Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Yerusalemu (la Kale)

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yerusalemu (la Kale)
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

YERUSALEMU (la Kale)

(Pia huitwa Salemu; Sayuni; Yebusi)

(Ona pia Jiji la Daudi; Sayuni [Zayoni]; Yebusi; Yerusalemu [la Siku Hizi]; Yerusalemu Jipya; Yerusalemu la Juu [Wagalatia 4:26]; Yerusalemu la Mbinguni)

barabara:

kuanzia Yerusalemu mpaka Yeriko: cf 122-123

chemchemi:

Gihoni: gl 21; w96 8/15 5-6

Daudi ateka ngome ya Wayebusi (Sayuni):

mfereji wa chini kwa chini ambao Yoabu alitumia: w97 6/15 9-10

Ezekieli aigiza kuzingirwa: w07 7/1 12

historia: w98 10/15 8-22

huduma ya Paulo:

afanya mkutano pamoja na Yakobo, Petro, na Yohana (m. 49 W.K.): w06 5/1 5

Agabo atabiri kifungo cha Paulo (m. 56 W.K.): bt 177-178

ajitakasa kidesturi hekaluni (56 W.K.): bt 184-185; w03 3/15 24

apeleka msaada (56 W.K.): bt 169, 182; w02 11/15 13; w98 7/15 7

apeleka msaada pamoja na Barnaba (m. 46 W.K.): bt 12

mara ya kwanza kwenda Yerusalemu baada ya kuwa Mkristo (m. 36 W.K.): bt 12, 65; w07 6/15 15-17

mara ya mwisho kwenda Yerusalemu (56 W.K.): bt 12, 181-189, 191; w06 11/15 8; w01 12/15 21-22

suala kuhusu tohara (m. 49 W.K.): bm 26; w98 11/15 29

huduma ya Yesu: gl 30

aingia akiwa amepanda mwana-punda: cf 25-27; my 97; w00 9/15 16-17; w99 8/1 14-15; w98 3/15 3-4; w97 3/1 30-31

amponya kipofu: w07 8/1 5; w03 8/1 19

idadi ya watu: w03 1/1 9

“jiji la ukweli” (Zek 8:3): w07 12/1 10

“jiji la yule Mfalme mkuu” (Mt 5:35): w98 10/15 8-12

jumba la mfalme (kasri) la Herode Mkuu: g 9/09 25

jumba la Sanhedrini: bt 36, 39

katika siku za Isaya: ip-1 29-31

“katika utumwa pamoja na watoto wake” (Ga 4:25): w06 3/15 11

kipindi cha ukiwa (607-537 K.W.K.):

kilidumu kwa miaka 70 kama ilivyotabiriwa: g 6/12 13-14; w11 10/1 26-28; w11 11/1 22-25, 27; w06 1/15 19

kuta: w98 10/15 23

lajengwa upya (537-443 K.W.K.): my 80-81, 83; w98 10/15 11

“jiji la ukweli” (Zek 8:3): w96 1/1 10

unabii wa Isaya: ip-2 215-216, 383-384, 399-400; ip-1 33; w97 5/1 9-12

‘lakanyagwa-kanyagwa na mataifa’ (Lu 21:24): rs 398; jv 140-142

latekwa na Waroma (63 K.W.K.): w01 6/15 30

“limeunganishwa pamoja kwa umoja” (Zb 122:3): w06 9/1 15

linafananisha—

dini zinazodai kuwa za Kikristo: ip-2 294, 393-394; w96 3/1 13

tengenezo la Yehova (sehemu ya mbinguni) (Yerusalemu la juu): w06 3/15 11; ip-2 216

Ufalme wa Kimasihi (Yerusalemu Jipya): ip-2 383-384

linafananishwa na—

Hagari: w06 3/15 11-12; ip-2 218

mabonde:

Bonde la Hinomu: w11 4/1 31; rs 158

“bonde la maono” (Isa 22:1, 5): ip-1 231

madimbwi:

Bethzatha: gl 31

madimbwi ya kuogea kidesturi: w06 10/15 12-13

Siloamu: w07 7/15 6-7

maelezo: bt 23; gl 20-21; w98 10/15 8-22

maisha ya Yesu ya utotoni: w12 4/1 26-27; w12 9/15 31; km 6/10 3-4; w07 2/15 24-25; w03 12/15 6

majina:

Arieli (Isa 29:1, 2): ip-1 296-297

Salemu: w98 10/15 8

Upendezi Wangu Umo Ndani Yake (Hefsiba): ip-2 338-342

Yerusalemu: w98 10/15 12-13, 19

maji yalivyoingizwa: w96 8/15 5-6

Pilato alianzisha mradi wa kutengeneza mfereji: w05 9/15 11

malango: w98 10/15 23

milima au vilima:

Ofeli: gl 20-21; ip-1 339-340

minara:

mnara wa Siloamu (Lu 13:4): cf 126

mipaka: w98 10/15 9

mkutano wa mitume na wanaume wazee (Mdo 15): w12 1/15 4-5; bt 12, 105-106, 108-109, 111, 113; w07 4/15 26-27; wt 131-132; w00 3/15 11-12; w96 7/15 13-14

Tito alivyohusika: bt 102; w98 11/15 29

Yakobo alivyohusika: bt 112

Yuda na Sila walivyohusika: bt 113-115; w99 2/15 26-27

Nebukadneza azingira Yerusalemu (618-617 K.W.K.): jr 24-25; dp 32

awapeleka baadhi ya Waisraeli uhamishoni: jr 24-25

Yehoyakimu afa: jr 24

picha ya Yerusalemu la kale (Quebec): g03 9/8 31

ramani: gl 21

kuta na malango kabla na baada ya uhamisho: w98 10/15 23

ujirani wa Yerusalemu: gl 18

siku za Nehemia:

kuta zajengwa upya: my 83; w02 11/1 27; w98 10/15 16-19

kuta zazinduliwa: w98 10/15 22

watu waliojitolea wangekaa Yerusalemu: w06 2/1 11; w98 10/15 22

tisho la Senakeribu: g 12/10 27

Hezekia amtegemea Yehova: w11 11/15 6-7; w03 3/1 16-17; ip-1 325-328, 383-394

matayarisho ya Hezekia ya kulinda Yerusalemu: ip-1 385; w97 6/15 10-11

Rabshake asema kwa niaba ya Senakeribu: w10 7/15 12-15; ip-1 386-389

uharibifu (607 K.W.K.): my 76; w97 6/15 11-12

akina mama wala watoto wao wenyewe: jr 155

hali zilivyokuwa baada ya uharibifu: jr 73

mfuatano wa matukio (kronolojia): w11 10/1 26-31; w11 11/1 22-28; w11 12/15 31

Nebuzaradani afika na kuingia Yerusalemu: w07 3/15 11

tendo la ajabu la Yehova (Isa 28:21): ip-1 290, 295-296

unabii wa Amosi (Amo 2:4, 5): w04 11/15 17

unabii wa Ezekieli: w97 5/1 8-9

unabii wa Isaya: ip-2 176-177, 179, 404-406; ip-1 296-300; w97 5/1 8-9

unabii wa Sefania: w96 3/1 9-11

unabii wa Yeremia: re 270

unafananisha uharibifu wa dini zinazodai kuwa za Kikristo: re 257, 270; ip-2 404-406; w96 3/1 13

waliookoka: w02 10/1 15-16

uharibifu (70 W.K.): w07 4/1 10-11; rs 36; w03 1/1 8-9; w99 5/1 10; w96 6/1 15-16; w96 8/15 16-18

Colosseum jijini Rome ni makumbusho: g96 2/22 31

“dhiki kuu” (Mt 24:21): w97 12/15 14-16; w96 8/15 16-18

hali kabla ya uharibifu: w06 12/15 18

maelezo ya Yosefo: w96 8/15 17

mwaka wa uharibifu haukutabiriwa: w98 9/15 14-15

“ngome yenye miti iliyochongoka” (Lu 19:43): g 4/11 12; w09 5/1 27; w07 4/1 10; rs 36

Sesho Galo azingira Yerusalemu (66 W.K.): w07 4/1 9; rs 36; w99 5/1 9-10; w96 6/1 15-16; w96 8/15 16, 18

si utimizo wa Mwanzo 3:15: w12 6/15 11

Tao la Tito ni kumbukumbu la uharibifu wa Yerusalemu: g 4/11 13

umuhimu wa Vespasiani: g 7/12 21

unabii wa Danieli (Da 9:26, 27): dp 195-196

unabii wa Yesu: g 4/11 12-13; w07 4/1 8-11; w06 12/15 17-18; rs 35-36; w99 5/1 14-15; w97 4/1 5-6

unafananisha uharibifu wa dini zinazodai kuwa za Kikristo: w05 9/15 18-19

Wakristo wakimbia Yerusalemu kabla ya uharibifu: w12 4/15 25-26; w12 10/1 15; g 4/11 12; w09 5/15 9, 13; kp 20-21; lr 44-46; w98 9/15 3-4; jv 715; w96 6/1 15-16

waliookoka: w96 8/15 17

ulinzi wa Yehova unafananishwa na mito na mifereji (Isa 33:21): ip-1 350-351

vitu vya kale vilivyochimbuliwa: g 11/07 30; w00 2/1 10; w97 6/15 9-13

alama ya muhuri wenye jina Gedalia, mwana wa Pashuri: jr 55; g 6/09 29

alama ya muhuri wenye jina Gedalyahu Ben Immer: g 11/07 30

alama ya muhuri wenye jina Gemaria: w11 5/1 15

alama ya muhuri wenye jina Yukali: jr 55; g 11/07 16; w06 9/15 14-15

dimbwi la Siloamu: w07 7/15 6-7

eneo la hekalu: w97 6/15 12

huenda kaburi la Kayafa limepatikana Yerusalemu: w06 1/15 10; w97 6/15 13

Jiji la Daudi (Sayuni): w97 6/15 9

jiwe lenye maandishi “Mahali pa Kupiga Tarumbeta”: g 3/11 16

mabamba ya Amarna yathibitisha kwamba wafalme Wakanaani walitawala Yerusalemu: w08 12/15 21-22

madimbwi ya kuogea kidesturi: w06 10/15 12-13

makaburi: w97 6/15 11

mfereji wa chini kwa chini wa maji (Warren’s Shaft): w97 6/15 9-10

Mfereji wa Siloamu (mfereji wa Hezekia): w09 5/1 27; w97 6/15 9-10; w96 8/15 5-6; g96 6/8 29

Nyumba Iliyoteketea: g 11/07 15-16; w97 6/15 13

sarafu ambazo ni makumbusho ya maasi ya Wayahudi dhidi ya Waroma (66 W.K.): w11 11/1 12

sarafu yenye picha ya mungu Melkart: w11 11/1 12

uharibifu (607 K.W.K.): w97 6/15 11-12

ukubwa wa Yerusalemu: w97 6/15 11

Ukuta Mpana: w97 6/15 11

vitabu vya kukunjwa vya fedha vyenye jina la Mungu: w06 1/15 32; w97 6/15 11

Wakristo:

labda kulikuwa na zaidi ya kutaniko moja jijini Yerusalemu: w07 4/15 22

mahali Wakristo walipofanya mikutano: w10 3/15 6-7; bt 80, 118

shida: w01 3/15 29

tatizo la kutogawa chakula kwa usawa (Mdo 6): bt 41-42; w06 7/15 16

“wanaume saba waliothibitishwa” (Mdo 6:3): bt 41-42

Wayahudi waasi Milki ya Roma (66-73 W.K.): w07 4/1 9-11

sarafu za Wayahudi ambazo ni makumbusho ya maasi: w11 11/1 12

Wayahudi walioishi nje ya Palestina walikuja kwenye sherehe: w12 9/15 31; w05 10/15 12-15

Yerusalemu katika siku za Sulemani:

picha na michoro: gl 20-21

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki