Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wakorintho 15
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

1 Wakorintho—Yaliyomo

      • Ufufuo wa Kristo (1-11)

      • Ufufuo, msingi wa imani (12-19)

      • Ufufuo wa Kristo unatoa uhakikisho (20-34)

      • Mwili wa nyama, mwili wa kiroho (35-49)

      • Kutoweza kufa na kutoweza kuharibika (50-57)

      • Kuwa na mengi ya kufanya katika kazi ya Bwana (58)

1 Wakorintho 15:1

Marejeo

  • +Mdo 18:1, 11

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14

1 Wakorintho 15:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14

1 Wakorintho 15:3

Marejeo

  • +Zb 22:15; Isa 53:8, 12; Da 9:26; 1Pe 2:24

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 14-15

    2/15/1991, uku. 5

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14-15

1 Wakorintho 15:4

Marejeo

  • +Isa 53:9; Mt 27:59, 60
  • +Mt 28:7
  • +Yon 1:17; Lu 24:46
  • +Zb 16:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

1 Wakorintho 15:5

Maelezo ya Chini

  • *

    Pia anaitwa Petro.

Marejeo

  • +Mt 10:2; Lu 24:33, 34
  • +Yoh 20:26

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Ufahamu, uku. 128

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    4/1/2010, uku. 25

    7/1/1998, kur. 14-15

    1/15/1988, uku. 30

    Igeni, uku. 202

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    w10 4/1 25; w98 7/1 14-15

1 Wakorintho 15:6

Marejeo

  • +Mt 28:16, 17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    ‘Mfuasi Wangu’, uku. 94

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    7/2019, uku. 14

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2015, kur. 26-27

    7/1/1998, kur. 14-15

    10/1/1995, uku. 14

    5/1/1991, uku. 8

    Yesu—Njia, uku. 310

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    cf 94; w98 7/1 14-15

1 Wakorintho 15:7

Marejeo

  • +Mdo 12:17
  • +Mdo 1:3, 6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Wapende Watu, somo la 8

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2022, kur. 9-10

    Kutoa Ushahidi, uku. 112

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi,

    3/15/2014, kur. 4-5

    7/1/1998, kur. 14, 15-16

    “Kila Andiko,” uku. 248

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    bt 112; w98 7/1 14-16

1 Wakorintho 15:8

Marejeo

  • +Mdo 9:3-5

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    9/2022, uku. 27

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 3

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2000, uku. 29

    7/1/1998, kur. 14, 15-16

    Neno la Mungu, kur. 82-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 1/15 29; w98 7/1 14, 16

1 Wakorintho 15:9

Marejeo

  • +Mdo 8:3; Gal 1:13

1 Wakorintho 15:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/2013, kur. 23-24

    8/1/2000, uku. 14

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 8/1 14

1 Wakorintho 15:12

Marejeo

  • +Mdo 4:2; 17:31

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 5

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 14, 16-17

    8/15/1997, uku. 12

    8/1/1993, kur. 15-16

    9/15/1990, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 14, 16; w97 8/15 12

1 Wakorintho 15:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

1 Wakorintho 15:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    8/15/1997, uku. 12

  • Fahirishi ya Machapisho

    w97 8/15 12

1 Wakorintho 15:15

Marejeo

  • +Mdo 3:15
  • +Mdo 2:24; 4:10; 13:30, 31

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

1 Wakorintho 15:17

Marejeo

  • +Ro 4:25; Ebr 7:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    7/1/1998, kur. 16-17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 16

1 Wakorintho 15:18

Marejeo

  • +Mdo 7:59; 1Ko 15:14; 1Pe 1:3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 5-6

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    7/1/1998, kur. 16-17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:19

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 4

    7/1/1998, kur. 16-17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:20

Marejeo

  • +Mdo 26:23; Kol 1:18

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 5-6

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 7

    7/15/2007, uku. 26

    7/15/2000, kur. 13-14

    7/1/1998, uku. 17

    3/1/1998, uku. 13

    1/1/1987, uku. 21

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 26; w00 7/15 13-14; w98 3/1 13; w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:21

Marejeo

  • +Mwa 3:17, 19
  • +Yoh 11:25

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 5

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 7

    7/1/1998, uku. 17

    Jitihada ya Ainabinadamu ya Kutafuta Mungu, kur. 256-257

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:22

Marejeo

  • +Ro 5:12
  • +Ro 5:17; 6:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Maswali ya Biblia Yajibiwa, makala 105

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 5-6, 30

    Mnara wa Mlinzi (Toleo la Watu wote),

    Na. 2 2017 kur. 5-6

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 7

    7/1/1998, uku. 17

    Kutoa Sababu, kur. 415-416

  • Fahirishi ya Machapisho

    rs 415-416; w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:23

Marejeo

  • +Ufu 1:5
  • +Mt 24:3; 1Th 4:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 6

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2017, kur. 11-12

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2007, uku. 26

    7/15/2000, kur. 13-14

    7/1/1998, kur. 17, 22-24

    10/1/1986, kur. 13-14

    Kuishi Milele, kur. 172-173

  • Fahirishi ya Machapisho

    w07 7/15 26; w00 7/15 13-14; w98 7/1 17, 22-24

1 Wakorintho 15:24

Marejeo

  • +Da 2:44

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

    Ibada Safi, uku. 229

    Upeo wa Ufunuo, kur. 291, 300

    Mwabudu Mungu, uku. 189

    Mnara wa Mlinzi,

    10/15/2000, uku. 20

    7/1/1998, uku. 21

    Kuishi Milele, uku. 182

    Usalama Ulimwenguni Pote, kur. 180-182

  • Fahirishi ya Machapisho

    re 291, 300; wt 189; w00 10/15 20; w98 7/1 21

1 Wakorintho 15:25

Marejeo

  • +Zb 110:1, 2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    10/1/1986, uku. 13

1 Wakorintho 15:26

Marejeo

  • +Ufu 20:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Furahia Maisha Milele!, somo la 30

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 6-7

    Ufahamu,

    Ibada Safi, uku. 229

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2014, kur. 23-27

    9/15/2012, uku. 11

    7/1/1998, kur. 21-22

    10/1/1986, uku. 13

    Ufalme wa Mungu Unatawala!, uku. 237

    Upeo wa Ufunuo, kur. 291, 300

    Kuishi Milele, uku. 182

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 9/15 11; re 291, 300; w98 7/1 21-22

1 Wakorintho 15:27

Marejeo

  • +Zb 8:6; Efe 1:22
  • +Ebr 2:8
  • +1Pe 3:22

1 Wakorintho 15:28

Marejeo

  • +Yoh 14:28
  • +1Ko 3:23

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha,

    4/2019, uku. 6

    Ufahamu, uku. 1159

    Ufahamu,

    Ibada Safi, uku. 229

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2014, uku. 27

    9/15/2012, kur. 11-12

    12/1/2007, uku. 30

    7/1/1998, uku. 22

    6/1/1994, kur. 30-31

    Usalama Ulimwenguni Pote, kur. 180-189

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 9/15 12; w07 12/1 30; w98 7/1 22

1 Wakorintho 15:29

Marejeo

  • +Ro 6:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 14

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2008, uku. 27

    10/1/2003, uku. 29

    8/15/2000, uku. 30

    7/15/2000, uku. 17

    7/1/1998, uku. 17

    Kutoa Sababu, uku. 310

  • Fahirishi ya Machapisho

    w08 7/15 27; rs 310; w03 10/1 29; w00 7/15 17; w00 8/15 30; w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:30

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “wakati wote.”

Marejeo

  • +Ro 8:36; 2Ko 11:23-27

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 17

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:31

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 17-18

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17-18

1 Wakorintho 15:32

Maelezo ya Chini

  • *

    Au labda, “kwa maoni ya kibinadamu.”

Marejeo

  • +2Ko 1:8
  • +Isa 22:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Kutoa Ushahidi, uku. 163

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 9

    Mnara wa Mlinzi,

    3/1/2013, uku. 3

    10/15/2007, uku. 3

    6/15/2002, kur. 26-28

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, kur. 17-18

    11/1/1997, kur. 24-25

    8/15/1997, uku. 12

    11/1/1996, uku. 16

    9/15/1990, uku. 24

    2/15/1989, uku. 5

    6/15/1988, kur. 18-19

  • Fahirishi ya Machapisho

    bt 163; w07 10/15 3; w02 6/15 26-28; w00 7/15 18; w98 7/1 18; w97 8/15 12; w97 11/1 24-25; w96 11/1 16

1 Wakorintho 15:33

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “hupotosha maadili.”

Marejeo

  • +Met 13:20; 1Ko 5:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    2/2023, kur. 17-18

    Furahia Maisha Milele!, somo la 48

    Amkeni!,

    Na. 3 2019, uku. 9

    8/22/2005, kur. 25-26

    7/22/2005, kur. 19-21

    2/22/1997, uku. 13

    12/22/1993, kur. 26-27

    Mnara wa Mlinzi,

    8/15/2015, kur. 25-26

    7/15/2012, uku. 15

    5/1/2007, kur. 15-16

    3/15/2006, uku. 23

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 18

    11/1/1997, kur. 23-25

    7/15/1997, uku. 18

    2/1/1994, uku. 17

    8/1/1993, kur. 15-20

    8/15/1991, uku. 29

    7/15/1991, kur. 23-24

    6/15/1988, kur. 18-19

    3/15/1987, uku. 6

    Siku ya Yehova, kur. 134-136

  • Fahirishi ya Machapisho

    w12 7/15 15; w07 5/1 15-16; w06 3/15 23; jd 134-136; g05 7/22 19-21; g05 8/22 25-26; w00 7/15 18; w98 7/1 18; w97 7/15 18; w97 11/1 23-25; g97 2/22 13

1 Wakorintho 15:34

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 18

    6/15/1988, kur. 18-19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 18

1 Wakorintho 15:35

Marejeo

  • +1Yo 3:2

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 9-11

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 7/15 18; w98 7/1 19

1 Wakorintho 15:36

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 19-20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 19-20

1 Wakorintho 15:37

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 19-20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 19-20

1 Wakorintho 15:38

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, kur. 19-20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 19-20

1 Wakorintho 15:39

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

1 Wakorintho 15:40

Marejeo

  • +Mt 28:3; Lu 24:4
  • +Ebr 2:6, 7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 20

    Muumba, kur. 85-86

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 7/15 18; w98 7/1 20; ct 85-86

1 Wakorintho 15:41

Marejeo

  • +Mwa 1:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 10

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 20

    6/15/1993, uku. 11

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:42

Marejeo

  • +Ro 2:6, 7

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, kur. 10-11

    Mnara wa Mlinzi,

    7/15/2000, uku. 18

    7/1/1998, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w00 7/15 18; w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:43

Marejeo

  • +Kol 3:4
  • +Ufu 20:4

1 Wakorintho 15:45

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “nafsi iliyo hai.”

Marejeo

  • +Mwa 2:7
  • +Yoh 5:26; 1Ti 3:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mkaribie Yehova, uku. 145

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 11

    Ufahamu, uku. 735

    Mnara wa Mlinzi,

    9/15/2014, uku. 26

    3/15/2000, uku. 4

    2/15/1991, uku. 14

    7/15/1990, uku. 23

    8/15/1989, kur. 11-12, 13-14

    Amkeni!,

    4/22/2005, uku. 4

    Mwalimu, kur. 192-193

    “Kila Andiko,” uku. 18

    Kutoa Sababu, uku. 26

    Usalama Ulimwenguni Pote, kur. 163-164, 169

  • Fahirishi ya Machapisho

    g05 4/22 4; rs 26; lr 192-193; cl 145; w00 3/15 4

1 Wakorintho 15:47

Marejeo

  • +Mwa 2:7
  • +Yoh 3:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    2/15/1991, uku. 14

    Kutoa Sababu, uku. 26

  • Fahirishi ya Machapisho

    rs 26

1 Wakorintho 15:48

Marejeo

  • +Flp 3:20, 21

1 Wakorintho 15:49

Marejeo

  • +Mwa 5:3
  • +Ro 8:29

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 11

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:50

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 11

    Tafsiri ya Ulimwengu Mpya, uku. 2034

    Mnara wa Mlinzi,

    1/15/1993, uku. 6

    “Kila Andiko,” uku. 213

1 Wakorintho 15:51

Marejeo

  • +1Th 4:17

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 17

    2/15/1995, uku. 22

    1/15/1993, uku. 6

    Kuishi Milele, uku. 173

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:52

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “kupepesa.”

Marejeo

  • +1Th 4:16

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 12

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 17

    2/15/1995, uku. 22

    1/15/1993, uku. 6

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 17

1 Wakorintho 15:53

Marejeo

  • +Ro 2:6, 7
  • +2Ko 5:4

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Ufahamu,

    Mnara wa Mlinzi,

    2/15/2009, uku. 25

    7/1/1998, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w09 2/15 25; w98 7/1 20

1 Wakorintho 15:54

Marejeo

  • +Isa 25:8; Ufu 20:6

1 Wakorintho 15:55

Marejeo

  • +Ho. 13:14

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    The Watchtower,

    11/15/2005, uku. 29

    2/15/1995, kur. 9-10

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 11/15 29

1 Wakorintho 15:56

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “nayo Sheria huipa dhambi nguvu zake.”

Marejeo

  • +Ro 6:23
  • +Ro 3:20; 7:12, 13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    The Watchtower,

    11/15/2005, uku. 29

    7/15/2000, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w05 11/15 29; w00 7/15 19

1 Wakorintho 15:57

Marejeo

  • +Yoh 3:16; Mdo 4:12

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    7/1/1998, uku. 24

  • Fahirishi ya Machapisho

    w98 7/1 24

1 Wakorintho 15:58

Marejeo

  • +Kol 1:23; Ebr 3:14; 2Pe 3:17
  • +Ro 12:11
  • +2Nya 15:7; 1Ko 3:8; Ufu 14:13

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    12/2020, uku. 13

    Mnara wa Mlinzi (Funzo),

    1/2017, kur. 9-10

    Mnara wa Mlinzi,

    5/15/2003, uku. 22

    7/15/2000, uku. 19

    7/1/1998, uku. 24

    7/1/1992, kur. 28-29

    10/15/1989, uku. 20

    Huduma ya Ufalme,

    6/2000, uku. 1

    1/1995, uku. 1

  • Fahirishi ya Machapisho

    w03 5/15 22; w00 7/15 19; km 6/00 1; w98 7/1 24

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

1 Kor. 15:1Mdo 18:1, 11
1 Kor. 15:3Zb 22:15; Isa 53:8, 12; Da 9:26; 1Pe 2:24
1 Kor. 15:4Isa 53:9; Mt 27:59, 60
1 Kor. 15:4Mt 28:7
1 Kor. 15:4Yon 1:17; Lu 24:46
1 Kor. 15:4Zb 16:10
1 Kor. 15:5Mt 10:2; Lu 24:33, 34
1 Kor. 15:5Yoh 20:26
1 Kor. 15:6Mt 28:16, 17
1 Kor. 15:7Mdo 12:17
1 Kor. 15:7Mdo 1:3, 6
1 Kor. 15:8Mdo 9:3-5
1 Kor. 15:9Mdo 8:3; Gal 1:13
1 Kor. 15:12Mdo 4:2; 17:31
1 Kor. 15:15Mdo 3:15
1 Kor. 15:15Mdo 2:24; 4:10; 13:30, 31
1 Kor. 15:17Ro 4:25; Ebr 7:25
1 Kor. 15:18Mdo 7:59; 1Ko 15:14; 1Pe 1:3
1 Kor. 15:20Mdo 26:23; Kol 1:18
1 Kor. 15:21Mwa 3:17, 19
1 Kor. 15:21Yoh 11:25
1 Kor. 15:22Ro 5:12
1 Kor. 15:22Ro 5:17; 6:23
1 Kor. 15:23Ufu 1:5
1 Kor. 15:23Mt 24:3; 1Th 4:16
1 Kor. 15:24Da 2:44
1 Kor. 15:25Zb 110:1, 2
1 Kor. 15:26Ufu 20:14
1 Kor. 15:27Zb 8:6; Efe 1:22
1 Kor. 15:27Ebr 2:8
1 Kor. 15:271Pe 3:22
1 Kor. 15:28Yoh 14:28
1 Kor. 15:281Ko 3:23
1 Kor. 15:29Ro 6:4
1 Kor. 15:30Ro 8:36; 2Ko 11:23-27
1 Kor. 15:322Ko 1:8
1 Kor. 15:32Isa 22:13
1 Kor. 15:33Met 13:20; 1Ko 5:6
1 Kor. 15:351Yo 3:2
1 Kor. 15:40Mt 28:3; Lu 24:4
1 Kor. 15:40Ebr 2:6, 7
1 Kor. 15:41Mwa 1:16
1 Kor. 15:42Ro 2:6, 7
1 Kor. 15:43Kol 3:4
1 Kor. 15:43Ufu 20:4
1 Kor. 15:45Mwa 2:7
1 Kor. 15:45Yoh 5:26; 1Ti 3:16
1 Kor. 15:47Mwa 2:7
1 Kor. 15:47Yoh 3:13
1 Kor. 15:48Flp 3:20, 21
1 Kor. 15:49Mwa 5:3
1 Kor. 15:49Ro 8:29
1 Kor. 15:511Th 4:17
1 Kor. 15:521Th 4:16
1 Kor. 15:53Ro 2:6, 7
1 Kor. 15:532Ko 5:4
1 Kor. 15:54Isa 25:8; Ufu 20:6
1 Kor. 15:55Ho. 13:14
1 Kor. 15:56Ro 6:23
1 Kor. 15:56Ro 3:20; 7:12, 13
1 Kor. 15:57Yoh 3:16; Mdo 4:12
1 Kor. 15:58Kol 1:23; Ebr 3:14; 2Pe 3:17
1 Kor. 15:58Ro 12:11
1 Kor. 15:582Nya 15:7; 1Ko 3:8; Ufu 14:13
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • 17
  • 18
  • 19
  • 20
  • 21
  • 22
  • 23
  • 24
  • 25
  • 26
  • 27
  • 28
  • 29
  • 30
  • 31
  • 32
  • 33
  • 34
  • 35
  • 36
  • 37
  • 38
  • 39
  • 40
  • 41
  • 42
  • 43
  • 44
  • 45
  • 46
  • 47
  • 48
  • 49
  • 50
  • 51
  • 52
  • 53
  • 54
  • 55
  • 56
  • 57
  • 58
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
1 Wakorintho 15:1-58

Barua ya Kwanza kwa Wakoritho

15 Basi akina ndugu, ninawakumbusha kuhusu habari njema niliyowatangazia,+ nanyi mkaipokea pia, na mmechukua msimamo kwa ajili yake. 2 Kupitia hiyo ninyi pia mnaokolewa ikiwa mtaishika sana habari njema niliyowatangazia, isipokuwa iwe mlikuwa waamini bila kusudi.

3 Kwa maana kati ya mambo ya kwanza niliyowapa ni yale niliyopokea pia, kwamba Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kulingana na Maandiko;+ 4 na kwamba alizikwa,+ ndiyo, kwamba alifufuliwa+ siku ya tatu+ kulingana na Maandiko;+ 5 na kwamba alimtokea Kefa,*+ kisha wale 12.+ 6 Baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya 500 kwa wakati mmoja,+ na wengi kati yao bado tuko nao, ingawa wengine wamelala usingizi katika kifo. 7 Baadaye alimtokea Yakobo,+ kisha mitume wote.+ 8 Lakini mwisho kabisa alinitokea mimi pia+ kana kwamba kwa yule aliyezaliwa kabla ya wakati wake.

9 Kwa maana mimi ni mdogo zaidi kati ya mitume, nami sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililitesa kutaniko la Mungu.+ 10 Lakini kwa fadhili zisizostahiliwa za Mungu mimi niko kama nilivyo. Na fadhili zake zisizostahiliwa kwangu hazikuwa za bure, bali nilifanya kazi zaidi yao wote; lakini si mimi bali ni fadhili zisizostahiliwa za Mungu zilizo pamoja nami. 11 Iwe ni mimi au ni wao, hivi ndivyo tunavyohubiri, na hivyo ndivyo mlivyoamini.

12 Basi ikiwa inahubiriwa kwamba Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu,+ kwa nini wengine kati yenu wanasema hakuna ufufuo wa wafu? 13 Kwa kweli, ikiwa hakuna ufufuo wa wafu, basi Kristo hakufufuliwa. 14 Lakini ikiwa Kristo hakufufuliwa, hakika kuhubiri kwetu ni bure, na imani yenu pia ni bure. 15 Isitoshe, tunaonekana pia kuwa mashahidi wa uwongo wa Mungu,+ kwa sababu tumetoa ushahidi dhidi ya Mungu kwa kusema kwamba alimfufua Kristo,+ ambaye hakumfufua ikiwa kwa kweli wafu hawatafufuliwa. 16 Kwa maana ikiwa wafu hawatafufuliwa, basi Kristo hakufufuliwa. 17 Isitoshe, ikiwa Kristo hakufufuliwa, imani yenu ni bure; nanyi mnabaki katika dhambi zenu.+ 18 Basi pia, wale ambao wamelala usingizi katika kifo wakiwa katika muungano na Kristo wameangamia.+ 19 Ikiwa ni katika maisha haya tu tumemtumaini Kristo, sisi ndio wa kusikitikiwa kuliko mtu yeyote.

20 Lakini sasa Kristo amefufuliwa kutoka kwa wafu, akiwa matunda ya kwanza ya wale ambao wamelala usingizi katika kifo.+ 21 Kwa kuwa kifo kilikuja kupitia mwanadamu,+ ufufuo wa wafu pia unakuja kupitia mwanadamu.+ 22 Kwa maana kama vile katika Adamu wote wanakufa,+ vivyo hivyo pia katika Kristo wote watafanywa kuwa hai.+ 23 Lakini kila mmoja kwa mpangilio wake unaofaa: Kristo aliye matunda ya kwanza,+ baadaye wale walio wa Kristo wakati wa kuwapo kwake.+ 24 Kisha, mwisho, atakapoukabidhi Ufalme kwa Mungu wake aliye Baba yake, atakapokuwa ameangamiza serikali yote na mamlaka yote na nguvu zote.+ 25 Kwa maana lazima atawale akiwa mfalme mpaka Mungu atakapoweka maadui wote chini ya miguu yake.+ 26 Na adui wa mwisho atakayeangamizwa ni kifo.+ 27 Kwa maana Mungu “alivitiisha vitu vyote chini ya miguu yake.”+ Lakini anaposema ‘vitu vyote vimetiishwa,’+ ni wazi kwamba hilo halimhusu Yule aliyevitiisha vitu vyote chini yake.+ 28 Lakini vitu vyote vitakapotiishwa kwake, ndipo Mwana mwenyewe atakapojitiisha pia kwa Yule aliyevitiisha vitu vyote kwake,+ ili Mungu awe vitu vyote kwa kila mtu.+

29 Kama sivyo, watafanya nini wale wanaobatizwa kwa kusudi la kuwa wafu?+ Ikiwa wafu hawatafufuliwa kamwe, kwa nini basi wanabatizwa kwa kusudi la kuwa hivyo? 30 Kwa nini sisi pia tumo hatarini kila saa?*+ 31 Ninakabili kifo kila siku. Hili ni hakika kama ilivyo furaha yangu kwenu, akina ndugu, niliyo nayo katika Kristo Yesu Bwana wetu. 32 Ikiwa kama watu wengine,* nimepigana na wanyama wa mwituni huko Efeso,+ hilo lina faida gani kwangu? Ikiwa wafu hawatafufuliwa, “acheni tule na tunywe, kwa maana kesho tutakufa.”+ 33 Msipotoshwe. Kushirikiana na watu wabaya huharibu tabia nzuri.*+ 34 Amkeni kwa njia ya uadilifu na msiwe na mazoea ya kufanya dhambi, kwa maana wengine hawamjui Mungu. Ninasema ili kuwafanya mwone aibu.

35 Hata hivyo, mtu fulani atauliza: “Wafu watafufuliwaje? Ndiyo, watakuja wakiwa na mwili wa aina gani?”+ 36 Wewe mtu usiye na akili! Kile unachopanda hakiwi hai isipokuwa kwanza kife. 37 Na kuhusu kile unachopanda, unapanda, si mwili utakaochipuka, bali ni mbegu tu, iwe ya ngano au mbegu ya aina nyingine; 38 lakini Mungu huipa mwili kama anavyopenda na huipa kila mbegu mwili wake. 39 Nyama zote si za aina moja, bali kuna ya wanadamu, kuna nyama ya mifugo, kuna nyama ya ndege, na nyingine ya samaki. 40 Na kuna miili ya mbinguni+ na miili ya duniani;+ lakini utukufu wa miili ya mbinguni ni wa namna moja, na ule wa miili ya duniani ni wa namna nyingine. 41 Utukufu wa jua ni wa namna moja, na utukufu wa mwezi ni mwingine,+ na utukufu wa nyota ni mwingine; kwa kweli, nyota moja hutofautiana na nyota nyingine kwa utukufu.

42 Ndivyo ilivyo kuhusu ufufuo wa wafu. Hupandwa katika uharibifu; hufufuliwa katika kutoweza kuharibika.+ 43 Hupandwa katika aibu; hufufuliwa katika utukufu.+ Hupandwa katika udhaifu; hufufuliwa katika nguvu.+ 44 Hupandwa ukiwa mwili wa nyama; hufufuliwa ukiwa mwili wa roho. Ikiwa kuna mwili wa nyama, basi kuna mwili wa roho pia. 45 Basi imeandikwa hivi: “Mwanadamu wa kwanza Adamu akawa mtu aliye hai.”*+ Adamu wa mwisho akawa roho inayowapa watu uhai.+ 46 Hata hivyo, ule wa roho si wa kwanza. Ule wa nyama ndio wa kwanza, na baadaye ule wa roho. 47 Mtu wa kwanza ni wa kutoka duniani na ameumbwa kwa mavumbi;+ mtu wa pili ni wa kutoka mbinguni.+ 48 Kama yule aliyeumbwa kwa mavumbi, ndivyo walivyo pia wale walioumbwa kwa mavumbi; na kama alivyo yule wa mbinguni, ndivyo walivyo pia wale wa mbinguni.+ 49 Na kama vile ambavyo tumeuchukua mfano wa yule aliyeumbwa kwa mavumbi,+ vivyo hivyo pia tutauchukua mfano wa yule wa mbinguni.+

50 Lakini ninawaambia hivi, akina ndugu, kwamba nyama na damu haviwezi kuurithi Ufalme wa Mungu, wala uharibifu haurithi kutoweza kuharibika. 51 Tazama! Ninawaambia siri takatifu: Hatutalala usingizi katika kifo sisi sote, bali sote tutabadilishwa,+ 52 kwa muda mfupi, kufumba na kufumbua* jicho, wakati wa tarumbeta ya mwisho. Kwa maana tarumbeta italia,+ na wafu watafufuliwa wakiwa wasioweza kuharibika, nasi tutabadilishwa. 53 Kwa maana huu ulio wa kuharibika lazima uvae kutoweza kuharibika,+ na huu unaoweza kufa lazima uvae kutoweza kufa.+ 54 Lakini huu unaoweza kuharibika utakapovaa kutoweza kuharibika na huu unaoweza kufa utakapovaa kutoweza kufa, ndipo neno hili lililoandikwa litakapotimia: “Kifo kimemezwa milele.”+ 55 “Kifo, uko wapi ushindi wako? Kifo, uko wapi mchomo wako?”+ 56 Mchomo unaotokeza kifo ni dhambi,+ nazo nguvu za dhambi ni Sheria.*+ 57 Lakini tunamshukuru Mungu, kwa maana yeye hutupatia ushindi kupitia Bwana wetu Yesu Kristo!+

58 Kwa hiyo, ndugu zangu wapendwa, iweni imara,+ thabiti, sikuzote mkiwa na mengi ya kufanya+ katika kazi ya Bwana, mkijua kwamba kazi yenu si ya bure+ kuhusiana na Bwana.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki