Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wakorintho 15
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Wakorintho 15:1

Marejeo

  • +Gal 1:11
  • +Mdo 18:11
  • +Ro 5:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14

1 Wakorintho 15:2

Marejeo

  • +Ro 1:16
  • +Gal 3:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14

1 Wakorintho 15:3

Marejeo

  • +Gal 1:12
  • +Zb 22:15; Isa 53:8, 12; Da 9:26; 1Pe 2:24

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 14-15

    2/15/1991, uku. 5

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14-15

1 Wakorintho 15:4

Marejeo

  • +Isa 53:9; Mt 27:60
  • +Mt 28:7
  • +Lu 24:46
  • +Zb 16:10; Isa 53:10; Yon 2:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

1 Wakorintho 15:5

Marejeo

  • +Lu 24:34
  • +Yoh 20:26

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Ufahamu, uku. 128

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    4/1/2010, uku. 25

    7/1/1998, kur. 14-15

    1/15/1988, uku. 30

    Igeni, uku. 202

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 4/1 25; w98 7/1 14-15

1 Wakorintho 15:6

Marejeo

  • +Mt 28:17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    ‘Mfuasi Wangu’, uku. 94

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    7/2019, uku. 14

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2015, kur. 26-27

    7/1/1998, kur. 14-15

    10/1/1995, uku. 14

    5/1/1991, uku. 8

    Yesu—Njia, uku. 310

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    cf 94; w98 7/1 14-15

1 Wakorintho 15:7

Marejeo

  • +Mdo 12:17
  • +Mdo 1:2, 6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Wapende Watu, somo la 8

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2022, kur. 9-10

    Kutoa Ushahidi, uku. 112

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi,

    3/15/2014, kur. 4-5

    7/1/1998, kur. 14, 15-16

    “Kila Andiko,” uku. 248

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    bt 112; w98 7/1 14-16

1 Wakorintho 15:8

Marejeo

  • +Mdo 9:4; 1Ko 9:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    9/2022, uku. 27

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2000, uku. 29

    7/1/1998, kur. 14, 15-16

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 1/15 29; w98 7/1 14, 16

1 Wakorintho 15:9

Marejeo

  • +Efe 3:8
  • +Mdo 8:3; Gal 1:13; 1Ti 1:13

1 Wakorintho 15:10

Marejeo

  • +Efe 4:7
  • +2Ko 6:1
  • +2Ko 11:23
  • +Flp 2:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2013, kur. 23-24

    8/1/2000, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 8/1 14

1 Wakorintho 15:11

Marejeo

  • +Mdo 18:10

1 Wakorintho 15:12

Marejeo

  • +Mdo 4:2; 17:31
  • +Mt 22:23; Mdo 26:8

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 5

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 14, 16-17

    8/15/1997, uku. 12

    8/1/1993, kur. 15-16

    9/15/1990, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14, 16; w97 8/15 12

1 Wakorintho 15:13

Marejeo

  • +Ro 10:7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

1 Wakorintho 15:14

Marejeo

  • +1Th 4:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    8/15/1997, uku. 12

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 8/15 12

1 Wakorintho 15:15

Marejeo

  • +Mdo 3:15
  • +Mdo 1:22
  • +Mdo 2:24; 4:10; 13:30
  • +Mdo 17:31; 1Ko 6:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

1 Wakorintho 15:17

Marejeo

  • +Ro 4:25; Ebr 7:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    7/1/1998, kur. 16-17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 16

1 Wakorintho 15:18

Marejeo

  • +Mdo 7:59
  • +1Ko 15:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 5-6

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    7/1/1998, kur. 16-17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:19

Marejeo

  • +Yoh 1:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    7/1/1998, kur. 16-17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:20

Marejeo

  • +1Pe 1:3
  • +Law 23:10; Kol 1:18
  • +Mdo 26:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 5-6

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 7

    7/15/2007, uku. 26

    7/15/2000, kur. 13-14

    7/1/1998, uku. 17

    3/1/1998, uku. 13

    1/1/1987, uku. 21

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 26; w00 7/15 13-14; w98 3/1 13; w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:21

Marejeo

  • +Mwa 3:19
  • +Yoh 11:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 5

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 7

    7/1/1998, uku. 17

    Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu, kur. 256-257

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:22

Marejeo

  • +Ro 5:12
  • +Ro 5:17; 6:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 105

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 5-6, 30

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 2 2017 kur. 5-6

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 7

    7/1/1998, uku. 17

    Kutoa Sababu, kur. 415-416

  • Fahirishi ya Machapisho

    rs 415-416; w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:23

Marejeo

  • +Ufu 1:5
  • +Mt 24:3; 25:31; 1Th 4:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 6

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2017, kur. 11-12

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2007, uku. 26

    7/15/2000, kur. 13-14

    7/1/1998, kur. 17, 22-24

    10/1/1986, kur. 13-14

    Kuishi Milele, kur. 172-173

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 26; w00 7/15 13-14; w98 7/1 17, 22-24

1 Wakorintho 15:24

Marejeo

  • +Zb 110:2; Da 2:44

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

    Ibada Safi, uku. 229

    Upeo wa Ufunuo, kur. 291, 300

    Mwabudu Mungu, uku. 189

    Mnara wa Mlinzi,

    10/15/2000, uku. 20

    7/1/1998, uku. 21

    Kuishi Milele, uku. 182

    Usalama Ulimwenguni Pote, kur. 180-182

  • Fahirishi ya Machapisho

    re 291, 300; wt 189; w00 10/15 20; w98 7/1 21

1 Wakorintho 15:25

Marejeo

  • +Zb 110:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1986, uku. 13

1 Wakorintho 15:26

Marejeo

  • +Ufu 20:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Furahia Maisha Milele!, somo la 30

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 6-7

    Ufahamu,

    Ibada Safi, uku. 229

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2014, kur. 23-27

    9/15/2012, uku. 11

    7/1/1998, kur. 21-22

    10/1/1986, uku. 13

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, uku. 237

    Upeo wa Ufunuo, kur. 291, 300

    Kuishi Milele, uku. 182

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 9/15 11; re 291, 300; w98 7/1 21-22

1 Wakorintho 15:27

Marejeo

  • +Zb 8:6; Efe 1:22
  • +Ebr 2:8
  • +1Pe 3:22

1 Wakorintho 15:28

Marejeo

  • +Flp 3:21
  • +Yoh 3:35; 14:28
  • +1Ko 3:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha,

    4/2019, uku. 6

    Ufahamu, uku. 1159

    Ufahamu,

    Ibada Safi, uku. 229

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2014, uku. 27

    9/15/2012, kur. 11-12

    12/1/2007, uku. 30

    7/1/1998, uku. 22

    6/1/1994, kur. 30-31

    Usalama Ulimwenguni Pote, kur. 180-189

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 9/15 12; w07 12/1 30; w98 7/1 22

1 Wakorintho 15:29

Marejeo

  • +Ro 6:4
  • +Mdo 17:31
  • +1Ko 12:13; Gal 3:27

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 14

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2008, uku. 27

    10/1/2003, uku. 29

    8/15/2000, uku. 30

    7/15/2000, uku. 17

    7/1/1998, uku. 17

    Kutoa Sababu, uku. 310

  • Fahirishi ya Machapisho

    w08 7/15 27; rs 310; w03 10/1 29; w00 7/15 17; w00 8/15 30; w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:30

Marejeo

  • +Ro 8:36; 2Ko 11:26

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:31

Marejeo

  • +1Ko 4:9
  • +1Th 2:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 17-18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17-18

1 Wakorintho 15:32

Marejeo

  • +2Ko 1:8
  • +Isa 22:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Kutoa Ushahidi, uku. 163

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 9

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 3

    10/15/2007, uku. 3

    6/15/2002, kur. 26-28

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, kur. 17-18

    11/1/1997, kur. 24-25

    8/15/1997, uku. 12

    11/1/1996, uku. 16

    9/15/1990, uku. 24

    2/15/1989, uku. 5

    6/15/1988, kur. 18-19

  • Fahirishi ya Machapisho

    bt 163; w07 10/15 3; w02 6/15 26-28; w00 7/15 18; w98 7/1 18; w97 8/15 12; w97 11/1 24-25; w96 11/1 16

1 Wakorintho 15:33

Marejeo

  • +Met 13:20; 1Ko 5:6; 2Pe 2:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    2/2023, kur. 17-18

    Furahia Maisha Milele!, somo la 48

    Amkeni!,

    Na. 3 2019, uku. 9

    8/22/2005, kur. 25-26

    7/22/2005, kur. 19-21

    2/22/1997, uku. 13

    12/22/1993, kur. 26-27

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/2015, kur. 25-26

    7/15/2012, uku. 15

    5/1/2007, kur. 15-16

    3/15/2006, uku. 23

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 18

    11/1/1997, kur. 23-25

    7/15/1997, uku. 18

    2/1/1994, uku. 17

    8/1/1993, kur. 15-20

    8/15/1991, uku. 29

    7/15/1991, kur. 23-24

    6/15/1988, kur. 18-19

    3/15/1987, uku. 6

    Siku ya Yehova, kur. 134-136

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 7/15 15; w07 5/1 15-16; w06 3/15 23; jd 134-136; g05 7/22 19-21; g05 8/22 25-26; w00 7/15 18; w98 7/1 18; w97 7/15 18; w97 11/1 23-25; g97 2/22 13

1 Wakorintho 15:34

Marejeo

  • +Ro 13:11; Efe 5:14
  • +1Th 4:5
  • +1Ko 6:5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 18

    6/15/1988, kur. 18-19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 18

1 Wakorintho 15:35

Marejeo

  • +1Yo 3:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 9-11

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 7/15 18; w98 7/1 19

1 Wakorintho 15:36

Marejeo

  • +Yoh 12:24

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 19-20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 19-20

1 Wakorintho 15:37

Marejeo

  • +Mwa 1:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 19-20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 19-20

1 Wakorintho 15:38

Marejeo

  • +Mwa 1:12
  • +1Ko 12:18

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 19-20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 19-20

1 Wakorintho 15:39

Marejeo

  • +Mwa 1:28

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

1 Wakorintho 15:40

Marejeo

  • +Mwa 22:11; Da 7:10
  • +Mwa 2:7; Ebr 2:7
  • +Mt 28:3; Lu 24:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 20

    Muumba, kur. 85-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 7/15 18; w98 7/1 20; ct 85-86

1 Wakorintho 15:41

Marejeo

  • +Zb 72:5
  • +Mwa 1:16
  • +Da 12:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 20

    6/15/1993, uku. 11

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:42

Marejeo

  • +Yoh 12:25
  • +Ro 2:7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 10-11

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 7/15 18; w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:43

Marejeo

  • +Yoh 17:14
  • +Kol 3:4
  • +1Ko 1:27
  • +Ufu 20:4

1 Wakorintho 15:44

Marejeo

  • +1Ko 6:13
  • +Yoh 14:3

1 Wakorintho 15:45

Marejeo

  • +Mwa 2:7
  • +1Ti 3:16
  • +Yoh 5:26

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mkaribie Yehova, uku. 145

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 11

    Ufahamu, uku. 735

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2014, uku. 26

    3/15/2000, uku. 4

    2/15/1991, uku. 14

    7/15/1990, uku. 23

    8/15/1989, kur. 11-12, 13-14

    Amkeni!,

    4/22/2005, uku. 4

    Mwalimu, kur. 192-193

    “Kila Andiko,” uku. 18

    Kutoa Sababu, uku. 26

    Usalama Ulimwenguni Pote, kur. 163-164, 169

  • Fahirishi ya Machapisho

    g05 4/22 4; rs 26; lr 192-193; cl 145; w00 3/15 4

1 Wakorintho 15:46

Marejeo

  • +1Pe 3:18

1 Wakorintho 15:47

Marejeo

  • +Mwa 3:19
  • +Yoh 3:13; 6:33

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    2/15/1991, uku. 14

    Kutoa Sababu, uku. 26

  • Fahirishi ya Machapisho

    rs 26

1 Wakorintho 15:48

Marejeo

  • +Mwa 2:7
  • +Flp 3:20
  • +Flp 3:21

1 Wakorintho 15:49

Marejeo

  • +Mwa 5:3
  • +Ro 8:29

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 11

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:50

Marejeo

  • +Yoh 3:3
  • +1Pe 1:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 11

    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya, uku. 2034

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/1993, uku. 6

    “Kila Andiko,” uku. 213

1 Wakorintho 15:51

Marejeo

  • +1Th 4:17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 17

    2/15/1995, uku. 22

    1/15/1993, uku. 6

    Kuishi Milele, uku. 173

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:52

Marejeo

  • +1Th 4:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 17

    2/15/1995, uku. 22

    1/15/1993, uku. 6

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:53

Marejeo

  • +Ro 2:7
  • +Ro 8:11; 2Ko 5:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi,

    2/15/2009, uku. 25

    7/1/1998, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w09 2/15 25; w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:54

Marejeo

  • +Ufu 20:6; 21:4
  • +Isa 25:8

1 Wakorintho 15:55

Marejeo

  • +Ho. 13:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    The Watchtower,

    11/15/2005, uku. 29

    2/15/1995, kur. 9-10

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 11/15 29

1 Wakorintho 15:56

Marejeo

  • +Ro 6:23
  • +Ro 3:20; 7:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    The Watchtower,

    11/15/2005, uku. 29

    7/15/2000, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 11/15 29; w00 7/15 19

1 Wakorintho 15:57

Marejeo

  • +Yoh 3:16; Mdo 4:12; 1Yo 5:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 24

1 Wakorintho 15:58

Marejeo

  • +Kol 1:23; Ebr 3:14; 2Pe 3:17
  • +Ro 12:11
  • +2Nya 15:7; 1Ko 3:8; Ufu 14:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 13

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2017, kur. 9-10

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2003, uku. 22

    7/15/2000, uku. 19

    7/1/1998, uku. 24

    7/1/1992, kur. 28-29

    10/15/1989, uku. 20

    Huduma ya Ufalme,

    6/2000, uku. 1

    1/1995, uku. 1

  • Fahirishi ya Machapisho

    w03 5/15 22; w00 7/15 19; km 6/00 1; w98 7/1 24

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Kor. 15:1Gal 1:11
1 Kor. 15:1Mdo 18:11
1 Kor. 15:1Ro 5:2
1 Kor. 15:2Ro 1:16
1 Kor. 15:2Gal 3:4
1 Kor. 15:3Gal 1:12
1 Kor. 15:3Zb 22:15; Isa 53:8, 12; Da 9:26; 1Pe 2:24
1 Kor. 15:4Isa 53:9; Mt 27:60
1 Kor. 15:4Mt 28:7
1 Kor. 15:4Lu 24:46
1 Kor. 15:4Zb 16:10; Isa 53:10; Yon 2:10
1 Kor. 15:5Lu 24:34
1 Kor. 15:5Yoh 20:26
1 Kor. 15:6Mt 28:17
1 Kor. 15:7Mdo 12:17
1 Kor. 15:7Mdo 1:2, 6
1 Kor. 15:8Mdo 9:4; 1Ko 9:1
1 Kor. 15:9Efe 3:8
1 Kor. 15:9Mdo 8:3; Gal 1:13; 1Ti 1:13
1 Kor. 15:10Efe 4:7
1 Kor. 15:102Ko 6:1
1 Kor. 15:102Ko 11:23
1 Kor. 15:10Flp 2:13
1 Kor. 15:11Mdo 18:10
1 Kor. 15:12Mdo 4:2; 17:31
1 Kor. 15:12Mt 22:23; Mdo 26:8
1 Kor. 15:13Ro 10:7
1 Kor. 15:141Th 4:14
1 Kor. 15:15Mdo 3:15
1 Kor. 15:15Mdo 1:22
1 Kor. 15:15Mdo 2:24; 4:10; 13:30
1 Kor. 15:15Mdo 17:31; 1Ko 6:14
1 Kor. 15:17Ro 4:25; Ebr 7:25
1 Kor. 15:18Mdo 7:59
1 Kor. 15:181Ko 15:14
1 Kor. 15:19Yoh 1:12
1 Kor. 15:201Pe 1:3
1 Kor. 15:20Law 23:10; Kol 1:18
1 Kor. 15:20Mdo 26:23
1 Kor. 15:21Mwa 3:19
1 Kor. 15:21Yoh 11:25
1 Kor. 15:22Ro 5:12
1 Kor. 15:22Ro 5:17; 6:23
1 Kor. 15:23Ufu 1:5
1 Kor. 15:23Mt 24:3; 25:31; 1Th 4:16
1 Kor. 15:24Zb 110:2; Da 2:44
1 Kor. 15:25Zb 110:1
1 Kor. 15:26Ufu 20:14
1 Kor. 15:27Zb 8:6; Efe 1:22
1 Kor. 15:27Ebr 2:8
1 Kor. 15:271Pe 3:22
1 Kor. 15:28Flp 3:21
1 Kor. 15:28Yoh 3:35; 14:28
1 Kor. 15:281Ko 3:23
1 Kor. 15:29Ro 6:4
1 Kor. 15:29Mdo 17:31
1 Kor. 15:291Ko 12:13; Gal 3:27
1 Kor. 15:30Ro 8:36; 2Ko 11:26
1 Kor. 15:311Ko 4:9
1 Kor. 15:311Th 2:19
1 Kor. 15:322Ko 1:8
1 Kor. 15:32Isa 22:13
1 Kor. 15:33Met 13:20; 1Ko 5:6; 2Pe 2:2
1 Kor. 15:34Ro 13:11; Efe 5:14
1 Kor. 15:341Th 4:5
1 Kor. 15:341Ko 6:5
1 Kor. 15:351Yo 3:2
1 Kor. 15:36Yoh 12:24
1 Kor. 15:37Mwa 1:11
1 Kor. 15:38Mwa 1:12
1 Kor. 15:381Ko 12:18
1 Kor. 15:39Mwa 1:28
1 Kor. 15:40Mwa 22:11; Da 7:10
1 Kor. 15:40Mwa 2:7; Ebr 2:7
1 Kor. 15:40Mt 28:3; Lu 24:4
1 Kor. 15:41Zb 72:5
1 Kor. 15:41Mwa 1:16
1 Kor. 15:41Da 12:3
1 Kor. 15:42Yoh 12:25
1 Kor. 15:42Ro 2:7
1 Kor. 15:43Yoh 17:14
1 Kor. 15:43Kol 3:4
1 Kor. 15:431Ko 1:27
1 Kor. 15:43Ufu 20:4
1 Kor. 15:441Ko 6:13
1 Kor. 15:44Yoh 14:3
1 Kor. 15:45Mwa 2:7
1 Kor. 15:451Ti 3:16
1 Kor. 15:45Yoh 5:26
1 Kor. 15:461Pe 3:18
1 Kor. 15:47Mwa 3:19
1 Kor. 15:47Yoh 3:13; 6:33
1 Kor. 15:48Mwa 2:7
1 Kor. 15:48Flp 3:20
1 Kor. 15:48Flp 3:21
1 Kor. 15:49Mwa 5:3
1 Kor. 15:49Ro 8:29
1 Kor. 15:50Yoh 3:3
1 Kor. 15:501Pe 1:23
1 Kor. 15:511Th 4:17
1 Kor. 15:521Th 4:16
1 Kor. 15:53Ro 2:7
1 Kor. 15:53Ro 8:11; 2Ko 5:4
1 Kor. 15:54Ufu 20:6; 21:4
1 Kor. 15:54Isa 25:8
1 Kor. 15:55Ho. 13:14
1 Kor. 15:56Ro 6:23
1 Kor. 15:56Ro 3:20; 7:13
1 Kor. 15:57Yoh 3:16; Mdo 4:12; 1Yo 5:4
1 Kor. 15:58Kol 1:23; Ebr 3:14; 2Pe 3:17
1 Kor. 15:58Ro 12:11
1 Kor. 15:582Nya 15:7; 1Ko 3:8; Ufu 14:13
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • 50
  • 51
  • 52
  • 53
  • 54
  • 55
  • 56
  • 57
  • 58
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Wakorintho 15:1-58

1 Wakorintho

15 Basi nawajulisha ninyi, akina ndugu, habari njema+ niliyowatangazia,+ mliyoipokea pia, ambayo katika hiyo mnasimama+ pia, 2 ambayo kupitia hiyo ninyi pia mnaokolewa,+ kupitia maneno ambayo niliwatangazia ninyi habari njema, ikiwa mnaishika sana, isipokuwa, kwa kweli, iwe mlikuwa waamini bila kusudi.+

3 Kwa maana niliwapa ninyi, kati ya mambo ya kwanza, yale niliyopokea+ pia, kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kulingana na Maandiko;+ 4 na kwamba alizikwa,+ ndiyo, kwamba alifufuliwa+ siku ya tatu+ kulingana na Maandiko;+ 5 na kwamba alimtokea Kefa,+ kisha wale kumi na wawili.+ 6 Baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano kwa wakati mmoja, ambao walio wengi kati yao wapo mpaka sasa,+ lakini wengine wamelala usingizi katika kifo. 7 Baadaye alimtokea Yakobo,+ kisha mitume wote;+ 8 lakini mwisho kabisa alinitokea mimi+ pia kana kwamba kwa mmoja aliyezaliwa kabla ya wakati wake.

9 Kwa maana mimi ni mdogo+ zaidi kati ya mitume, nami sifai kuitwa mtume, kwa sababu nililitesa+ kutaniko la Mungu. 10 Lakini kwa fadhili zisizostahiliwa+ za Mungu mimi niko kama nilivyo. Na fadhili zake zisizostahiliwa zilizonielekea mimi hazikuwa za bure,+ bali nilifanya kazi kuwapita wao wote,+ lakini si mimi bali ni fadhili zisizostahiliwa za Mungu zilizo pamoja nami.+ 11 Hata hivyo, hata kama ni mimi au ni wao, ndivyo sisi tunahubiri na ndivyo ninyi mmeamini.+

12 Basi ikiwa Kristo anahubiriwa kwamba amefufuliwa kutoka kwa wafu,+ kwa nini wengine kati yenu wanasema hakuna ufufuo wa wafu?+ 13 Ikiwa, kwa kweli, hakuna ufufuo wa wafu, basi Kristo hakufufuliwa.+ 14 Lakini ikiwa Kristo hakufufuliwa, hakika kuhubiri kwetu ni bure, na imani yetu ni bure.+ 15 Zaidi ya hayo, tunaonekana pia kuwa mashahidi wa uwongo wa Mungu,+ kwa sababu tumetoa ushahidi+ juu ya Mungu kwamba yeye alimfufua Kristo,+ lakini ambaye hakumfufua ikiwa kwa kweli wafu hawatafufuliwa.+ 16 Kwa maana ikiwa wafu hawatafufuliwa, basi Kristo hakufufuliwa. 17 Na tena, ikiwa Kristo hakufufuliwa, imani yenu ni bure; ninyi bado mko katika dhambi zenu.+ 18 Kwa kweli, pia, wale waliolala usingizi katika kifo katika muungano+ na Kristo waliangamia.+ 19 Ikiwa ni katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo,+ sisi ndio wa kusikitikiwa zaidi kati ya watu wote.

20 Hata hivyo, sasa Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu,+ matunda ya kwanza+ ya wale ambao wamelala usingizi katika kifo.+ 21 Kwa kuwa kifo+ ni kupitia mwanadamu, ufufuo+ wa wafu pia ni kupitia mwanadamu. 22 Kwa maana kama vile katika Adamu wote wanakufa,+ vivyo hivyo pia katika Kristo wote watafanywa kuwa hai.+ 23 Lakini kila mmoja katika daraja lake mwenyewe: Kristo aliye matunda ya kwanza,+ baadaye wale walio wa Kristo wakati wa kuwapo kwake.+ 24 Halafu, ule mwisho, wakati atakapomkabidhi ufalme Mungu wake ambaye pia ni Baba yake, wakati atakapokuwa ameangamiza serikali yote na mamlaka yote na nguvu zote.+ 25 Kwa maana ni lazima atawale akiwa mfalme mpaka Mungu awe ameweka adui zote chini ya miguu yake.+ 26 Adui wa mwisho atakayeangamizwa ni kifo.+ 27 Kwa maana Mungu “alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake.”+ Lakini anaposema kwamba ‘vitu vyote vimetiishwa,’+ ni wazi kwamba iko hivyo isipokuwa kwa yule aliyevitiisha vitu vyote kwake.+ 28 Lakini vitu vyote vitakapokuwa vimetiishwa kwake,+ ndipo Mwana mwenyewe atakapojitiisha pia kwa Yeye+ aliyevitiisha vitu vyote kwake, ili Mungu awe vitu vyote kwa kila mtu.+

29 Kama sivyo, watafanya nini wale wanaobatizwa kwa kusudi la kuwa wafu?+ Ikiwa wafu hawatafufuliwa kamwe,+ kwa nini pia wanabatizwa+ kwa kusudi la kuwa hivyo? 30 Kwa nini sisi pia tumo hatarini kila saa?+ 31 Nakabili kifo kila siku.+ Hili nathibitisha kwa furaha+ niliyo nayo juu yenu, akina ndugu, ambayo ninayo katika Kristo Yesu Bwana wetu. 32 Ikiwa, kama wanadamu, nimepigana na wanyama-mwitu katika Efeso,+ hiyo ina faida gani kwangu? Ikiwa wafu hawatafufuliwa, “na tule na tunywe, kwa maana kesho tutakufa.”+ 33 Msipotoshwe. Mashirika mabaya huharibu tabia nzuri.+ 34 Amkeni muwe na utimamu wa akili+ katika njia ya uadilifu na msiwe na mazoea ya kufanya dhambi, kwa maana wengine hawamjui Mungu.+ Ninasema ili kuwafanya ninyi mwone aibu.+

35 Hata hivyo, mtu fulani atasema: “Wafu watafufuliwaje? Ndiyo, watakuja wakiwa na mwili wa namna gani?”+ 36 Wewe mtu usiye na akili! Kile unachopanda hakiwi hai isipokuwa kwanza kife;+ 37 na kwa habari ya kile unachopanda, unapanda, si mwili utakaochipuka, bali mbegu tupu,+ huenda ikawa, ni ya ngano au yoyote kati ya zile nyingine; 38 lakini Mungu huipa mwili+ kama inavyompendeza,+ na kwa kila moja ya hizo mbegu mwili wake yenyewe. 39 Nyama yote si nyama ya aina moja, bali kuna moja ya wanadamu, na kuna nyama nyingine ya mifugo, na nyama nyingine ya ndege, na nyingine ya samaki.+ 40 Na kuna miili ya mbinguni,+ na miili ya duniani;+ lakini utukufu+ wa miili ya mbinguni ni wa namna moja, na ule wa miili ya duniani ni wa namna nyingine. 41 Utukufu wa jua+ ni wa namna moja, na utukufu wa mwezi+ ni mwingine, na utukufu wa nyota+ ni mwingine; kwa kweli, nyota hutofautiana na nyota kwa utukufu.

42 Ndivyo ulivyo pia ufufuo wa wafu.+ Hupandwa katika uharibifu, hufufuliwa katika kutoweza kuharibika.+ 43 Hupandwa katika aibu,+ hufufuliwa katika utukufu.+ Hupandwa katika udhaifu,+ hufufuliwa katika nguvu.+ 44 Hupandwa ukiwa mwili wa nyama,+ hufufuliwa ukiwa mwili wa roho.+ Ikiwa kuna mwili wa nyama, kuna wa roho pia. 45 Hata imeandikwa hivi: “Mtu wa kwanza Adamu akawa nafsi hai.”+ Adamu wa mwisho akawa roho+ inayotoa uhai.+ 46 Hata hivyo, wa kwanza si ule ulio wa roho, bali ni ule ulio wa nyama, baadaye ule ulio wa roho.+ 47 Mtu wa kwanza ni wa kutoka duniani na amefanywa kwa mavumbi;+ mtu wa pili ni wa kutoka mbinguni.+ 48 Kama alivyo yule aliyefanywa kwa mavumbi,+ ndivyo walivyo pia wale waliofanywa kwa mavumbi; na kama alivyo yule wa mbinguni,+ ndivyo walivyo pia wale wa mbinguni.+ 49 Na kama vile ambavyo tumeuchukua mfano+ wa yeye aliyefanywa kwa mavumbi, vivyo hivyo pia tutauchukua mfano+ wa yule wa mbinguni.

50 Hata hivyo, hili nasema, akina ndugu, kwamba nyama na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mungu,+ wala uharibifu haurithi kutoweza kuharibika.+ 51 Tazama! Nawaambia ninyi siri takatifu: Hatutalala usingizi katika kifo sisi sote, bali sisi sote tutabadilishwa,+ 52 kwa muda mfupi, kufumba na kufumbua jicho, wakati wa tarumbeta ya mwisho. Kwa maana tarumbeta+ italia, na wafu watafufuliwa wakiwa wasioweza kuharibika, nasi tutabadilishwa. 53 Kwa maana huu ulio wa kuharibika lazima uvae kutoweza kuharibika,+ na huu unaoweza kufa+ lazima uvae kutoweza kufa. 54 Lakini huu ulio wenye kuharibika utakapovaa kutoweza kuharibika na huu unaoweza kufa utakapovaa kutoweza kufa, ndipo litakapotimia hili neno lililoandikwa: “Kifo+ kimemezwa milele.”+ 55 “Kifo, uko wapi ushindi wako? Kifo, uko wapi mchomo wako?”+ 56 Mchomo+ unaotokeza kifo ni dhambi, lakini nguvu za dhambi ni Sheria.+ 57 Lakini shukrani kwake Mungu, kwa maana yeye hutupa sisi ushindi kupitia Bwana wetu Yesu Kristo!+

58 Kwa hiyo, ndugu zangu wapendwa, iweni imara,+ thabiti, sikuzote mkiwa na mengi ya kufanya katika kazi ya Bwana,+ mkijua kwamba kazi yenu si ya bure+ kuhusiana na Bwana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki