Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 4
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Kumbukumbu la Torati—Yaliyomo

      • Waagizwa watii (1-14)

        • Msisahau matendo ya Mungu (9)

      • Yehova anataka aabudiwe yeye peke yake (15-31)

      • Hakuna Mungu mwingine ila Yehova (32-40)

      • Majiji ya makimbilio upande wa mashariki wa Yordani (41-43)

      • Wapewa Sheria (44-49)

Kumbukumbu la Torati 4:1

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “maamuzi ya hukumu ambayo.”

Marejeo

  • +Law 18:5

Kumbukumbu la Torati 4:2

Marejeo

  • +Kum 12:32; Met 30:5, 6; Ufu 22:18, 19

Kumbukumbu la Torati 4:3

Marejeo

  • +Hes 25:5, 9; Zb 106:28; Ho. 9:10; 1Ko 10:7, 8

Kumbukumbu la Torati 4:5

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “maamuzi ya hukumu.”

Marejeo

  • +Law 26:46; Hes 30:16; 36:13; Kum 6:1

Kumbukumbu la Torati 4:6

Marejeo

  • +1Fa 2:3
  • +Zb 111:10
  • +Zb 119:98, 100
  • +1Fa 4:34; 10:4-7; Da 1:19, 20

Kumbukumbu la Torati 4:7

Marejeo

  • +Kut 25:8; Law 26:12; Kum 5:26; 2Sa 7:23

Kumbukumbu la Torati 4:8

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “maamuzi ya hukumu.”

Marejeo

  • +Zb 147:19, 20

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    6/1/2002, kur. 14-15

    7/1/1992, kur. 11-12

  • Fahirishi ya Machapisho

    w02 6/1 14-15

Kumbukumbu la Torati 4:9

Marejeo

  • +Mwa 18:19; Kum 6:6, 7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    6/1/2006, kur. 29-30

    Shule ya Huduma, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 6/1 29-30; be 20

Kumbukumbu la Torati 4:10

Marejeo

  • +Kut 19:9
  • +Kut 20:20; Kum 5:29
  • +Met 22:6; Efe 6:4

Kumbukumbu la Torati 4:11

Marejeo

  • +Kut 19:18; Ebr 12:18, 19

Kumbukumbu la Torati 4:12

Marejeo

  • +Kum 9:10
  • +Isa 40:18; Yoh 1:18; 4:24
  • +Kut 20:22

Kumbukumbu la Torati 4:13

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “yale Maneno Kumi.”

Marejeo

  • +Kut 19:5; Kum 5:2; 9:9; Ebr 9:19, 20
  • +Kut 20:1; 34:28; Kum 10:4
  • +Kut 24:12; 31:18; 32:19; 34:1

Kumbukumbu la Torati 4:14

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “maamuzi ya hukumu ambayo.”

Kumbukumbu la Torati 4:16

Marejeo

  • +Kut 20:4; Kum 27:15; Isa 40:18; Mdo 17:29; 1Ko 10:14

Kumbukumbu la Torati 4:17

Marejeo

  • +Kum 5:8; Ro 1:22, 23

Kumbukumbu la Torati 4:18

Marejeo

  • +1Sa 5:4

Kumbukumbu la Torati 4:19

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “walio chini ya mbingu.”

Marejeo

  • +Kum 17:2, 3; 2Fa 17:16; Eze 8:16

Kumbukumbu la Torati 4:20

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “urithi wake.”

Marejeo

  • +Kut 19:5

Kumbukumbu la Torati 4:21

Marejeo

  • +Zb 106:32
  • +Hes 20:12; Kum 31:1, 2

Kumbukumbu la Torati 4:22

Marejeo

  • +Kum 3:27

Kumbukumbu la Torati 4:23

Marejeo

  • +Kut 24:3
  • +Kut 20:4

Kumbukumbu la Torati 4:24

Marejeo

  • +Kut 24:17; Kum 9:3; Ebr 12:29
  • +Kut 20:5; 34:14; Hes 25:11; Lu 10:27

Kumbukumbu la Torati 4:25

Marejeo

  • +Amu 18:30; 2Fa 21:1, 7
  • +2Fa 17:16, 17

Kumbukumbu la Torati 4:26

Marejeo

  • +Law 18:24, 28; 26:27, 32

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

Kumbukumbu la Torati 4:27

Marejeo

  • +Kum 28:64; Ne 1:8
  • +Kum 28:62

Kumbukumbu la Torati 4:28

Marejeo

  • +Kum 28:15, 36; Yer 16:13; Eze 20:39

Kumbukumbu la Torati 4:29

Maelezo ya Chini

  • *

    Angalia Kamusi.

Marejeo

  • +2Nya 15:4, 15
  • +Kum 30:1-3, 8-10; 1Fa 8:48, 49; Yer 29:13; Yoe 2:12

Kumbukumbu la Torati 4:30

Marejeo

  • +2Nya 33:13; Ne 1:9

Kumbukumbu la Torati 4:31

Marejeo

  • +Kut 34:6; Kum 30:3; 2Nya 30:9; Ne 9:31; Isa 54:7; 55:7
  • +Law 26:42

Kumbukumbu la Torati 4:32

Marejeo

  • +Zb 44:1

Kumbukumbu la Torati 4:33

Marejeo

  • +Kum 5:26

Kumbukumbu la Torati 4:34

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “majaribu.”

Marejeo

  • +Kut 7:3
  • +Kut 15:3
  • +Kut 13:3
  • +Kum 26:8; Zb 78:43-51

Kumbukumbu la Torati 4:35

Marejeo

  • +Kut 6:7
  • +Kut 15:11; Kum 32:39; 1Sa 2:2; Isa 45:18; Mk 12:32

Kumbukumbu la Torati 4:36

Marejeo

  • +Kut 19:18; 20:22

Kumbukumbu la Torati 4:37

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “mbegu yao.”

Marejeo

  • +Kum 10:15; Zb 105:6

Kumbukumbu la Torati 4:38

Marejeo

  • +Kut 23:28; Kum 7:1; 9:1; Yos 3:10

Kumbukumbu la Torati 4:39

Marejeo

  • +2Nya 20:6
  • +Isa 44:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Furahia Maisha Milele!, somo la 4

Kumbukumbu la Torati 4:40

Marejeo

  • +Mwa 48:3, 4

Kumbukumbu la Torati 4:41

Marejeo

  • +Hes 35:14

Kumbukumbu la Torati 4:42

Marejeo

  • +Hes 35:22-24
  • +Hes 35:11, 25; Kum 19:4, 5

Kumbukumbu la Torati 4:43

Marejeo

  • +Yos 21:8, 36
  • +Yos 21:8, 38
  • +Yos 21:27
  • +Yos 20:8, 9

Kumbukumbu la Torati 4:44

Marejeo

  • +Kum 17:18; 27:2, 3; Gal 3:24

Kumbukumbu la Torati 4:45

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “maamuzi ya hukumu ambayo.”

Marejeo

  • +Law 26:46; Kum 4:1

Kumbukumbu la Torati 4:46

Marejeo

  • +Kum 1:5; 3:29
  • +Hes 21:26
  • +Hes 21:23, 24

Kumbukumbu la Torati 4:47

Marejeo

  • +Hes 21:33; Kum 3:4

Kumbukumbu la Torati 4:48

Marejeo

  • +Kum 2:36; 3:12
  • +Kum 3:8, 9

Kumbukumbu la Torati 4:49

Maelezo ya Chini

  • *

    Yaani, Bahari ya Chumvi.

Marejeo

  • +Kum 3:16, 17; 34:1

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Kum. 4:1Law 18:5
Kum. 4:2Kum 12:32; Met 30:5, 6; Ufu 22:18, 19
Kum. 4:3Hes 25:5, 9; Zb 106:28; Ho. 9:10; 1Ko 10:7, 8
Kum. 4:5Law 26:46; Hes 30:16; 36:13; Kum 6:1
Kum. 4:61Fa 2:3
Kum. 4:6Zb 111:10
Kum. 4:6Zb 119:98, 100
Kum. 4:61Fa 4:34; 10:4-7; Da 1:19, 20
Kum. 4:7Kut 25:8; Law 26:12; Kum 5:26; 2Sa 7:23
Kum. 4:8Zb 147:19, 20
Kum. 4:9Mwa 18:19; Kum 6:6, 7
Kum. 4:10Kut 19:9
Kum. 4:10Kut 20:20; Kum 5:29
Kum. 4:10Met 22:6; Efe 6:4
Kum. 4:11Kut 19:18; Ebr 12:18, 19
Kum. 4:12Kum 9:10
Kum. 4:12Isa 40:18; Yoh 1:18; 4:24
Kum. 4:12Kut 20:22
Kum. 4:13Kut 19:5; Kum 5:2; 9:9; Ebr 9:19, 20
Kum. 4:13Kut 20:1; 34:28; Kum 10:4
Kum. 4:13Kut 24:12; 31:18; 32:19; 34:1
Kum. 4:16Kut 20:4; Kum 27:15; Isa 40:18; Mdo 17:29; 1Ko 10:14
Kum. 4:17Kum 5:8; Ro 1:22, 23
Kum. 4:181Sa 5:4
Kum. 4:19Kum 17:2, 3; 2Fa 17:16; Eze 8:16
Kum. 4:20Kut 19:5
Kum. 4:21Zb 106:32
Kum. 4:21Hes 20:12; Kum 31:1, 2
Kum. 4:22Kum 3:27
Kum. 4:23Kut 24:3
Kum. 4:23Kut 20:4
Kum. 4:24Kut 24:17; Kum 9:3; Ebr 12:29
Kum. 4:24Kut 20:5; 34:14; Hes 25:11; Lu 10:27
Kum. 4:25Amu 18:30; 2Fa 21:1, 7
Kum. 4:252Fa 17:16, 17
Kum. 4:26Law 18:24, 28; 26:27, 32
Kum. 4:27Kum 28:64; Ne 1:8
Kum. 4:27Kum 28:62
Kum. 4:28Kum 28:15, 36; Yer 16:13; Eze 20:39
Kum. 4:292Nya 15:4, 15
Kum. 4:29Kum 30:1-3, 8-10; 1Fa 8:48, 49; Yer 29:13; Yoe 2:12
Kum. 4:302Nya 33:13; Ne 1:9
Kum. 4:31Kut 34:6; Kum 30:3; 2Nya 30:9; Ne 9:31; Isa 54:7; 55:7
Kum. 4:31Law 26:42
Kum. 4:32Zb 44:1
Kum. 4:33Kum 5:26
Kum. 4:34Kut 7:3
Kum. 4:34Kut 15:3
Kum. 4:34Kut 13:3
Kum. 4:34Kum 26:8; Zb 78:43-51
Kum. 4:35Kut 6:7
Kum. 4:35Kut 15:11; Kum 32:39; 1Sa 2:2; Isa 45:18; Mk 12:32
Kum. 4:36Kut 19:18; 20:22
Kum. 4:37Kum 10:15; Zb 105:6
Kum. 4:38Kut 23:28; Kum 7:1; 9:1; Yos 3:10
Kum. 4:392Nya 20:6
Kum. 4:39Isa 44:6
Kum. 4:40Mwa 48:3, 4
Kum. 4:41Hes 35:14
Kum. 4:42Hes 35:22-24
Kum. 4:42Hes 35:11, 25; Kum 19:4, 5
Kum. 4:43Yos 21:8, 36
Kum. 4:43Yos 21:8, 38
Kum. 4:43Yos 21:27
Kum. 4:43Yos 20:8, 9
Kum. 4:44Kum 17:18; 27:2, 3; Gal 3:24
Kum. 4:45Law 26:46; Kum 4:1
Kum. 4:46Kum 1:5; 3:29
Kum. 4:46Hes 21:26
Kum. 4:46Hes 21:23, 24
Kum. 4:47Hes 21:33; Kum 3:4
Kum. 4:48Kum 2:36; 3:12
Kum. 4:48Kum 3:8, 9
Kum. 4:49Kum 3:16, 17; 34:1
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Kumbukumbu la Torati 4:1-49

Kumbukumbu la Torati

4 “Sasa, enyi Waisraeli, sikilizeni masharti na sheria ambazo* ninawafundisha kushika, ili mwishi+ na kuingia kuimiliki nchi ambayo Yehova, Mungu wa mababu zenu, anawapa ninyi. 2 Hampaswi kuongeza jambo lolote kwenye neno ninalowaamuru, wala kuondoa jambo lolote kutoka katika neno hilo,+ ili mzishike amri za Yehova Mungu wenu ninazowaamuru ninyi.

3 “Macho yenu wenyewe yameona mambo ambayo Yehova alitenda kuhusiana na kisa cha Baali wa Peori; Yehova Mungu wenu alimwangamiza kila mtu miongoni mwenu aliyemfuata Baali wa Peori.+ 4 Lakini ninyi mnaoshikamana kabisa na Yehova Mungu wenu, nyote mko hai leo. 5 Tazameni, nimewafundisha masharti na sheria,*+ kama nilivyoamriwa na Yehova Mungu wangu, ili mzishike katika nchi mtakayomiliki. 6 Ni lazima mzifuate kwa uangalifu,+ kwa sababu watu watakaosikia kuhusu masharti haya yote wataona kwamba mna hekima+ na uelewaji,+ nao watasema, ‘Kwa hakika watu wa taifa hili kubwa wana hekima na uelewaji.’+ 7 Kwa maana ni taifa gani kubwa ambalo miungu yake iko karibu nalo kama Yehova Mungu wetu alivyo karibu nasi wakati wowote tunapomlilia?+ 8 Na ni taifa gani kubwa ambalo lina masharti ya uadilifu na sheria* kama Sheria hii yote ninayoweka mbele yenu leo?+

9 “Ila tu muwe waangalifu na kujihadhari sana, ili msisahau mambo ambayo macho yenu yameona na ili yasiondoke moyoni mwenu siku zote za maisha yenu. Ni lazima pia muwaambie wana wenu na wajukuu wenu.+ 10 Siku ambayo mlisimama mbele za Yehova Mungu wenu kule Horebu, Yehova aliniambia, ‘Wakusanye watu mbele zangu ili niwafanye wasikie maneno yangu,+ ili wajifunze kuniogopa+ siku zote ambazo watakuwa hai juu ya ardhi na ili wawafundishe wana wao.’+

11 “Basi mlikaribia na kusimama chini ya mlima, na mlima huo ulikuwa ukiwaka moto uliofika mpaka mbinguni; kulikuwa na giza, wingu, na utusitusi mzito.+ 12 Yehova akaanza kuzungumza nanyi kutoka katika moto.+ Mlisikia maneno, lakini hamkuona umbo lolote+—kulikuwa na sauti tu.+ 13 Naye akawatangazia agano lake,+ alilowaamuru mshike—zile Amri Kumi.*+ Kisha akaziandika kwenye mabamba mawili ya mawe.+ 14 Wakati huo, Yehova aliniamuru niwafundishe masharti na sheria ambazo * mnapaswa kushika katika nchi mtakayoingia kuimiliki.

15 “Kwa hiyo, jihadharini sana—kwa sababu hamkuona umbo lolote siku ambayo Yehova alizungumza nanyi kule Horebu kutoka katikati ya moto— 16 ili msitende upotovu kwa kujitengenezea sanamu ya kuchongwa yenye umbo la mfano wowote, mfano wa mwanamume au mwanamke,+ 17 mfano wa mnyama yeyote duniani au mfano wa ndege yeyote anayeruka angani,+ 18 mfano wa kitu chochote kinachotambaa ardhini au mfano wa samaki yeyote aliye ndani ya maji chini ya dunia.+ 19 Nanyi mnapoinua macho yenu kutazama mbinguni na kuona jua na mwezi na nyota—jeshi lote la mbinguni—msishawishiwe kuviinamia na kuviabudu.+ Yehova Mungu wenu amewapa watu wote duniani* vitu hivyo. 20 Lakini ninyi ndio watu ambao Yehova aliwatoa katika tanuru la kuyeyushia chuma, kutoka Misri, ili muwe watu ambao ni mali yake*+ mwenyewe, kama mlivyo leo.

21 “Yehova alinikasirikia kwa sababu yenu,+ akaapa kwamba sipaswi kuvuka Yordani au kuingia katika nchi nzuri ambayo Yehova Mungu wenu anawapa iwe urithi wenu.+ 22 Kwa maana nitakufa katika nchi hii; sitavuka Yordani,+ lakini ninyi mtavuka na kuimiliki nchi hiyo nzuri. 23 Iweni waangalifu msisahau agano la Yehova Mungu wenu ambalo alifanya pamoja nanyi,+ na msijitengenezee sanamu ya kuchongwa, umbo la kitu chochote mlichokatazwa na Yehova Mungu wenu.+ 24 Kwa maana Yehova Mungu wenu ni moto unaoteketeza,+ Mungu anayetaka watu wamwabudu yeye peke yake.+

25 “Ikiwa mtazaa wana na wajukuu na kuishi kwa muda mrefu nchini nanyi mtende upotovu na kutengeneza sanamu ya kuchongwa+ ya aina yoyote na kutenda uovu machoni pa Yehova Mungu wenu na hivyo kumkasirisha,+ 26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+ 27 Yehova atawatawanya miongoni mwa mataifa,+ na ni watu wachache tu kati yenu watakaookoka+ miongoni mwa mataifa ambayo Yehova atawafukuza ninyi mwende miongoni mwao. 28 Huko mtalazimika kuiabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu,+ miungu ambayo haiwezi kuona wala kusikia wala kula wala kunusa.

29 “Mkimtafuta Yehova Mungu wenu mkiwa huko, hakika mtampata,+ naam, mkiutafuta ushauri wake kwa moyo wenu wote na kwa nafsi* yenu yote.+ 30 Baadaye mtakapokuwa mkiteseka sana na mambo hayo yote yatakapokuwa yamewapata, ndipo mtakapomrudia Yehova Mungu wenu na kuisikiliza sauti yake.+ 31 Kwa maana Yehova Mungu wenu ni Mungu mwenye rehema.+ Hatawaacha wala kuwaangamiza wala kusahau agano alilowaapia mababu zenu.+

32 “Sasa, ulizeni kuhusu siku za zamani kabla ya ninyi kuwepo, tangu siku ambayo Mungu alimuumba mwanadamu duniani; tafuteni kuanzia mwisho mmoja wa mbingu mpaka mwisho mwingine wa mbingu. Je, kuna jambo lolote kubwa kama hili ambalo limewahi kutokea au kuna jambo lolote kama hili ambalo limewahi kusikiwa?+ 33 Je, kuna taifa lingine lolote ambalo limewahi kusikia sauti ya Mungu ikisema kutoka katika moto kama ninyi mlivyosikia na kuendelea kuishi?+ 34 Au je, Mungu amewahi kujaribu kujichukulia taifa kutoka kati ya taifa lingine kwa hukumu,* kwa ishara, kwa miujiza,+ kwa vita,+ kwa mkono wenye nguvu,+ kwa mkono ulionyooshwa, na kwa matendo ya kutisha,+ kama Yehova Mungu wenu alivyowafanyia kule Misri mbele ya macho yenu wenyewe? 35 Ninyi wenyewe mmeonyeshwa mambo hayo ili mjue kwamba Yehova ndiye Mungu wa kweli;+ hakuna mwingine isipokuwa yeye.+ 36 Aliwawezesha kusikia sauti yake kutoka mbinguni ili awarekebishe, na duniani aliwawezesha kuona moto wake mkubwa, na maneno yake mliyasikia kutoka katika moto.+

37 “Kwa sababu aliwapenda mababu zenu na amechagua uzao wao* baada yao,+ naye aliwatoa Misri kwa nguvu zake kuu mbele ya macho yake. 38 Naye aliyafukuza kutoka mbele yenu mataifa makubwa zaidi na yenye nguvu zaidi kuliko ninyi, ili awalete ninyi katika nchi yao na kuwapa iwe urithi wenu, kama ilivyo leo.+ 39 Kwa hiyo, siku ya leo, mjue na kutia moyoni kwamba Yehova ndiye Mungu wa kweli juu mbinguni na chini duniani.+ Hakuna mwingine.+ 40 Ni lazima mshike masharti yake na amri zake ninazowapa ninyi leo, ili mambo yawaendee vyema ninyi na wana wenu baada yenu, ili mwendelee kuishi kwa muda mrefu katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa.”+

41 Wakati huo Musa alitenga majiji matatu upande wa mashariki wa Yordani.+ 42 Mtu yeyote anayemuua mwenzake bila kukusudia na hakuwa akimchukia,+ ni lazima akimbilie katika mojawapo ya majiji hayo ili aishi.+ 43 Majiji hayo ni Beseri+ kule nyikani katika uwanda wa juu kwa ajili ya watu wa kabila la Rubeni, Ramothi+ kule Gileadi kwa ajili ya watu wa kabila la Gadi, na Golani+ kule Bashani kwa ajili ya watu wa kabila la Manase.+

44 Basi hiyo ndiyo Sheria+ ambayo Musa aliwapa Waisraeli. 45 Hivyo ndivyo vikumbusho, masharti, na sheria ambazo* Musa aliwapa Waisraeli baada ya kutoka Misri,+ 46 katika eneo la Yordani, kwenye bonde lililo ng’ambo ya Beth-peori,+ katika nchi ya Mfalme Sihoni wa Waamori, aliyekuwa akikaa Heshboni,+ ambaye Musa na Waisraeli walimshinda walipotoka Misri.+ 47 Nao wakaimiliki nchi yake na nchi ya Mfalme Ogu+ wa Bashani, wafalme wawili wa Waamori waliokuwa katika eneo lililokuwa upande wa mashariki wa Yordani, 48 kuanzia Aroeri,+ kwenye ukingo wa Bonde la Arnoni, mpaka Mlima Sioni, yaani, Hermoni,+ 49 na eneo lote la Araba upande wa mashariki wa Yordani, mpaka Bahari ya Araba,* chini ya miteremko ya Pisga.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki