Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 1
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati—Yaliyomo

      • Kuondoka Mlima Horebu (1-8)

      • Wakuu na waamuzi wawekwa (9-18)

      • Watu wakosa kutii kule Kadesh-barnea (19-46)

        • Waisraeli wakataa kuingia katika ile nchi (26-33)

        • Washindwa kuteka Kanaani (41-46)

Kumbukumbu la Torati 1:2

Marejeo

  • +Kum 9:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2004, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w04 9/15 25

Kumbukumbu la Torati 1:3

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “wana wa Israeli.”

Marejeo

  • +Hes 32:13; 33:38

Kumbukumbu la Torati 1:4

Marejeo

  • +Hes 21:23, 24; Yos 12:1, 2
  • +Hes 21:33-35
  • +Yos 13:8, 12

Kumbukumbu la Torati 1:5

Marejeo

  • +Kum 4:8; 17:18; Ne 8:7

Kumbukumbu la Torati 1:6

Marejeo

  • +Kut 19:1; Hes 10:11, 12

Kumbukumbu la Torati 1:7

Maelezo ya Chini

  • *

    Inaonekana ni safu ya milima ya Lebanoni.

Marejeo

  • +Mwa 15:16
  • +Yos 12:2, 3
  • +Yos 9:1, 2
  • +Yos 13:1, 5; 1Fa 9:19
  • +Mwa 15:18

Kumbukumbu la Torati 1:8

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “mbegu yao.”

Marejeo

  • +Mwa 26:3
  • +Mwa 28:13
  • +Mwa 12:7; 13:14, 15; 17:1, 7

Kumbukumbu la Torati 1:9

Marejeo

  • +Kut 18:17, 18

Kumbukumbu la Torati 1:10

Marejeo

  • +Mwa 15:1, 5; Kut 32:13; Hes 26:51; Kum 10:22

Kumbukumbu la Torati 1:11

Marejeo

  • +1Fa 3:8
  • +Mwa 12:1-3; 22:15, 17; 26:3, 4; Kut 23:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/1988, kur. 18-19

Kumbukumbu la Torati 1:12

Marejeo

  • +Kut 18:17, 18; Hes 11:11; 20:3

Kumbukumbu la Torati 1:13

Marejeo

  • +Kut 18:21

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/2000, uku. 32

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 10/1 32

Kumbukumbu la Torati 1:15

Marejeo

  • +Kut 18:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/15/2007, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 3/15 20

Kumbukumbu la Torati 1:16

Marejeo

  • +Kut 23:8; Kum 16:18; Yoh 7:24
  • +Kut 22:21; Law 19:34; 24:22

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1992, uku. 17

Kumbukumbu la Torati 1:17

Marejeo

  • +Law 19:15; Ro 2:11
  • +Kut 23:3
  • +Met 29:25
  • +2Nya 19:6
  • +Kut 18:25, 26

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2004, uku. 25

    7/1/1992, uku. 17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w04 9/15 25

Kumbukumbu la Torati 1:19

Marejeo

  • +Hes 10:12; Kum 8:14, 15; Yer 2:6
  • +Hes 13:29
  • +Hes 13:26

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    ‘Nchi Nzuri’, kur. 8-9

    “Kila Andiko,” uku. 31

  • Fahirishi ya Machapisho

    gl 8-9

Kumbukumbu la Torati 1:21

Marejeo

  • +Kut 23:27; Kum 1:8

Kumbukumbu la Torati 1:22

Marejeo

  • +Hes 13:1, 2

Kumbukumbu la Torati 1:23

Marejeo

  • +Hes 13:3

Kumbukumbu la Torati 1:24

Marejeo

  • +Hes 13:17

Kumbukumbu la Torati 1:25

Marejeo

  • +Hes 13:23-27

Kumbukumbu la Torati 1:26

Marejeo

  • +Hes 14:1-4

Kumbukumbu la Torati 1:28

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “walifanya moyo wetu uyeyuke.”

  • *

    Yaani, yana kuta ndefu sana.

Marejeo

  • +Hes 32:9; Yos 14:7, 8
  • +Hes 13:28, 33
  • +Hes 13:22; Yos 11:21

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/2013, uku. 11

Kumbukumbu la Torati 1:29

Marejeo

  • +Hes 14:9

Kumbukumbu la Torati 1:30

Marejeo

  • +Kut 14:14; Yos 10:42
  • +Hes 14:22

Kumbukumbu la Torati 1:32

Marejeo

  • +Zb 78:22; 106:24; Ebr 3:16, 19; Yud 5

Kumbukumbu la Torati 1:33

Marejeo

  • +Kut 13:21; 40:36; Hes 10:33, 34; Zb 78:14

Kumbukumbu la Torati 1:34

Marejeo

  • +Hes 14:28, 35; 32:10-12; Kum 2:14; Zb 95:11; Ebr 3:11

Kumbukumbu la Torati 1:35

Marejeo

  • +Hes 14:29, 35; 1Ko 10:1, 5; Ebr 3:17

Kumbukumbu la Torati 1:36

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “kikamilifu; kabisa.”

Marejeo

  • +Hes 14:24; Yos 14:9

Kumbukumbu la Torati 1:37

Marejeo

  • +Hes 20:12; 27:13, 14; Kum 3:26; Zb 106:32

Kumbukumbu la Torati 1:38

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “anayesimama mbele yako.”

  • *

    Au labda, “Mungu amemwimarisha.”

Marejeo

  • +Kut 33:11; Hes 11:28
  • +Hes 14:38
  • +Hes 27:18; Kum 31:7; Yos 1:6, 9

Kumbukumbu la Torati 1:39

Marejeo

  • +Hes 14:3
  • +Hes 14:30, 31

Kumbukumbu la Torati 1:40

Marejeo

  • +Hes 14:25

Kumbukumbu la Torati 1:41

Marejeo

  • +Hes 14:39-45

Kumbukumbu la Torati 1:42

Marejeo

  • +Law 26:14, 17

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 1:2Kum 9:23
Kum. 1:3Hes 32:13; 33:38
Kum. 1:4Hes 21:23, 24; Yos 12:1, 2
Kum. 1:4Hes 21:33-35
Kum. 1:4Yos 13:8, 12
Kum. 1:5Kum 4:8; 17:18; Ne 8:7
Kum. 1:6Kut 19:1; Hes 10:11, 12
Kum. 1:7Yos 13:1, 5; 1Fa 9:19
Kum. 1:7Mwa 15:18
Kum. 1:7Mwa 15:16
Kum. 1:7Yos 12:2, 3
Kum. 1:7Yos 9:1, 2
Kum. 1:8Mwa 26:3
Kum. 1:8Mwa 28:13
Kum. 1:8Mwa 12:7; 13:14, 15; 17:1, 7
Kum. 1:9Kut 18:17, 18
Kum. 1:10Mwa 15:1, 5; Kut 32:13; Hes 26:51; Kum 10:22
Kum. 1:111Fa 3:8
Kum. 1:11Mwa 12:1-3; 22:15, 17; 26:3, 4; Kut 23:25
Kum. 1:12Kut 18:17, 18; Hes 11:11; 20:3
Kum. 1:13Kut 18:21
Kum. 1:15Kut 18:25
Kum. 1:16Kut 23:8; Kum 16:18; Yoh 7:24
Kum. 1:16Kut 22:21; Law 19:34; 24:22
Kum. 1:17Law 19:15; Ro 2:11
Kum. 1:17Kut 23:3
Kum. 1:17Met 29:25
Kum. 1:172Nya 19:6
Kum. 1:17Kut 18:25, 26
Kum. 1:19Hes 10:12; Kum 8:14, 15; Yer 2:6
Kum. 1:19Hes 13:29
Kum. 1:19Hes 13:26
Kum. 1:21Kut 23:27; Kum 1:8
Kum. 1:22Hes 13:1, 2
Kum. 1:23Hes 13:3
Kum. 1:24Hes 13:17
Kum. 1:25Hes 13:23-27
Kum. 1:26Hes 14:1-4
Kum. 1:28Hes 32:9; Yos 14:7, 8
Kum. 1:28Hes 13:28, 33
Kum. 1:28Hes 13:22; Yos 11:21
Kum. 1:29Hes 14:9
Kum. 1:30Kut 14:14; Yos 10:42
Kum. 1:30Hes 14:22
Kum. 1:32Zb 78:22; 106:24; Ebr 3:16, 19; Yud 5
Kum. 1:33Kut 13:21; 40:36; Hes 10:33, 34; Zb 78:14
Kum. 1:34Hes 14:28, 35; 32:10-12; Kum 2:14; Zb 95:11; Ebr 3:11
Kum. 1:35Hes 14:29, 35; 1Ko 10:1, 5; Ebr 3:17
Kum. 1:36Hes 14:24; Yos 14:9
Kum. 1:37Hes 20:12; 27:13, 14; Kum 3:26; Zb 106:32
Kum. 1:38Kut 33:11; Hes 11:28
Kum. 1:38Hes 14:38
Kum. 1:38Hes 27:18; Kum 31:7; Yos 1:6, 9
Kum. 1:39Hes 14:3
Kum. 1:39Hes 14:30, 31
Kum. 1:40Hes 14:25
Kum. 1:41Hes 14:39-45
Kum. 1:42Law 26:14, 17
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 1:1-46

Kumbukumbu la Torati

1 Haya ndiyo maneno ambayo Musa aliwaambia Waisraeli wote walipokuwa nyikani katika eneo la Yordani, katika jangwa tambarare mbele ya Sufi, kati ya Parani, Tofeli, Labani, Haserothi, na Dizahabu. 2 Ni safari ya siku 11 kutoka Horebu mpaka Kadesh-barnea+ kupitia njia ya Mlima Seiri. 3 Katika mwaka wa 40,+ mwezi wa 11, siku ya kwanza ya mwezi huo, Musa aliwaambia Waisraeli* mambo yote ambayo Yehova alimwagiza awaambie. 4 Alifanya hivyo baada ya kumshinda Sihoni+ mfalme wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni, na Ogu+ mfalme wa Bashani, aliyekuwa akikaa Ashtarothi, kule Edrei.+ 5 Katika eneo la Yordani nchini Moabu, Musa alianza kuifafanua Sheria+ akisema:

6 “Yehova Mungu wetu alituambia hivi kule Horebu: ‘Mmekaa muda wa kutosha katika eneo hili lenye milima.+ 7 Geukeni na kuelekea katika eneo lenye milima la Waamori+ na kwa majirani wao wote kule Araba,+ katika eneo lenye milima, Shefela, Negebu, pwani ya bahari,+ nchi ya Wakanaani, na Lebanoni,*+ hadi kwenye ule mto mkubwa, Mto Efrati.+ 8 Angalieni, nimeweka nchi hii mbele yenu. Ingieni mwimiliki nchi ambayo mimi Yehova niliapa kwamba nitawapa baba zenu, Abrahamu, Isaka,+ na Yakobo,+ wao pamoja na uzao wao* baada yao.’+

9 “Nami niliwaambia ninyi wakati huo, ‘Siwezi kuwabeba peke yangu.+ 10 Yehova Mungu wenu amewafanya mwongezeke, nanyi leo ni wengi kama nyota za mbinguni.+ 11 Yehova Mungu wa mababu zenu na awafanye mwongezeke+ mara elfu moja zaidi ya mlivyo sasa, na awabariki kama alivyowaahidi.+ 12 Mimi peke yangu ninawezaje kuwabeba ninyi ambao ni mzigo pamoja na mizigo yenu na ugomvi wenu?+ 13 Chagueni wanaume wenye hekima, busara, na wenye uzoefu kutoka katika makabila yenu, nami nitawaweka kuwa viongozi wenu.’+ 14 Mkanijibu, ‘Jambo ulilotuambia ni jema.’ 15 Basi nikawachukua viongozi wa makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa viongozi wenu, wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, wakuu wa makumi, na maofisa wa makabila yenu.+

16 “Wakati huo niliwaagiza hivi waamuzi wenu: ‘Mnaposikiliza kesi kati ya ndugu zenu, mnapaswa kuhukumu kwa uadilifu+ kati ya mtu na ndugu yake au mkaaji mgeni.+ 17 Hampaswi kuhukumu kwa upendeleo.+ Mnapaswa kumsikiliza mdogo kama mnavyomsikiliza mkubwa.+ Msiogopeshwe na wanadamu,+ kwa sababu hukumu ni ya Mungu;+ na ikiwa kesi ni ngumu sana kwenu, ileteni kwangu, nami nitaisikiliza.’+ 18 Wakati huo niliwapa maagizo kuhusu mambo yote mnayopaswa kufanya.

19 “Kisha tukaondoka Horebu na kupitia ile nyika yote kubwa na yenye kutisha+ mliyoona njiani kuelekea kwenye eneo lenye milima la Waamori,+ kama Yehova Mungu wetu alivyotuamuru, na mwishowe tukafika Kadesh-barnea.+ 20 Halafu nikawaambia, ‘Mmefika kwenye eneo lenye milima la Waamori, ambalo Yehova Mungu wetu anatupatia. 21 Angalieni, Yehova Mungu wenu amewapa nchi hii. Pandeni, mkaimiliki, kama Yehova, Mungu wa mababu zenu alivyowaambia.+ Msiogope wala msiwe na hofu.’

22 “Hata hivyo, ninyi nyote mlinijia na kusema, ‘Na tutume wanaume watutangulie na kuipeleleza nchi kwa ajili yetu, watuletee habari kuhusu njia tunayopaswa kufuata na ni majiji ya aina gani tutakayoyapata huko.’+ 23 Pendekezo hilo lilionekana zuri kwangu, kwa hiyo nikawachagua wanaume 12 miongoni mwa wanaume wenu, mwanamume mmoja kwa ajili ya kila kabila.+ 24 Wakaondoka na kupanda kwenda kwenye eneo lenye milima,+ wakafika kwenye Bonde la Eshkoli na kuipeleleza nchi. 25 Wakachukua baadhi ya matunda ya nchi hiyo na kutuletea, nao wakatuletea habari hii: ‘Nchi ambayo Yehova Mungu wetu anatupatia ni nzuri.’+ 26 Lakini mlikataa kupanda kwenda huko, nanyi mkaliasi agizo la Yehova Mungu wenu.+ 27 Mliendelea kunung’unika katika mahema yenu na kusema, ‘Yehova alituchukia ndiyo sababu alitutoa katika nchi ya Misri ili atutie mikononi mwa Waamori watuangamize. 28 Tunaenda mahali pa aina gani? Ndugu zetu walituvunja moyo*+ waliposema, “Watu hao wana nguvu zaidi na ni warefu zaidi kuliko sisi, na majiji yao ni makubwa na yana ngome zinazofika mbinguni,*+ na huko tuliwaona wana wa Waanaki.”’+

29 “Kwa hiyo nikawaambia, ‘Msiwe na hofu wala msiogope kwa sababu yao.+ 30 Yehova Mungu wenu atawatangulia na kuwapigania,+ kama alivyofanya kule Misri mbele ya macho yenu wenyewe.+ 31 Nanyi mliona nyikani jinsi Yehova Mungu wenu alivyowabeba kama baba anavyombeba mwana wake, aliwabeba kila mahali mlipoenda mpaka mlipofika mahali hapa.’ 32 Lakini licha ya hayo yote, hamkuwa na imani katika Yehova Mungu wenu,+ 33 aliyekuwa akiwatangulia njiani ili apeleleze mahali mtakapopiga kambi. Alitokea kwa moto wakati wa usiku na kwa wingu wakati wa mchana ili awaonyeshe njia mnayopaswa kufuata.+

34 “Wakati huo wote Yehova alisikia mambo mliyokuwa mkisema, akakasirika na kuapa hivi:+ 35 ‘Hakuna mtu hata mmoja wa kizazi hiki kiovu atakayeona nchi nzuri niliyoapa kwamba nitawapa baba zenu,+ 36 isipokuwa Kalebu mwana wa Yefune. Yeye ataiona, nami nitampa yeye na wanawe nchi hiyo aliyoikanyaga kwa miguu yake, kwa sababu amenifuata mimi Yehova kwa moyo wote.*+ 37 (Yehova alinikasirikia mimi pia kwa sababu yenu, akasema, “Wewe pia hutaingia humo.+ 38 Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wako,*+ ndiye atakayeingia katika nchi hiyo.+ Mwimarishe,*+ kwa maana atawawezesha Waisraeli kuirithi nchi hiyo.”) 39 Isitoshe, watoto wenu ambao mlisema watakuwa nyara+ na wana wenu ambao leo hawajui lililo jema wala baya, hao ndio watakaoingia katika nchi hiyo, nami nitawapa ili waimiliki.+ 40 Lakini ninyi, geukeni na kwenda nyikani kupitia njia ya Bahari Nyekundu.’+

41 “Ndipo mliponiambia, ‘Tumemtendea Yehova dhambi. Sasa tutapanda kwenda kupigana, kama Yehova Mungu wetu alivyotuamuru!’ Basi kila mmoja wenu akajivika silaha zake za vita, nanyi mlifikiri ni rahisi kupanda mlimani.+ 42 Lakini Yehova akaniambia, ‘Waambie, “Msipande kwenda kupigana, kwa sababu sitakuwa pamoja nanyi.+ Mkienda, maadui wenu watawashinda.”’ 43 Basi nikaongea nanyi, lakini hamkusikiliza. Badala yake, mliasi agizo la Yehova na kujaribu kwa kimbelembele kupanda mlimani. 44 Kisha Waamori waliokuwa wakikaa kwenye mlima huo wakatoka ili kuwashambulia, wakawakimbiza kama nyuki wanavyofanya na kuwatawanya kuanzia Seiri mpaka Horma. 45 Basi mkarudi na kuanza kumlilia Yehova, lakini Yehova hakuwasikiliza wala kuwakazia uangalifu. 46 Ndiyo sababu mliendelea kukaa Kadeshi kwa muda wote mliokaa huko.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki