonathani+ mwana wa Shimei,+ ndugu ya Daudi, akampiga na kumuua.

22 Hao wanne walikuwa wamezaliwa kwa Refaimu katika Gathi;+ nao wakaanguka kwa mkono wa Daudi na kwa mkono wa watumishi wake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki