Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 30
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Samweli 30:1

Marejeo

  • +Yos 15:31; 1Sa 27:6
  • +Mwa 36:12; Kut 17:14; 1Sa 15:2; 27:8

1 Samweli 30:2

Marejeo

  • +Amu 5:30; 1Sa 27:3

1 Samweli 30:4

Marejeo

  • +Amu 21:2

1 Samweli 30:5

Marejeo

  • +1Sa 25:43; 2Sa 2:2
  • +1Sa 25:42; 27:3

1 Samweli 30:6

Marejeo

  • +Zb 25:17; 116:3
  • +Kut 17:4; Hes 14:10
  • +Amu 18:25; 1Sa 22:2; 2Sa 17:8; 2Fa 4:27
  • +Zb 18:6; 27:1; 31:1, 9; 34:19; 43:5; 56:4; 143:5; Met 18:10; Hab 3:18; Lu 22:43

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    4/2022, uku. 2

1 Samweli 30:7

Marejeo

  • +1Sa 22:20; 1Fa 2:26
  • +1Sa 23:9

1 Samweli 30:8

Marejeo

  • +Hes 27:21; Amu 18:5; 20:28; 1Sa 23:2, 11; 28:6; Met 3:5
  • +1Sa 14:37; Zb 28:6
  • +1Sa 30:18; Zb 34:19; Met 11:8; 24:16

1 Samweli 30:9

Marejeo

  • +1Sa 23:13; 27:2

1 Samweli 30:10

Marejeo

  • +Amu 8:4
  • +1Sa 30:21

1 Samweli 30:11

Marejeo

  • +Kum 23:7

1 Samweli 30:12

Marejeo

  • +1Sa 25:18
  • +Amu 15:19

1 Samweli 30:13

Marejeo

  • +Met 12:10

1 Samweli 30:14

Marejeo

  • +2Sa 8:18; 1Fa 1:38; 1Nya 18:17; Eze 25:16; Sef 2:5
  • +Yos 14:13; 21:12

1 Samweli 30:15

Marejeo

  • +Kum 6:13; Yos 2:12; 9:15
  • +Kum 23:15, 16

1 Samweli 30:16

Marejeo

  • +Amu 1:25
  • +Da 5:1; Lu 12:19
  • +Yos 15:1; Ayu 20:5

1 Samweli 30:17

Marejeo

  • +Kut 17:14; Zb 73:19

1 Samweli 30:18

Marejeo

  • +1Sa 30:3

1 Samweli 30:19

Marejeo

  • +1Sa 30:8; Zb 34:19

1 Samweli 30:20

Marejeo

  • +Hes 31:9; 2Nya 20:25

1 Samweli 30:21

Marejeo

  • +1Sa 30:10

1 Samweli 30:22

Marejeo

  • +1Sa 10:27; Nah 1:15

1 Samweli 30:23

Marejeo

  • +1Nya 29:12; Zb 33:16
  • +Hes 31:49
  • +1Sa 30:8; Zb 44:3

1 Samweli 30:24

Marejeo

  • +1Sa 10:22; 17:22; 25:13; 30:10
  • +Hes 31:27; Yos 22:8; Zb 68:12; 1Ti 6:18

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    The Watchtower,

    3/15/2005, uku. 24

    9/1/1986, kur. 28-29

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 3/15 24

1 Samweli 30:25

Marejeo

  • +Hes 27:11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    9/1/1986, kur. 28-29

1 Samweli 30:26

Marejeo

  • +Isa 32:8
  • +Mwa 33:11; 2Fa 5:15; Met 11:24; 18:16; Mdo 20:35

1 Samweli 30:27

Marejeo

  • +Yos 19:4
  • +Yos 19:8
  • +Yos 15:48; 21:14

1 Samweli 30:28

Marejeo

  • +Yos 15:50; 21:14

1 Samweli 30:29

Marejeo

  • +1Sa 27:10; 1Nya 2:9, 26
  • +Amu 1:16; 1Sa 15:6

1 Samweli 30:30

Marejeo

  • +Yos 19:4; Amu 1:17
  • +Yos 19:7

1 Samweli 30:31

Marejeo

  • +Yos 14:13; 2Sa 2:1

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Sam. 30:1Yos 15:31; 1Sa 27:6
1 Sam. 30:1Mwa 36:12; Kut 17:14; 1Sa 15:2; 27:8
1 Sam. 30:2Amu 5:30; 1Sa 27:3
1 Sam. 30:4Amu 21:2
1 Sam. 30:51Sa 25:43; 2Sa 2:2
1 Sam. 30:51Sa 25:42; 27:3
1 Sam. 30:6Zb 25:17; 116:3
1 Sam. 30:6Kut 17:4; Hes 14:10
1 Sam. 30:6Amu 18:25; 1Sa 22:2; 2Sa 17:8; 2Fa 4:27
1 Sam. 30:6Zb 18:6; 27:1; 31:1, 9; 34:19; 43:5; 56:4; 143:5; Met 18:10; Hab 3:18; Lu 22:43
1 Sam. 30:71Sa 22:20; 1Fa 2:26
1 Sam. 30:71Sa 23:9
1 Sam. 30:8Hes 27:21; Amu 18:5; 20:28; 1Sa 23:2, 11; 28:6; Met 3:5
1 Sam. 30:81Sa 14:37; Zb 28:6
1 Sam. 30:81Sa 30:18; Zb 34:19; Met 11:8; 24:16
1 Sam. 30:91Sa 23:13; 27:2
1 Sam. 30:10Amu 8:4
1 Sam. 30:101Sa 30:21
1 Sam. 30:11Kum 23:7
1 Sam. 30:121Sa 25:18
1 Sam. 30:12Amu 15:19
1 Sam. 30:13Met 12:10
1 Sam. 30:142Sa 8:18; 1Fa 1:38; 1Nya 18:17; Eze 25:16; Sef 2:5
1 Sam. 30:14Yos 14:13; 21:12
1 Sam. 30:15Kum 6:13; Yos 2:12; 9:15
1 Sam. 30:15Kum 23:15, 16
1 Sam. 30:16Amu 1:25
1 Sam. 30:16Da 5:1; Lu 12:19
1 Sam. 30:16Yos 15:1; Ayu 20:5
1 Sam. 30:17Kut 17:14; Zb 73:19
1 Sam. 30:181Sa 30:3
1 Sam. 30:191Sa 30:8; Zb 34:19
1 Sam. 30:20Hes 31:9; 2Nya 20:25
1 Sam. 30:211Sa 30:10
1 Sam. 30:221Sa 10:27; Nah 1:15
1 Sam. 30:231Nya 29:12; Zb 33:16
1 Sam. 30:23Hes 31:49
1 Sam. 30:231Sa 30:8; Zb 44:3
1 Sam. 30:241Sa 10:22; 17:22; 25:13; 30:10
1 Sam. 30:24Hes 31:27; Yos 22:8; Zb 68:12; 1Ti 6:18
1 Sam. 30:25Hes 27:11
1 Sam. 30:26Isa 32:8
1 Sam. 30:26Mwa 33:11; 2Fa 5:15; Met 11:24; 18:16; Mdo 20:35
1 Sam. 30:27Yos 19:4
1 Sam. 30:27Yos 19:8
1 Sam. 30:27Yos 15:48; 21:14
1 Sam. 30:28Yos 15:50; 21:14
1 Sam. 30:291Sa 27:10; 1Nya 2:9, 26
1 Sam. 30:29Amu 1:16; 1Sa 15:6
1 Sam. 30:30Yos 19:4; Amu 1:17
1 Sam. 30:30Yos 19:7
1 Sam. 30:31Yos 14:13; 2Sa 2:1
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Samweli 30:1-31

1 Samweli

30 Na ikawa kwamba, wakati Daudi na watu wake walipokuwa wakija Siklagi+ siku ya tatu, Waamaleki+ wakavamia upande wa kusini na pia Siklagi; wakapiga Siklagi, wakaliteketeza kwa moto, 2 nao wakachukua mateka wanawake+ na vyote vilivyokuwa ndani yake, kuanzia mdogo zaidi mpaka mkubwa zaidi. Hawakumuua yeyote, bali waliwachukua na kwenda zao. 3 Daudi alipokuja jijini na watu wake, tazama, jiji lilikuwa limeteketezwa kwa moto, na wake zao na wana wao na binti zao walikuwa wamechukuliwa mateka. 4 Na Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wakaanza kupaaza sauti zao, wakalia,+ mpaka nguvu za kuendelea kulia zilipokwisha ndani yao. 5 Na wake wawili wa Daudi walikuwa wamechukuliwa mateka, Ahinoamu+ Myezreeli, na Abigaili+ mke wa Nabali Mkarmeli. 6 Naye Daudi akataabika sana,+ kwa sababu watu walisema apigwe kwa mawe;+ kwa maana nafsi za watu wote zilikuwa zimeingiwa na uchungu;+ kila mmoja kwa sababu ya wanawe na binti zake. Basi Daudi akajitia nguvu kwa Yehova Mungu wake.+

7 Hivyo Daudi akamwambia Abiathari+ kuhani, mwana wa Ahimeleki: “Tafadhali ilete hapa efodi.”+ Naye Abiathari akamletea Daudi ile efodi. 8 Daudi akaanza kumuuliza Yehova,+ akisema: “Je, nikifuatilie kikundi hiki cha waporaji? Je, nitawafikia?”+ Ndipo akamwambia: “Nenda, uwafuatilie, kwa maana bila shaka utawafikia, nawe bila shaka utaleta ukombozi.”+

9 Mara moja Daudi akaondoka, yeye pamoja na wale watu mia sita+ waliokuwa naye, wakaenda mpaka bonde la mto la Besori, na watu ambao walipaswa kuachwa nyuma wakasimama tuli. 10 Na Daudi akaendelea kufuatilia,+ yeye pamoja na watu mia nne, lakini watu mia mbili waliokuwa wamechoka sana wasiweze kuvuka lile bonde la mto la Besori+ wakasimama tuli.

11 Nao wakakuta mtu, Mmisri,+ shambani. Basi wakampeleka kwa Daudi na kumpa mkate ale, na kumpa maji anywe. 12 Zaidi ya hayo, wakampa kipande cha keki ya tini zilizoshinikizwa na keki mbili za zabibu kavu.+ Ndipo akala na roho+ yake ikarudi kwake; kwa maana hakuwa amekula mkate wala kunywa maji kwa siku tatu, mchana na usiku. 13 Sasa Daudi akamwambia: “Wewe ni wa nani, nawe unatoka wapi?” naye akasema: “Mimi ni mtumishi Mmisri, mtumwa wa mtu Mwamaleki, lakini bwana wangu aliniacha kwa sababu nilishikwa na ugonjwa siku tatu zilizopita.+ 14 Sisi ndio tuliovamia upande wa kusini wa Wakerethi+ na nchi ya Yuda na upande wa kusini wa Kalebu;+ nasi tukateketeza Siklagi kwa moto.” 15 Naye Daudi akamwambia: “Je, utaniongoza, nishuke mpaka kwenye hiki kikundi cha waporaji?” Naye akasema: “Niapie+ kwa Mungu kwamba hutaniua, wala kunitia mkononi mwa bwana wangu,+ nami nitakuongoza, ushuke mpaka kwenye hiki kikundi cha waporaji.”

16 Basi akamwongoza, akashuka,+ na tazama, walikuwa wameenea bila utaratibu juu ya uso wote wa nchi, wakila na kunywa na kufanya karamu+ kwa sababu ya nyara yote kubwa ambayo walikuwa wamechukua kutoka katika nchi ya Wafilisti na nchi ya Yuda.+ 17 Na Daudi akawapiga kuanzia giza la asubuhi mpaka jioni, apate kuwaangamiza; wala hakuna mtu kati yao aliyeponyoka+ ila vijana mia nne waliopanda ngamia na kukimbia. 18 Naye Daudi akakomboa vyote ambavyo Waamaleki walikuwa wamechukua,+ na Daudi akakomboa wake zake wawili. 19 Na hakuna kitu chochote chao kilichokosekana, kuanzia mdogo zaidi mpaka mkubwa zaidi na wana na mabinti na kuanzia nyara, mpaka chochote ambacho walikuwa wamejichukulia.+ Daudi alirudisha kila kitu. 20 Basi Daudi akachukua makundi yote na mifugo, ambayo waliitanguliza mbele ya ile mifugo mingine. Kisha wakasema: “Hii ni nyara ya Daudi.”+

21 Mwishowe Daudi akawafikia wale wanaume mia mbili+ ambao walikuwa wamechoka sana wasiweze kwenda na Daudi, na ambao waliwaacha waketi kando ya bonde la mto la Besori; nao wakatoka kuja kumpokea Daudi na kuwapokea watu waliokuwa pamoja naye. Daudi alipowakaribia watu hao, akaanza kuwauliza hali yao. 22 Hata hivyo, kila mtu mbaya na asiyefaa kitu+ kati ya watu walioenda pamoja na Daudi akajibu na kuzidi kusema: “Kwa kuwa hawakwenda pamoja nasi, hatutawapa nyara yoyote ambayo tumekomboa, isipokuwa kila mmoja atapewa mke wake na wanawe, wawachukue na kwenda.” 23 Lakini Daudi akasema: “Ndugu zangu, msifanye hivyo na vitu ambavyo Yehova ametupa sisi,+ kwa kuwa alitulinda+ na kukitia mkononi mwetu kile kikundi cha waporaji kilichokuja juu yetu.+ 24 Na ni nani atakayewasikiliza kwa neno hili? Kwa maana kama lilivyo fungu la yule aliyeshuka kwenda vitani ndivyo litakavyokuwa fungu la yule aliyeketi kando ya mizigo.+ Wote watapata fungu pamoja.”+ 25 Na ikawa kwamba kuanzia siku hiyo na kuendelea, akaliweka hilo kuwa sharti na uamuzi wa hukumu+ kwa ajili ya Israeli mpaka leo hii.

26 Wakati Daudi alipofika Siklagi, akapeleka sehemu ya nyara kwa wanaume wazee wa Yuda, rafiki zake,+ akisema: “Tazameni, hii ni zawadi+ ya baraka kwa ajili yenu kutoka katika nyara za adui za Yehova.” 27 Kwa wale waliokuwa Betheli,+ na kwa wale waliokuwa Ramothi+ la kusini, na kwa wale waliokuwa Yatiri,+ 28 na kwa wale waliokuwa Aroeri, na kwa wale waliokuwa Sifmothi, na kwa wale waliokuwa Eshtemoa,+ 29 na kwa wale waliokuwa Rakali, na kwa wale waliokuwa katika majiji ya Wayerahmeeli,+ na kwa wale waliokuwa katika majiji ya Wakeni,+ 30 na kwa wale waliokuwa Horma,+ na kwa wale waliokuwa Borashani,+ na kwa wale waliokuwa Athaki, 31 na kwa wale waliokuwa Hebroni,+ na mahali pote ambapo Daudi alikuwa ametembea, yeye pamoja na watu wake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki