Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 19
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Samweli 19:1

Marejeo

  • +1Sa 18:9; Met 27:4; Yak 1:20

1 Samweli 19:2

Marejeo

  • +1Sa 18:1; Met 18:24
  • +Met 22:3; 27:12

1 Samweli 19:3

Marejeo

  • +1Sa 20:9, 13; Met 17:17

1 Samweli 19:4

Marejeo

  • +1Sa 20:32; 22:14; Met 31:9
  • +Mwa 42:22; 2Nya 6:23; 1Yo 3:15
  • +Zb 35:12; 109:5; Met 17:13; Yer 18:20

1 Samweli 19:5

Marejeo

  • +Amu 9:17; 12:3; 1Sa 28:21; Zb 119:109; Mdo 20:24; Flp 2:30
  • +1Sa 17:49
  • +Kut 14:13; 1Sa 11:13; 14:45; 1Nya 11:14
  • +1Sa 20:32; Yer 26:15; Mt 27:4
  • +Zb 69:4; Yoh 15:25

1 Samweli 19:6

Marejeo

  • +Kum 6:13; 1Sa 14:39; Yer 10:10

1 Samweli 19:7

Marejeo

  • +1Sa 16:21; 18:2, 13

1 Samweli 19:8

Marejeo

  • +Kum 7:2; Zb 27:3
  • +Law 26:7

1 Samweli 19:9

Marejeo

  • +1Sa 16:14; 18:10; Ayu 34:12; Ebr 3:12

1 Samweli 19:10

Marejeo

  • +1Sa 18:11; 19:6; Zb 5:6; Mhu 4:13
  • +Zb 18:17; 34:19; Isa 54:17
  • +Zb 18:2, 48; 59:16; 124:7; Mt 10:23

1 Samweli 19:11

Marejeo

  • +Zb 59:utangulizi; 59:3
  • +Amu 16:2

1 Samweli 19:12

Marejeo

  • +Yos 2:15; Mdo 9:25; 2Ko 11:33

1 Samweli 19:13

Marejeo

  • +Mwa 31:19, 30; Amu 17:5; 1Sa 15:23; 2Fa 23:24; Ho. 3:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    6/1/2004, uku. 29

  • Fahirishi ya Machapisho

    w04 6/1 29

1 Samweli 19:14

Marejeo

  • +Yos 2:5; Mt 10:16

1 Samweli 19:15

Marejeo

  • +1Sa 18:9; Zb 37:12; Met 27:4

1 Samweli 19:17

Marejeo

  • +1Sa 28:12
  • +1Sa 18:29

1 Samweli 19:18

Marejeo

  • +Zb 144:2
  • +1Sa 7:17; Met 17:17
  • +1Sa 20:1

1 Samweli 19:20

Marejeo

  • +Hes 11:25; Yoe 2:28
  • +1Sa 10:5, 6, 10

1 Samweli 19:22

Marejeo

  • +1Sa 19:18

1 Samweli 19:23

Marejeo

  • +1Sa 19:20

1 Samweli 19:24

Marejeo

  • +Isa 20:2; Mik 1:8
  • +1Sa 10:11

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Sam. 19:11Sa 18:9; Met 27:4; Yak 1:20
1 Sam. 19:21Sa 18:1; Met 18:24
1 Sam. 19:2Met 22:3; 27:12
1 Sam. 19:31Sa 20:9, 13; Met 17:17
1 Sam. 19:41Sa 20:32; 22:14; Met 31:9
1 Sam. 19:4Mwa 42:22; 2Nya 6:23; 1Yo 3:15
1 Sam. 19:4Zb 35:12; 109:5; Met 17:13; Yer 18:20
1 Sam. 19:5Amu 9:17; 12:3; 1Sa 28:21; Zb 119:109; Mdo 20:24; Flp 2:30
1 Sam. 19:51Sa 17:49
1 Sam. 19:5Kut 14:13; 1Sa 11:13; 14:45; 1Nya 11:14
1 Sam. 19:51Sa 20:32; Yer 26:15; Mt 27:4
1 Sam. 19:5Zb 69:4; Yoh 15:25
1 Sam. 19:6Kum 6:13; 1Sa 14:39; Yer 10:10
1 Sam. 19:71Sa 16:21; 18:2, 13
1 Sam. 19:8Kum 7:2; Zb 27:3
1 Sam. 19:8Law 26:7
1 Sam. 19:91Sa 16:14; 18:10; Ayu 34:12; Ebr 3:12
1 Sam. 19:101Sa 18:11; 19:6; Zb 5:6; Mhu 4:13
1 Sam. 19:10Zb 18:17; 34:19; Isa 54:17
1 Sam. 19:10Zb 18:2, 48; 59:16; 124:7; Mt 10:23
1 Sam. 19:11Zb 59:utangulizi; 59:3
1 Sam. 19:11Amu 16:2
1 Sam. 19:12Yos 2:15; Mdo 9:25; 2Ko 11:33
1 Sam. 19:13Mwa 31:19, 30; Amu 17:5; 1Sa 15:23; 2Fa 23:24; Ho. 3:4
1 Sam. 19:14Yos 2:5; Mt 10:16
1 Sam. 19:151Sa 18:9; Zb 37:12; Met 27:4
1 Sam. 19:171Sa 28:12
1 Sam. 19:171Sa 18:29
1 Sam. 19:18Zb 144:2
1 Sam. 19:181Sa 7:17; Met 17:17
1 Sam. 19:181Sa 20:1
1 Sam. 19:20Hes 11:25; Yoe 2:28
1 Sam. 19:201Sa 10:5, 6, 10
1 Sam. 19:221Sa 19:18
1 Sam. 19:231Sa 19:20
1 Sam. 19:24Isa 20:2; Mik 1:8
1 Sam. 19:241Sa 10:11
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Samweli 19:1-24

1 Samweli

19 Mwishowe Sauli akamwambia Yonathani mwana wake na watumishi wake wote habari za kumuua Daudi.+ 2 Lakini Yonathani mwana wa Sauli alipendezwa sana na Daudi.+ Kwa hiyo Yonathani akamwambia Daudi, akisema: “Sauli baba yangu anatafuta kukuua. Basi sasa jilinde, tafadhali, wakati wa asubuhi, nawe ukae mahali pa siri na ujifiche.+ 3 Nami, kwa upande wangu, nitatoka na kusimama kando ya baba yangu katika shamba mahali utakapokuwa, nami nitasema na baba yangu kwa ajili yako, kisha nitaona litakalofanyika, nami hakika nitakuambia.”+

4 Basi Yonathani akasema vema+ kumhusu Daudi kwa Sauli baba yake na kumwambia: “Mfalme asitende dhambi+ juu ya Daudi mtumishi wake, kwa maana yeye hakutenda dhambi kwako wewe na kazi zake zimekuwa nzuri sana kwako wewe.+ 5 Naye alitia nafsi yake mkononi mwake,+ na kumpiga yule Mfilisti,+ hivi kwamba Yehova akatimiza wokovu+ mkubwa kwa ajili ya Israeli wote. Wewe uliona jambo hilo, ukaanza kushangilia. Basi kwa nini utende dhambi juu ya damu isiyo na hatia kwa kumfanya Daudi auawe+ bila sababu?”+ 6 Ndipo Sauli akaitii sauti ya Yonathani, na Sauli akaapa: “Kama Yehova anavyoishi,+ yeye hatauawa.” 7 Baadaye Yonathani akamwita Daudi na Yonathani akamwambia maneno hayo yote. Kisha Yonathani akampeleka Daudi kwa Sauli, naye akaendelea kuwa mbele yake kama hapo mwanzoni.+

8 Baada ya muda, vita vikatokea tena; na Daudi akafanya mashambulizi na kupigana na Wafilisti, akawapiga kwa mauaji makubwa,+ wakakimbia kutoka mbele yake.+

9 Na roho mbaya+ ya Yehova ikaja juu ya Sauli alipokuwa ameketi nyumbani mwake, mkuki ukiwa mkononi mwake, huku Daudi akipiga muziki kwa mkono wake. 10 Basi Sauli akatafuta kumpigilia Daudi ukutani+ kwa mkuki, lakini akakwepa+ kutoka mbele ya Sauli, hivi kwamba akaupigilia mkuki ule ndani ya ukuta. Naye Daudi akakimbia ili aponyoke usiku huo.+ 11 Baadaye Sauli akatuma wajumbe+ kwa nyumba ya Daudi ili wailinde na kumuua asubuhi;+ lakini Mikali mke wake akamwambia Daudi, akisema: “Usipoiponya nafsi yako usiku wa leo, kesho utakuwa mtu aliyeuawa.” 12 Mara moja Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, ili aende, akimbie na kuponyoka.+ 13 Ndipo Mikali akachukua sanamu ya terafimu+ na kuiweka kwenye kitanda, akaweka wavu wa manyoya ya mbuzi penye kichwa chake, kisha akaifunika kwa vazi.

14 Basi Sauli akatuma wajumbe wamchukue Daudi, lakini mke wake akasema: “Ni mgonjwa.”+ 15 Kwa hiyo Sauli akatuma hao wajumbe wamwone Daudi, akisema: “Mleteni kwangu akiwa katika hicho kitanda chake, nimuue.”+ 16 Wajumbe hao walipoingia, na tazama, kulikuwa na ile sanamu ya terafimu kitandani na wavu wa manyoya ya mbuzi mahali pa kichwa chake. 17 Kwa hiyo Sauli akamwambia Mikali: “Kwa nini ulinidanganya+ hivi, hata ukamwacha adui yangu+ aende zake, aponyoke?” Naye Mikali akamwambia Sauli: “Yeye mwenyewe aliniambia, ‘Niache niende! Kwa nini nikuue?’”

18 Na Daudi akakimbia, akaponyoka,+ akaenda kwa Samweli huko Rama.+ Naye akamwambia mambo yote ambayo Sauli alikuwa amemfanyia. Ndipo yeye na Samweli wakaenda zao, wakaanza kukaa katika Naiothi.+ 19 Mwishowe habari ikamfikia Sauli, ikisema: “Tazama! Daudi yuko huko Naiothi katika Rama.” 20 Mara moja Sauli akatuma wajumbe wamkamate Daudi. Nao walipowaona walio wazee kati ya manabii wakitoa unabii, na Samweli akiwa amesimama katika cheo chake juu yao, roho+ ya Mungu ikaja juu ya wale wajumbe wa Sauli, nao pia wakaanza kutenda kama manabii.+

21 Walipomwambia Sauli habari hizo, mara moja akatuma wajumbe wengine, nao pia wakaanza kutenda kama manabii. Basi Sauli akatuma tena wajumbe wengine, kikundi cha tatu, nao pia wakaanza kutenda kama manabii. 22 Mwishowe yeye pia akaenda Rama. Alipofika kwenye tangi kubwa la maji lililo katika Seku, akaanza kuuliza na kusema: “Samweli na Daudi wako wapi?” Nao wakasema: “Wako Naiothi+ katika Rama.” 23 Naye akaendelea na safari yake kutoka hapo mpaka Naiothi katika Rama, na roho+ ya Mungu ikaja juu yake, ndiyo, juu yake, naye akaendelea kutembea na kutenda kama nabii mpaka alipoingia Naiothi katika Rama. 24 Naye pia akavua mavazi yake na kutenda, yeye pia, kama nabii mbele ya Samweli, akalala ameanguka chini akiwa uchi mchana huo wote na usiku huo wote.+ Hiyo ndiyo sababu walianza kusema: “Je, Sauli pia yumo kati ya manabii?”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki